Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

mada source yake ni rostam aziz kwani nasikia tena mengi anamuanzishia juu ya kuona vyombo vya habari vya rostam vinamuwekea kauzibe
 
Mengi amezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi. Utajiri wake kaukuza kilaghai i.e kwa kichoma makampuni na kulipwa bima ndefu. Mbulula wengi wanamuona mtetezi wa wanyonge. Waapi bwana
Nenda nawe ukachome. Wivu utakupeleka wapi?
 
FISADI ANAYETUMIA KISINGIZIO CHA KUTETEA WANYONGE KUZIFANYA CHUKI ZAKE BINAFSI ZIWE NI UGOMVI WA KITAIFA:
Kwa miaka mingi kumukuwepo na jitihada za makusudi kabisa zinazofanywa na vyombo vya habari vya IPP kuchafua baadhi ya wizara za serikali, watu binafsi na ofisi za taasisi mbalimbali kwa malengo yao binafsi wanayoyajua wao wenyewe. Ni wazi kabisa hakuna asiyejua chuki binafsi alizonazo mmiliki wa vyombo vya habari na baadhi ya waliokuwa viongozi wandamizi wa serikali na baadhi ya mawaziri ambao bado wanaendelea kuhudumu katika serikali. Mmiliki huyu amekuwa akitumia kivuli cha utetezi wa wanyonge kuanzisha vurugu dhidi vya viongozi wa serikali kwa kuaminisha uma kwamba anatetea maslahi ya watanzania. Jambo ambalo hata siku moja halijawahi kuwa na ukweli hata kidogo kwani siku zote amekuwa akitanguliza mbele maslahi yake binafsi kwa kigezo cha uzawa, kisha ya serikali na baadaye wananchi wa mwisho. Sote tunafahamu ufisadi aliokwisha wahi kuufanya kwa kivuli cha uzawa kupitia NBC, NICO, Commodity Import Support (CIS), TANPACK Industries Ltd na mengine mengi.
Kama ambavyo iliwahi kutamkwa huko nyuma, historia ya Mengi inamuonyesha kwamba ni mtu anayependa kuanzisha ugomvi katika mambo yanayohusu maslahi yake binafsi lakini unapopamba moto na kuona anazidiwa, hutafuta hifadhi kwa kulia lia na kutaka aonewe huruma na kutaka kuliingiza Taifa zima. Katika kufanikisha hayo, amekuwa akitumia vyombo vyake vya habari kuwapotosha wananchi ili waone anaonewa au eti anapigania maslahi yao. Historia inaonyesha amewahi kuanzisha ugomvi na watu wafuatao kwa sababu anazozijua yeye.
a) Alianzisha ugomvi na wamiliki wa vituo vya televisheni vya DTV na CTN mwaka 1994 kwa hofu tu ya kwamba watakuwa washindani wa kituo chake cha ITV na akafika hatua ya kuwazushia kwamba wanataka kumuua, akaufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

b) Alianzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Utawala Bora, Mheshimiwa Wilson Masilingi, baada ya kushindwa zabuni ya ubinafsishaji wa Hoteli ya Kilimanjaro, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima. Katika kudhihirisha jinsi alivyo mtu wa chuki na visasi, kutokana na kuikosa tu hoteli hiyo, amekuwa hakanyagi na hata hashiriki shughuli yoyote inayofanyika katika hoteli hiyo.

c) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda, Mheshimiwa Shamim Khan, kwa kutakiwa afute maelezo katika maji ya kunywa yanayozalishwa na kampuni yake kwamba yalikuwa ya chemchem wakati hayakuwa hivyo, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

d) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Mazingira, Mheshimiwa Edward Lowassa, aliyemkanya Mengi asitumie nafasi yake kama Mwenyekiti wa Baraza la Mazingira kuwakomoa washindani wake wa biashara kwa kuwazushia tuhuma za kuchafua mazingira na kuvifungia viwanda vyao, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

e) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Basil Mramba, baada ya kumnasa akikwepa kodi katika uendeshaji wa biashara yake ya bahati nasibu ya BINGO, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

f) Akaanzisha ugomvi na kampuni ya Habari Corporation iliyokuwa inaongozwa na Jenerali Ulimwengu baada ya kufichua habari za jinsi alivyoifilisi benki ya NBC, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

g) Akaanzisha ugomvi na mfanyabishara Yusuf Manji ambaye kwanza walikuwa wakigombea uendeshaji wa mchezo wa bahati nasibu, na baadaye akajenga chuki naye binafsi kwa sababu tu alifanikiwa kuusuluhisha mgogoro wa Yanga ambao Mengi ulimshinda, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

h) Akaanzisha ugomvi na Mheshimiwa Adam Malima ambaye alihoji Bungeni jinsi Mengi anavyotumia vibaya vyombo vyake vya habari kwa kutangaza habari za kujitukuza binafsi zaidi ya hata vinavyotangaza habari zinazowahusu viongozi wa kitaifa, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

i) Akaanzisha ugomvi na mfanyabiashara Tanil Somaiya baada ya kumuona kijana huyo aliyekuwa wakala wa kuuza bidhaa za viwanda vyake Mengi (kabla ya kuviua mwenyewe), ameweza kujiimarisha na kupata mafanikio makubwa ya kibiashara hata kumshinda yeye Mengi, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

j) Akaanzisha ugomvi na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mheshimiwa Lawrence Masha, kwa kuja na madai ya kutaka kuhujumiwa, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

k) Akaanzisha ugomvi na Ndugu Rostam Azizi, baada ya kuona kwamba amekuwa mshindani wake mkubwa katika umiliki wa vyombo vya habari hapa nchini, na aka ufanya ni ugomvi wa wa nchi nzima.

l) Akaanzisha ugomvi na Waziri wa Sayansi na Teknolojia Prof. Mbarawa Makame baada ya serikali kupitisha azimio la kubadili mfumo wa matangazo kutoka analojia kwenda digitali ambapo alikuwa akishinikiza watanzania wakatae kwa lengo la yeye mwenyewe kujinufaisha binafsi.

m) Ni huyu huyu Reginald Mengi amekuwa akipiga vita ya chini kwa chini kuhakikisha Tanzania haipati katiba bora kwa malengo yake binafsi na huu ni mpango mkakati anao uratibu kwa kushirikiana na UKAWA na baadhi ya balozi za kutoka nchi ya wahisani.

n) Na siku za karibuni kaanzisha ugomvi mkali na Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospter Muhongo baada ya kuona harakati zake za kutaka kupewa vitalu vya gesi bure kwa kigezo cha uzawa kugonga mwamba.
Watanzania tuna haja na kila sababu ya kujiuliza mara mbili mbili juu ya uhalali wa mtu huyu kuamua kutumia kigezo cha utetezi wa wanyonge (uzawa) kwa minajili ya kujinufaisha yeye binafsi na familia yake. Kamwe hatuwezi kukubali hili na tunatoa wito sasa ni wakati ambao serikali ina bidi ichekue hatua kali dhidi ya mmiliki huyu ambaye amekuwa akichochea vurugu na kuivuruga serikali pasipo sababu.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.

Sasa wewe [/FONT][/COLOR][/SIZE]SERGIO

Kuwa Business Investor ni BUSINESS COMPETATION na kama Unapenda Maendeleo na Kukuza Biashara yako kuna JELOUSITY -- Sasa kama unajiona kibiashara Unauwezo wa kumiliki MALI zilizokuwa za SERIKALI haupewi lakini wengine ndio wanapewa kwa sababu zisizona UZITO kwa UPANDE wako lazima utatafuta Weakness yoyote KIBIASHARA ya MSHINDANI wako ili tu Kuonyesha UKAKAMAVU wako kibiashara...

Wewe angalia Vita kati ya watengenezaji wa Ndege za BOEING - USA na AIRBUS - EUROPE

** Jamani tuache Uswahili wengi nje wakisoma hivi vihabari tunavyoandika - Inaonyesha JINSI tulivyo NYUMA kimaendeleo na sasa hivi ni kuongelea UADUI na UCHAFU no PROGRESS.
 
fisadi anayetumia kisingizio cha kutetea wanyonge kuzifanya chuki zake binafsi ziwe ni ugomvi wa kitaifa:
Kwa miaka mingi kumukuwepo na jitihada za makusudi kabisa zinazofanywa na vyombo vya habari vya ipp kuchafua baadhi ya wizara za serikali, watu binafsi na ofisi za taasisi mbalimbali kwa malengo yao binafsi wanayoyajua wao wenyewe. Ni wazi kabisa hakuna asiyejua chuki binafsi alizonazo mmiliki wa vyombo vya habari na baadhi ya waliokuwa viongozi wandamizi wa serikali na baadhi ya mawaziri ambao bado wanaendelea kuhudumu katika serikali. Mmiliki huyu amekuwa akitumia kivuli cha utetezi wa wanyonge kuanzisha vurugu dhidi vya viongozi wa serikali kwa kuaminisha uma kwamba anatetea maslahi ya watanzania. Jambo ambalo hata siku moja halijawahi kuwa na ukweli hata kidogo kwani siku zote amekuwa akitanguliza mbele maslahi yake binafsi kwa kigezo cha uzawa, kisha ya serikali na baadaye wananchi wa mwisho. Sote tunafahamu ufisadi aliokwisha wahi kuufanya kwa kivuli cha uzawa kupitia nbc, nico, commodity import support (cis), tanpack industries ltd na mengine mengi.
Kama ambavyo iliwahi kutamkwa huko nyuma, historia ya mengi inamuonyesha kwamba ni mtu anayependa kuanzisha ugomvi katika mambo yanayohusu maslahi yake binafsi lakini unapopamba moto na kuona anazidiwa, hutafuta hifadhi kwa kulia lia na kutaka aonewe huruma na kutaka kuliingiza taifa zima. Katika kufanikisha hayo, amekuwa akitumia vyombo vyake vya habari kuwapotosha wananchi ili waone anaonewa au eti anapigania maslahi yao. Historia inaonyesha amewahi kuanzisha ugomvi na watu wafuatao kwa sababu anazozijua yeye.
A) alianzisha ugomvi na wamiliki wa vituo vya televisheni vya dtv na ctn mwaka 1994 kwa hofu tu ya kwamba watakuwa washindani wa kituo chake cha itv na akafika hatua ya kuwazushia kwamba wanataka kumuua, akaufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

B) alianzisha ugomvi na aliyekuwa waziri wa utawala bora, mheshimiwa wilson masilingi, baada ya kushindwa zabuni ya ubinafsishaji wa hoteli ya kilimanjaro, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima. Katika kudhihirisha jinsi alivyo mtu wa chuki na visasi, kutokana na kuikosa tu hoteli hiyo, amekuwa hakanyagi na hata hashiriki shughuli yoyote inayofanyika katika hoteli hiyo.

C) akaanzisha ugomvi na aliyekuwa naibu waziri wa biashara na viwanda, mheshimiwa shamim khan, kwa kutakiwa afute maelezo katika maji ya kunywa yanayozalishwa na kampuni yake kwamba yalikuwa ya chemchem wakati hayakuwa hivyo, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

D) akaanzisha ugomvi na aliyekuwa waziri wa mazingira, mheshimiwa edward lowassa, aliyemkanya mengi asitumie nafasi yake kama mwenyekiti wa baraza la mazingira kuwakomoa washindani wake wa biashara kwa kuwazushia tuhuma za kuchafua mazingira na kuvifungia viwanda vyao, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

E) akaanzisha ugomvi na aliyekuwa waziri wa fedha, mheshimiwa basil mramba, baada ya kumnasa akikwepa kodi katika uendeshaji wa biashara yake ya bahati nasibu ya bingo, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

F) akaanzisha ugomvi na kampuni ya habari corporation iliyokuwa inaongozwa na jenerali ulimwengu baada ya kufichua habari za jinsi alivyoifilisi benki ya nbc, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

G) akaanzisha ugomvi na mfanyabishara yusuf manji ambaye kwanza walikuwa wakigombea uendeshaji wa mchezo wa bahati nasibu, na baadaye akajenga chuki naye binafsi kwa sababu tu alifanikiwa kuusuluhisha mgogoro wa yanga ambao mengi ulimshinda, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

H) akaanzisha ugomvi na mheshimiwa adam malima ambaye alihoji bungeni jinsi mengi anavyotumia vibaya vyombo vyake vya habari kwa kutangaza habari za kujitukuza binafsi zaidi ya hata vinavyotangaza habari zinazowahusu viongozi wa kitaifa, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

I) akaanzisha ugomvi na mfanyabiashara tanil somaiya baada ya kumuona kijana huyo aliyekuwa wakala wa kuuza bidhaa za viwanda vyake mengi (kabla ya kuviua mwenyewe), ameweza kujiimarisha na kupata mafanikio makubwa ya kibiashara hata kumshinda yeye mengi, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

J) akaanzisha ugomvi na waziri wa mambo ya ndani, mheshimiwa lawrence masha, kwa kuja na madai ya kutaka kuhujumiwa, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

K) akaanzisha ugomvi na ndugu rostam azizi, baada ya kuona kwamba amekuwa mshindani wake mkubwa katika umiliki wa vyombo vya habari hapa nchini, na aka ufanya ni ugomvi wa wa nchi nzima.

L) akaanzisha ugomvi na waziri wa sayansi na teknolojia prof. Mbarawa makame baada ya serikali kupitisha azimio la kubadili mfumo wa matangazo kutoka analojia kwenda digitali ambapo alikuwa akishinikiza watanzania wakatae kwa lengo la yeye mwenyewe kujinufaisha binafsi.

M) ni huyu huyu reginald mengi amekuwa akipiga vita ya chini kwa chini kuhakikisha tanzania haipati katiba bora kwa malengo yake binafsi na huu ni mpango mkakati anao uratibu kwa kushirikiana na ukawa na baadhi ya balozi za kutoka nchi ya wahisani.

N) na siku za karibuni kaanzisha ugomvi mkali na waziri wa nishati na madini prof. Sospter muhongo baada ya kuona harakati zake za kutaka kupewa vitalu vya gesi bure kwa kigezo cha uzawa kugonga mwamba.
Watanzania tuna haja na kila sababu ya kujiuliza mara mbili mbili juu ya uhalali wa mtu huyu kuamua kutumia kigezo cha utetezi wa wanyonge (uzawa) kwa minajili ya kujinufaisha yeye binafsi na familia yake. Kamwe hatuwezi kukubali hili na tunatoa wito sasa ni wakati ambao serikali ina bidi ichekue hatua kali dhidi ya mmiliki huyu ambaye amekuwa akichochea vurugu na kuivuruga serikali pasipo sababu.
Mungu ibariki afrika, mungu ibariki tanzania.

huyu muh.uni ndiye aliyeleta andiko na kule facebook!

Yaani urefu wooote wa bandiko hili kumbe ni kumtetea fisadi muhongo?
Hovyoooooooo!
 
hana lolote huyo mzee. Ana roho mbaya kupindukia. Kama kweli ni mtu mwema kwa nini kila wakati anagombana na viongozi wa serikali? Ameshawafanyia watu wengi ukatili wa kutisha hadi wengine wamepoteza maisha. Si huyu ndiye aliyetajwa na mtikila hata kwenye mauaji ya chacha wangwe? Siku ile alienda dodoma kufanya nini? Huyu mtu ni wa kumulikwa.

maviongozi mafisadi basi ni viongozi basii!
Ni feki tu,tena namshukuru mengi kwa kukorofishana nayo, maana angeungana nayo sijui tunge upata wapi uhondo wa habari nzito za ufisadi nchi hii!
 
Willafrika uko sawa,ukijiunga na chama cha majizi,uko poa kosa ujitoe, makosa yao yote wanakupatia wewe,
 
watanzania tuna mahaba ya ajabu sana...na ni wepesi sana kusahaulishwa tulishalishwa sumu ya kuaminishwa. Huwa hata hatufikiri juu ya mambo mengine tena...ni kama reasoning yetu inakuwa blured.

Siutetei ufisadi wa escrow wala pia sioni vilevile kama mengi ni mtu mbaya saana.

Ila nimemuelewa mtoa mada. Mtoa mada amejaribu kuonyesha the otherside of the so called mtetezi wa wanyonge....full of --

Siku zote nimekuwa nikijiuliza hv ni mpaka mengi awe na maslahi juu ya jambo flani ndio atushirikishe kwenye ugomvi wake? halafu anatulazimisha kuangalia ugomvi wake kwenye tv station yake.

Kifupi anatuona maboya na sisi tumejisahau na kujisemea eti ni mtetezi wa wanyonge...lakini ukiangalia utetezi huo huja baada ya kuwa amekosana na mtu flani juu ya jambo lenye maslahi flani. au utetezi ni kulisha albino diamond jubilee?
 
Mbona hujaweka na matokeo ya huo "ugonvi" anaonzisha mengi! Huwa Anashinda au anashindwa?
 
Willafrika uko sawa,ukijiunga na chama cha majizi,uko poa kosa ujitoe, makosa yao yote wanakupatia wewe,

mkuu hawa mafisad hakuna kuyapa upenyo wa kujisafisha hata kidogo maana yana hila haya!
eti muhongo???fisazdi mkubwa .
 
h) Akaanzisha ugomvi na Mheshimiwa Adam Malima ambaye alihoji Bungeni jinsi Mengi anavyotumia vibaya vyombo vyake vya habari kwa kutangaza habari za kujitukuza binafsi zaidi ya hata vinavyotangaza habari zinazowahusu viongozi wa kitaifa, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

Kwenye hili la kushutumiwa kujitangaza mwenyewe badala ya viongozi kwa kweli sikuwaelewa critics wa Mengi. Hivi chombo cha habari lazima kitangaze habari za viongozi?

Viongozi wanayo state run outlet ya kuwaimbia sifa masaa 24, TBC TV na redio, haiwatoshi? TBC walimpa JK saa nzima kuwasihi Watanzania tukapime prostate gland baada ya kutueleza alivyopimwa New York halafu akapata referral kwenda John Hopkins kwa daktari aliyegundua kipimo cha tezi dume akapasuliwe tezi dume.

Which was a total waste of media time kwa Watanzania ambao hatujawahi kusikia hivyo vipimo vya hayo matatizo, tunakufa nayo, we couldn't care less. Haziwatoshi hizo wasteful media exposure?
 
mtoa mada anamjua mengi kama alizaliwa naye nafikiri alikuwa IPP MEADIA

Mengi ana Madhambi mengi kama lilivyo jina lake, kwanza Wafanyakazi wake Anawaibia sana kwa kuwalipa mishahara Mibovu, Rostam Azizi aliuza hiza zake za Voda kwa dola million 300 akaondoka Nchini pasipo kulipa kodi baada ya kumugawia mengi Mabilioni kwa ajili yakumaliza Ugonvi wao na pia Mengi kamsaida kukwepa kodi.
 
Litakuwa limeongwa na majizi ya Taifa hili, she.nzi kabisaa.

Amehongwa na nani? Mbona yote aliyosema ni ya Ukweli! Mengi si Mungu eti hana Dhambi ! Huyo mengi ana Vioja kibao tu, hapa Tz hakuna na aliye Msaafi kiasi cha kuwanyooshea wenzake vidole.
 
FISADI ANAYETUMIA KISINGIZIO CHA KUTETEA WANYONGE KUZIFANYA CHUKI ZAKE BINAFSI ZIWE NI UGOMVI WA KITAIFA:
Kwa miaka mingi kumukuwepo na jitihada za makusudi kabisa zinazofanywa na vyombo vya habari vya IPP kuchafua baadhi ya wizara za serikali, watu binafsi na ofisi za taasisi mbalimbali kwa malengo yao binafsi wanayoyajua wao wenyewe. Ni wazi kabisa hakuna asiyejua chuki binafsi alizonazo mmiliki wa vyombo vya habari na baadhi ya waliokuwa viongozi wandamizi wa serikali na baadhi ya mawaziri ambao bado wanaendelea kuhudumu katika serikali. Mmiliki huyu amekuwa akitumia kivuli cha utetezi wa wanyonge kuanzisha vurugu dhidi vya viongozi wa serikali kwa kuaminisha uma kwamba anatetea maslahi ya watanzania. Jambo ambalo hata siku moja halijawahi kuwa na ukweli hata kidogo kwani siku zote amekuwa akitanguliza mbele maslahi yake binafsi kwa kigezo cha uzawa, kisha ya serikali na baadaye wananchi wa mwisho. Sote tunafahamu ufisadi aliokwisha wahi kuufanya kwa kivuli cha uzawa kupitia NBC, NICO, Commodity Import Support (CIS), TANPACK Industries Ltd na mengine mengi.
Kama ambavyo iliwahi kutamkwa huko nyuma, historia ya Mengi inamuonyesha kwamba ni mtu anayependa kuanzisha ugomvi katika mambo yanayohusu maslahi yake binafsi lakini unapopamba moto na kuona anazidiwa, hutafuta hifadhi kwa kulia lia na kutaka aonewe huruma na kutaka kuliingiza Taifa zima. Katika kufanikisha hayo, amekuwa akitumia vyombo vyake vya habari kuwapotosha wananchi ili waone anaonewa au eti anapigania maslahi yao. Historia inaonyesha amewahi kuanzisha ugomvi na watu wafuatao kwa sababu anazozijua yeye.
a) Alianzisha ugomvi na wamiliki wa vituo vya televisheni vya DTV na CTN mwaka 1994 kwa hofu tu ya kwamba watakuwa washindani wa kituo chake cha ITV na akafika hatua ya kuwazushia kwamba wanataka kumuua, akaufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

b) Alianzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Utawala Bora, Mheshimiwa Wilson Masilingi, baada ya kushindwa zabuni ya ubinafsishaji wa Hoteli ya Kilimanjaro, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima. Katika kudhihirisha jinsi alivyo mtu wa chuki na visasi, kutokana na kuikosa tu hoteli hiyo, amekuwa hakanyagi na hata hashiriki shughuli yoyote inayofanyika katika hoteli hiyo.

c) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda, Mheshimiwa Shamim Khan, kwa kutakiwa afute maelezo katika maji ya kunywa yanayozalishwa na kampuni yake kwamba yalikuwa ya chemchem wakati hayakuwa hivyo, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

d) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Mazingira, Mheshimiwa Edward Lowassa, aliyemkanya Mengi asitumie nafasi yake kama Mwenyekiti wa Baraza la Mazingira kuwakomoa washindani wake wa biashara kwa kuwazushia tuhuma za kuchafua mazingira na kuvifungia viwanda vyao, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

e) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Basil Mramba, baada ya kumnasa akikwepa kodi katika uendeshaji wa biashara yake ya bahati nasibu ya BINGO, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

f) Akaanzisha ugomvi na kampuni ya Habari Corporation iliyokuwa inaongozwa na Jenerali Ulimwengu baada ya kufichua habari za jinsi alivyoifilisi benki ya NBC, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

g) Akaanzisha ugomvi na mfanyabishara Yusuf Manji ambaye kwanza walikuwa wakigombea uendeshaji wa mchezo wa bahati nasibu, na baadaye akajenga chuki naye binafsi kwa sababu tu alifanikiwa kuusuluhisha mgogoro wa Yanga ambao Mengi ulimshinda, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

h) Akaanzisha ugomvi na Mheshimiwa Adam Malima ambaye alihoji Bungeni jinsi Mengi anavyotumia vibaya vyombo vyake vya habari kwa kutangaza habari za kujitukuza binafsi zaidi ya hata vinavyotangaza habari zinazowahusu viongozi wa kitaifa, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

i) Akaanzisha ugomvi na mfanyabiashara Tanil Somaiya baada ya kumuona kijana huyo aliyekuwa wakala wa kuuza bidhaa za viwanda vyake Mengi (kabla ya kuviua mwenyewe), ameweza kujiimarisha na kupata mafanikio makubwa ya kibiashara hata kumshinda yeye Mengi, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

j) Akaanzisha ugomvi na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mheshimiwa Lawrence Masha, kwa kuja na madai ya kutaka kuhujumiwa, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

k) Akaanzisha ugomvi na Ndugu Rostam Azizi, baada ya kuona kwamba amekuwa mshindani wake mkubwa katika umiliki wa vyombo vya habari hapa nchini, na aka ufanya ni ugomvi wa wa nchi nzima.

l) Akaanzisha ugomvi na Waziri wa Sayansi na Teknolojia Prof. Mbarawa Makame baada ya serikali kupitisha azimio la kubadili mfumo wa matangazo kutoka analojia kwenda digitali ambapo alikuwa akishinikiza watanzania wakatae kwa lengo la yeye mwenyewe kujinufaisha binafsi.

m) Ni huyu huyu Reginald Mengi amekuwa akipiga vita ya chini kwa chini kuhakikisha Tanzania haipati katiba bora kwa malengo yake binafsi na huu ni mpango mkakati anao uratibu kwa kushirikiana na UKAWA na baadhi ya balozi za kutoka nchi ya wahisani.

n) Na siku za karibuni kaanzisha ugomvi mkali na Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospter Muhongo baada ya kuona harakati zake za kutaka kupewa vitalu vya gesi bure kwa kigezo cha uzawa kugonga mwamba.
Watanzania tuna haja na kila sababu ya kujiuliza mara mbili mbili juu ya uhalali wa mtu huyu kuamua kutumia kigezo cha utetezi wa wanyonge (uzawa) kwa minajili ya kujinufaisha yeye binafsi na familia yake. Kamwe hatuwezi kukubali hili na tunatoa wito sasa ni wakati ambao serikali ina bidi ichekue hatua kali dhidi ya mmiliki huyu ambaye amekuwa akichochea vurugu na kuivuruga serikali pasipo sababu.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.

Rostam sasa ni marafiki sana na Mengi baada ya kuuza hisa za voda kwa Dola milion 300 kisha akatimuka pasipo kulipa Kodi kwa msaada wa Regnal mengi ambaye alipewa Mabilioni kama njia ya kumaliza Ugonvi wao na kumsaidia Rostam kukwepa kodi.
 
Mbona hujaweka na matokeo ya huo "ugonvi" anaonzisha mengi! Huwa Anashinda au anashindwa?

Ugonvi mwingi na Wahindi amewachuna pesa, Mfano Rostam Azizi amemlipa Mabilioni kumaliza Ugonvi wao na Pa mengi amemsaidia kukwepa Kodi
 
watanzania tuna mahaba ya ajabu sana...na ni wepesi sana kusahaulishwa tulishalishwa sumu ya kuaminishwa. Huwa hata hatufikiri juu ya mambo mengine tena...ni kama reasoning yetu inakuwa blured.
Siutetei ufisadi wa escrow wala pia sioni vilevile kama mengi ni mtu mbaya saana.
Ila nimemuelewa mtoa mada. Mtoa mada amejaribu kuonyesha the otherside of the so called mtetezi wa wanyonge....full of ----.
Siku zote nimekuwa nikijiuliza hv ni mpaka mengi awe na maslahi juu ya jambo flani ndio atushirikishe kwenye ugomvi wake? halafu anatulazimisha kuangalia ugomvi wake kwenye tv station yake. Kifupi anatuona maboya na sisi tumejisahau na kujisemea eti ni mtetezi wa wanyonge...lakini ukiangalia utetezi huo huja baada ya kuwa amekosana na mtu flani juu ya jambo lenye maslahi flani. au utetezi ni kulisha albino diamond jubilee?
Mengi huwa hana cha bure kila mahala yeye hupiga. Hata walemavu huwa anawatumia kwenda kuomba misamaha ya kodi, hivyo Tambua zile pati za vilema huwa ni dili hakuna mahala mengi anapita Hivi hivihivi
 
Ugonvi mwingi na Wahindi amewachuna pesa, Mfano Rostam Azizi amemlipa Mabilioni kumaliza Ugonvi wao na Pa mengi amemsaidia kukwepa Kodi

na sirikali inajua hilo na ipo kimya!nchi ya ajabu sana hii kumbe.
 
Back
Top Bottom