Huyu ndiye Cedric Kaze, Kocha mpya wa Yanga anayerudisha heshima Yanga

Uzi ulikuwa mtamu sana huu kweli ogopa sana Mungu na teknolojia! Maana sifa alizomwagiwa huyu kocha ktk huu uzi sio za dunia hii! Kuna mmoja alisema huyu kocha anaona akimbadilisha Nchimbi na kuwa streka namba moja Toka kaze aje hadi anasepa Nchimbi hajafunga
 
Ngoja tuhoji kitaa kuhusu hili.
Kupitia https://m.youtube.com/channel/UCUzK7v2L8t7qH0mDQ_7CuWg
PicsArt_03-07-04.19.42.jpg
 
Nimemtazama Kocha Cedric Kaze, nimeitazama tena Yanga ikiwa inacheza kisha nikamtazama tena yeye, nikasafiri mbali sana kupitia makabrasha yake Bwana Kaze.

Kaze huyu ana leseni A ya CAF na Leseni A ya Chama cha soka Ujerumani (DFB) ndio leseni ngumu zaidi ya ukocha kupatikana duniani, kifupi jina lake lipo kwenye daftari moja na wakina Jurgen Klopp.

Kaze huyu ndie alikuwa Mchambuzi wa viwango kwa timu ya Taifa ya Ujerumani chini ya miaka 21, kilichotwaa kombe la dunia 2009, weka nukta hapo! Yaani Ujerumani walimpa majukumu nyeti sana.

Kaze huyu alipewa kazi maalum na taifa la Ujerumani kufuatilia viwango vya viungo wao ingali wadogo, Toni Kroos, Sami Khedira na Mesuit Ozil, aliifanya kazi na akaikamilisha kazi.

Kwanini namtaja sana Kaze leo?? Naachaje kumtaa kama mnamwona Kibwana Shomari mchezaji kinda amebadilika kabisa anachukua mali eneo lake, anatunza mali kwa kujiamini na anaitoa kwa kujiamini.

Naachaje kumtaja Kaze kama ndie amempeleka Fei Toto mgahawani kisha achague Menu anayotaka, alichofanya yeye ni kumlipia bill yake, akamuweka sawa Mukoko, akawaambia Yanga chezeni kwa kumtazama huyu mtoto, nadhani mnamwona.

Naachaje kumtaja Kaze kama sio yeye aliemuibua Saido Ntabazonkiza ingali kinda, akacheza michezo ya Rolling stone pale Arusha, akaenda Ulaya na karudi tena kwenye mikono yake, tukionacho kwake ni matokeo ya akili ya Kaze, aliesema mpeni mpira aamue yeye
Natamani sana nimalize kwa kusema nyuma ya ubora wa Yanga Afrika ni huyu Kaze, natamani tumsake yule Mswahili aliesema 'Ngoja ngoja huumiza matumbo' tumuombe atengue kauli.

Goli tatu, alama tatu na round ya kwanza imeisha.
Yuko vizuri
IMG-20210307-WA0152.jpg
 
Uliwadharau wahenga waliokuja na msemo Ngoja Ngoja huumiza Matumbo, sasa Yanga wamepita humohumo ktk huo msemo wameona wakingoja wataumia matumbo wametimua.Waombe radhi wahenga na usirudie tena kuhoji walichosema wahenga
 
Cedric kaze
Kuna siku katika pita pita zangu mtandaoni,nikasikia jina hili

Mimi sikumjua ikabidi nimwonyeshe mtani wangu shabiki wa mikia,alipoliona jina alistuka,ila akanipongeza.

Akanipa mawili matatu ya huyu jamaa,na Sasa nimeanza kuamini.

Kuanzia ukuta,viungo,ushambuliaji kote kunaimarika,na huyu wanamwita Saidoo!!!!!!!!!!!!kazi ipo
Say it again
 
punguzeni midomo
 
Back
Top Bottom