Huyu ndiye Cedric Kaze, Kocha mpya wa Yanga anayerudisha heshima Yanga

Hukusikia kuwa makubaliano ya makataba na Kaze yalifanyika kabla hajafika nchini na alishiriki kwenye usajili wa baadhi ya Wachezaji kwa kuwaambia viongozi wa Yanga wasajili Wachezaji fulani akija awakute?
Tena ni kalinyos tu ndo alisajiliwa bila kupendekezwa na Kaze
 
Nimemtazama Kocha Cedric Kaze, nimeitazama tena Yanga ikiwa inacheza kisha nikamtazama tena yeye, nikasafiri mbali sana kupitia makabrasha yake Bwana Kaze.

Kaze huyu ana leseni A ya CAF na Leseni A ya Chama cha soka Ujerumani (DFB) ndio leseni ngumu zaidi ya ukocha kupatikana duniani, kifupi jina lake lipo kwenye daftari moja na wakina Jurgen Klopp.

Kaze huyu ndie alikuwa Mchambuzi wa viwango kwa timu ya Taifa ya Ujerumani chini ya miaka 21, kilichotwaa kombe la dunia 2009, weka nukta hapo! Yaani Ujerumani walimpa majukumu nyeti sana.

Kaze huyu alipewa kazi maalum na taifa la Ujerumani kufuatilia viwango vya viungo wao ingali wadogo, Toni Kroos, Sami Khedira na Mesuit Ozil, aliifanya kazi na akaikamilisha kazi.

Kwanini namtaja sana Kaze leo?? Naachaje kumtaa kama mnamwona Kibwana Shomari mchezaji kinda amebadilika kabisa anachukua mali eneo lake, anatunza mali kwa kujiamini na anaitoa kwa kujiamini.

Naachaje kumtaja Kaze kama ndie amempeleka Fei Toto mgahawani kisha achague Menu anayotaka, alichofanya yeye ni kumlipia bill yake, akamuweka sawa Mukoko, akawaambia Yanga chezeni kwa kumtazama huyu mtoto, nadhani mnamwona.

Naachaje kumtaja Kaze kama sio yeye aliemuibua Saido Ntabazonkiza ingali kinda, akacheza michezo ya Rolling stone pale Arusha, akaenda Ulaya na karudi tena kwenye mikono yake, tukionacho kwake ni matokeo ya akili ya Kaze, aliesema mpeni mpira aamue yeye
Natamani sana nimalize kwa kusema nyuma ya ubora wa Yanga Afrika ni huyu Kaze, natamani tumsake yule Mswahili aliesema 'Ngoja ngoja huumiza matumbo' tumuombe atengue kauli.

Goli tatu, alama tatu na round ya kwanza imeisha.

Copy and pest
 
Huyo sio kocha wa kawaida
 
Kaze ni bonge la kochaa nadhan mako ha wazawa wana kitu cha kujifunza kutoka kwa kaze, nimeipenda sana ile program na style yake ya kuwafanyia ‘mentoring’ na kuwajenga baadhi ya wachezaji wa tim pinzan mara baada ya mechi baina yao na yanga kumalizika, hii kitu sijawai iona popote.....
 
kweli kabisa bonge la kocha toka barcelona
 
Kaze ni bonge la kochaa nadhan mako ha wazawa wana kitu cha kujifunza kutoka kwa kaze, nimeipenda sana ile program na style yake ya kuwafanyia ‘mentoring’ na kuwajenga baadhi ya wachezaji wa tim pinzan mara baada ya mechi baina yao na yanga kumalizika, hii kitu sijawai iona popote.....
Kwel asee
 
8a1cff1a-bbfe-41e9-b358-667827a109f4.jpg
 
Back
Top Bottom