Huyu kocha mpya anawafaa yanga kwa mpira wao wa sasa hivi

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Nimepata jibu kwanini yanga wametafuta huyu kocha
Falsafa moja ya yanga ni kushambulia sio ugenini au nyumbani
Ndivyo kocha nabi alivyo wazoeza
Na huyu kocha mpya ni mpenzi saana wa mpira wa kushambulia saana
Hasa hasa pembeni mwa uwanja
Tutegemee Juma shamban na lomalisa kutumika saana Msimu ujao

Kazi ni kushuka sasa

Mechi ya wydad na keize chiefs mwaka 2020 wydad walifungwa na keizer chiefs kwasababu walikuwa wanapanda wote kutafuta matokeo
 
Maxmelo angetuwekea option ya kucheka kwa voice,, anyway dhidi ya timu zinazoshuka daraja
 
Nimepata jibu kwanini yanga wametafuta huyu kocha
Falsafa moja ya yanga ni kushambulia sio ugenini au nyumbani
Ndivyo kocha nabi alivyo wazoeza
Na huyu kocha mpya ni mpenzi saana wa mpira wa kushambulia saana
Hasa hasa pembeni mwa uwanja
Tutegemee Juma shamban na lomalisa kutumika saana Msimu ujao

Kazi ni kushuka sasa

Mechi ya wydad na keize chiefs mwaka 2020 wydad walifungwa na keizer chiefs kwasababu walikuwa wanapanda wote kutafuta matokeo
Hamna kocha pale
 
Back
Top Bottom