Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,413
- 55,987
HahaaaaaHizi thread zenu tutakuja kuzifufua mwezi march tu hapo,Mungu akipenda inshallah!
HahaaaaaHizi thread zenu tutakuja kuzifufua mwezi march tu hapo,Mungu akipenda inshallah!
Wewe mtu ni hatari Sana na kweli bwana Mar hiyo kisu kimemla kaze wetuHizi thread zenu tutakuja kuzifufua mwezi march tu hapo,Mungu akipenda inshallah!
Nakuafiki kwa hili hata huyu wa sasa atakumbwa na hili km kishingoukweli usemwe,mimi mshabiki wa simba sichelewi kusingiziwa ni utopo kafufue nyuzi zangu utaelewa niko upande gani...KISHINGO KUNA MAWILI ABADILI MFUMO AU AONDOKE...KIUNGO KINAKUWA EXPOSED SANA KISENGESENGE,UTOPOLO TUMEWAZIDI UBORA WA WACHEZAJI SANA TU,WAMETUZIDI UBORA WA KOCHA NA SPIRIT YA TEAM,YAANI TUNACHEZA KAMA KONOKONO NA TEJA HALIJUI CHA KUFANYA MFUMO WAKE WA 4-2-3-1 UKIFELI
kweli kabisa bonge la kocha toka barcelonaKaze ni bonge la kochaa nadhan mako ha wazawa wana kitu cha kujifunza kutoka kwa kaze, nimeipenda sana ile program na style yake ya kuwafanyia ‘mentoring’ na kuwajenga baadhi ya wachezaji wa tim pinzan mara baada ya mechi baina yao na yanga kumalizika, hii kitu sijawai iona popote.....
I hope not..wakati natuma hii comment unakumbuka Yanga walivyokuwa wanacheza?speed yao ku compare na simba?sijui nini kimewakuta i think kuna tatizo nje ya uwanja,ukiachilia mbali viwango ila walikuwa wanapambana kwelikweli hadi kuna siku manara akiwa redion EFM alisema anatamani kuona SPIRIT ya wachezaji wa simba ku fight for the jersey iwe kama ya yangaNakuafiki kwa hili hata huyu wa sasa atakumbwa na hili km kishingo
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app