Huyu mzee kwanini hataki kuzeeka?

Huyu mzee kwanini hataki kuzeeka?

Mleta mada utakuwa hujui mziki, ukijua sana labda kina Marioo na Harmonize.

Huyu mzee ni multitalented anaweza imba nyimbo aina zote live tena smooth bila kupayuka kama show za fiesta.

Ukimsikiliza akiimba stuck on you, coward of the county, mysterious girl n.k halafu ukirudi kwenye lingala na zilipendwa za kina marijani rajab na tabora jazz usingesema hayo
 
Ghafla nimemkumbuka Le mutuz super brand
Kweli kila mtu na bahati yake.

Le Mutuz anatukanwa kwa vituko vyake mtandaoni kuwa haviendani na umri wake, hapa Mzee huyu kwenye mada anatetewa!?

Diamond alisemwa sana kumkana baba yake, lakin Omy Dimpoz anatetewa kumkana baba yake.

YES, BAHATI YA MWENZIO USIILALIE MLANGO WAZI!!@#)(&%$=÷×%@(₩
 
Mbona kwenye insta yake anaonekana ni msanii tu anatafuta ugali wake?

Watu wanalipa kwenda kumuona kama wasingekuwa wanaridhika wasingelipa...
 
Anajiita babloon kisauji, vitu anavyofanya huko Instagram na umri wake haviendani kabisa. Ni utoto na ujinga mtupu.

Naona anaimba kwenye mabaa tu, anavyoimba vyenyewe hata havieleweki.

Sijui hata kama anawashauri huyu.

View attachment 2351974
Kama walivyotamka wajumbe wengine nami nakazia kwa kusema wewe mleta uzi ni MTU MPUMBAVU.
 
Kila mtu haangaike na mambo yake.
Kwanza kumjadili mtu ni akili ndogo tu ndio hufanya hivyo.
 
Afu huyu mzee kweli au nywele kapaka bleach tu? Mie sijauona huo uzee wake!
 
Tusiwalaumu sana watu wa namna hii.. Kuna vipindi viliwapita acha sasa walipize
Sio kweli mkuu, wazee wa kisasa ni tofauti na zamani. Kwani kua mzee ni ugonjwa hadi asifanye hayo anayofanya, hii ni karne ya 21 mzee tiktok yupo vizuri anatafuta mkate huku anaondoa stress, nini mbaya??
 
Back
Top Bottom