Walikunywa pombe ndio anamwambia anywe supu akate hangover!Alikufanya kitu gani kipya mpk akwambie unywe supu irudishe maumbile vzr
Hapana, unakosea. Soma vizuri maelezo yake, anachohitaji ni kuonyeshwa kuwa anapendwa na kujaliwa kwa hata zawadi ndogo, mfano amesema vocha.Ww kwani huna hizo pesa za supu?? Sio kila kitu lazima atoe mfukoni mwako mengine unajiongeza mwenyewe, unataka akuachie pesa kwani ilikuwa biashara au kama ni biashara basi mgeweka makubaliano.
Fadhal umenielewa watu wanashindwa kunielewa....imagine now naumwa Jana kaja nyumban kunisalimia anaondoka nikamwambia siwezi kupika naomba kama utaweza niletee chips maana nilimeza malafin na yeye ni shahidi ....akaondoka badae akadai amefika mbali sory dear roho inaniuma kukuacha njaa na unaumwa ila nipo mbali....wakati hata dakika 5 haxijapita yangu Stoke kwanguHapana, unakosea. Soma vizuri maelezo yake, anachohitaji ni kuonyeshwa kuwa anapendwa na kujaliwa kwa hata zawadi ndogo, mfano amesema vocha.
Hata kama ana pesa, siku moja moja unampa japo ya supu sio kulipia chumba tu!
Asee piga chini hiyo kituuu...Fadhal umenielewa watu wanashindwa kunielewa....imagine now naumwa Jana kaja nyumban kunisalimia anaondoka nikamwambia siwezi kupika naomba kama utaweza niletee chips maana nilimeza malafin na yeye ni shahidi ....akaondoka badae akadai amefika mbali sory dear roho inaniuma kukuacha njaa na unaumwa ila nipo mbali....wakati hata dakika 5 haxijapita yangu Stoke kwangu
weeeeee ACHANA NAE.....unajiumiza bure wanaume wapo kibaooooo...Fadhal umenielewa watu wanashindwa kunielewa....imagine now naumwa Jana kaja nyumban kunisalimia anaondoka nikamwambia siwezi kupika naomba kama utaweza niletee chips maana nilimeza malafin na yeye ni shahidi ....akaondoka badae akadai amefika mbali sory dear roho inaniuma kukuacha njaa na unaumwa ila nipo mbali....wakati hata dakika 5 haxijapita yangu Stoke kwangu
Njoo pm upate hela ya supu....mengineyo tutamtumia picha wasup tukiwa tunakunywa supu nzito.Nina mpenzi wangu nampenda saana na yeye kwa madai yake ananipenda. Kiukweli sijawahi kumuomba hata sent 1 na sina tabia hiyo but nashindwa kuelewa hata kama mtu unampenda kweli unashindwa hata kampa hela ya vocha tu!
Leo kuna kitu kimeniuma sana, jana kaniambia tutoke tukaenda gesti tumelala asubuhi kaondoka jamani hajaniachia hata hela ya nauli. Kilichoniuma alipofika kazini kaniandikia msg "dear jitahidi unywe supu nzito kabla haujaondoka si unaona kazi ilivyokuwa".
Nimeumia sana na jana kapokea mshahara roho imeniuma sana nashindwa nimuweke kundi gani. Naomben ushauri huyu mtu ana mapenz na mimi kweli??



We kwako hela ndo kipimo cha mapenzi?Nina mpenzi wangu nampenda saana na yeye kwa madai yake ananipenda. Kiukweli sijawahi kumuomba hata sent 1 na sina tabia hiyo but nashindwa kuelewa hata kama mtu unampenda kweli unashindwa hata kampa hela ya vocha tu!
Leo kuna kitu kimeniuma sana, jana kaniambia tutoke tukaenda gesti tumelala asubuhi kaondoka jamani hajaniachia hata hela ya nauli. Kilichoniuma alipofika kazini kaniandikia msg "dear jitahidi unywe supu nzito kabla haujaondoka si unaona kazi ilivyokuwa".
Nimeumia sana na jana kapokea mshahara roho imeniuma sana nashindwa nimuweke kundi gani. Naomben ushauri huyu mtu ana mapenz na mimi kweli??
inauma asikuambie mtuu![]()
![]()
![]()
yaan mm kwanza ile unaondoka ntanunaa...
dawa ya mbahili unamkomesha kwenye mloo...
nakula ht 20 at least yaani
naagiza kukuu mzima![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
,chips,yai Bavaria,maji ya na mishikaki 2