Huyu mwanaume ananipenda kweli?

Huyu mwanaume ananipenda kweli?

KUNA WAKATI MTU UNABIDI UJIONGEZEE...SIO MPAKA UOMBWE...MAPENZI SIO PESA...ILA KUWA MPENZI WA MTU MAANA YAKE...MMEPEANA HATI MILIKI YA KILA MMOJA WENU...HIVYO...LAKO NI LAKE...!!

KWA MTINDO HUO...MAANA AKE MWANAUME HATA KAMA MWANAMKE ULIYE NAE ANA HELA KIASI GANI...HIYO SHILINGI MIA ULIYONAYO INA MAANA KUBWA SANAA..LAKINI MWANAUME UNAKAA HUJUI HUYO MWANAUME ANAKULA NINI...ANAVAA NINI...PEDI ANAMNUNULIA NANI...HUO NI UNYONYAJI...KWA MAANA MOJA AMA NYINGINE HUYO MWANAUME ANAKUTAKA MPAKA UMUOMBE ILI MWISHO WA SIKU AKUAMBIE UNAPENDA HELA...HAJIONGEZI...NA KAMA HAJIONGEZI HAKUJALI...JIONGEZE WEWE...!!
 
Aise bora nikopeshe pesa ila kukopesha pale NO. Huo mkopo unauma. Bora ujigonge penzoni mwakitanda kuliko mtu kukopa inaumiza sana. Ndomaana wanawake nawsii tupige kazi sana. Hiyo iwe yanyongeza au ctare. Maana sometimes mwanaumke kukopa anangalia hadhi yako.
Tujipange upya
 
Nimetukana kwa sauti jamaa kiboko duh pole dada
 
Nina mpenzi wangu nampenda saana na yeye kwa madai yake ananipenda. Kiukweli sijawahi kumuomba hata sent 1 na sina tabia hiyo but nashindwa kuelewa hata kama mtu unampenda kweli unashindwa hata kampa hela ya vocha tu!

Leo kuna kitu kimeniuma sana, jana kaniambia tutoke tukaenda gesti tumelala asubuhi kaondoka jamani hajaniachia hata hela ya nauli. Kilichoniuma alipofika kazini kaniandikia msg "dear jitahidi unywe supu nzito kabla haujaondoka si unaona kazi ilivyokuwa".

Nimeumia sana na jana kapokea mshahara roho imeniuma sana nashindwa nimuweke kundi gani. Naomben ushauri huyu mtu ana mapenz na Mimi kweli??

mimi nakupenda na kwa nini umekuja kunianika mtandaon sasa kwa nzia Leo usinifuatilie fumbaf thana in kinyambe voice
 
m
Nina mpenzi wangu nampenda saana na yeye kwa madai yake ananipenda. Kiukweli sijawahi kumuomba hata sent 1 na sina tabia hiyo but nashindwa kuelewa hata kama mtu unampenda kweli unashindwa hata kampa hela ya vocha tu!

Leo kuna kitu kimeniuma sana, jana kaniambia tutoke tukaenda gesti tumelala asubuhi kaondoka jamani hajaniachia hata hela ya nauli. Kilichoniuma alipofika kazini kaniandikia msg "dear jitahidi unywe supu nzito kabla haujaondoka si unaona kazi ilivyokuwa".

Nimeumia sana na jana kapokea mshahara roho imeniuma sana nashindwa nimuweke kundi gani. Naomben ushauri huyu mtu ana mapenz na mimi kweli??
kwani jamaa kakosa nini? kutokukupa pesa, hukuomba thats why jamaa kakupotezea, ungeomba alafu asikupe hapo kidogo ingekuwa na mashiko, bt ukiona mwanaume hajiongezi kukupa hela ya matumizi ujue anajua wewe unazo na unaweza kujihudumia wewe mwenyewe otherwise uombe mwenyewe,cos ni wanaume wachache wanaoweza kujiongeza katika maswala ya pesa hasa katika kipindi hiki cha vyuma vimenaniliu!
 
Hata mimi nimemuacha huyo mtu sasa amekuja kupokea pesa anasema hana pesa .
Hujaambiwa tunataka pesa umeambiwa tunataka matunzoo ndio sawa .
Unamuita mtu guest ila hujajipanga au unaitwa home kwa mtu njaa zako mi shida zako hata chakula humpi unamtumia mtu unamuacha kapa si umpe kidogo unamwambia mpenzi sina kingi maisha ni magumu so chagua kashopping kidogo au nikupe hii hela .
Unampa hata ka hamsini .
Au kama unayo kapesa zaidi aone wamjali.
Unajua ukifanya hivyo huangaiki .
Ukiwa na shida huwa anakuwa anakusaidia ukiwahuna.
Ukiondoka umeuacha hapo unamuandikia mesage darling kunywa supu nzito hapo tutaonana baadae mpenziii.
Unamwambia hivyo kama umempa chochote kama huko tayari kuwa na mpenzii acha kutesa watoto wawatu tafadhali.
Ni wawatu.
Mimi sidhani kama mnajua hiloo.
Kwamba lazima umtunze mtoto wawatu.
Ila hamtunzi sio vizuri lakini.
Kimeniuma sana maana siyeye tu kapitia hilo hata sisi ndio mlivyo.
Mkiwa hivyo hamtaoa kweli.
Nawaambia hamtaoa nani aendee sehemu kavu haina maji wala chakula hakuna mtazeeka nauchungu wenu msilainike mtaishia hamjaoa mpaka uzee uwajie .
Ila watunzaji ndio wataoa tu..
Walahi
 
Tuvae tupendeze tule tunenepe kututumia ututumie wewe nyambafu kabisa tena mshikwe mfanywe misukule hamna roho nyie.
 
Aiseee......

Pole sana. Huo ubinafsi ni extreme..
 
Huki gesti hamkula...hamkunywa.....!??

Haahaa...

Eti asubuhi upate nini nzito!! ??
 
UTAMU MPEANE WENYEWE, USHAURI UJE KUTUOMBA SISI! MWEHU NINI! WAKATI MNASHUGULIKIANA SISI TULIKUWEPO?!
 
hii ndo shida yenu ya kusema napenda mkaka mrefu mweusi na mwenye kifua kizuri tusikitike kidogo titititi.........................
 
Umepata mwanaume Bora. Atakupa ela ya supu ukipata mimba. N'a ikiwezekana jitahidi kuwa unampa ela kila mkikutana ili Uwe mke Bora zaidi.
 
Ni kweli kabisa hapo hakuna mapenzi, Mwanaume lazima aonyeshe kumjali mpenzi wake.
 
OKAY EM TUANZIE HAPA....

1. Umesema ame ajiriwa, kwa lugha nyepesi huyu mtu huenda kwa asilimia 90% amepanga chumba au nyumba. Swali sasa?

Kwanini hampigani show kwake? Mpaka gesti? Which means kwake anaenda mwanamke tofauti na wewe pengine huyo ndio anae pewa hela na anapendwa...

Wewe hadhi yako niya gesti tu. Kwaio sahau hela sahau kupendwa... Utakua una mpa show nzuri ndio maana ana kutafuta.
 
January 20, 2017 up to january 20,2018

Leo ni birhay ya uzi huu kufikisha mwaka mmoja
 
Nina mpenzi wangu nampenda saana na yeye kwa madai yake ananipenda. Kiukweli sijawahi kumuomba hata sent 1 na sina tabia hiyo but nashindwa kuelewa hata kama mtu unampenda kweli unashindwa hata kampa hela ya vocha tu!

Leo kuna kitu kimeniuma sana, jana kaniambia tutoke tukaenda gesti tumelala asubuhi kaondoka jamani hajaniachia hata hela ya nauli. Kilichoniuma alipofika kazini kaniandikia msg "dear jitahidi unywe supu nzito kabla haujaondoka si unaona kazi ilivyokuwa".

Nimeumia sana na jana kapokea mshahara roho imeniuma sana nashindwa nimuweke kundi gani. Naomben ushauri huyu mtu ana mapenz na mimi kweli??
We endelea tu kumpa service usijari......vumilia mama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom