Anna pita
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 227
- 425
Nina mpenzi wangu nampenda saana na yeye kwa madai yake ananipenda. Kiukweli sijawahi kumuomba hata sent 1 na sina tabia hiyo but nashindwa kuelewa hata kama mtu unampenda kweli unashindwa hata kampa hela ya vocha tu!
Leo kuna kitu kimeniuma sana, jana kaniambia tutoke tukaenda gesti tumelala asubuhi kaondoka jamani hajaniachia hata hela ya nauli. Kilichoniuma alipofika kazini kaniandikia msg "dear jitahidi unywe supu nzito kabla haujaondoka si unaona kazi ilivyokuwa".
Nimeumia sana na jana kapokea mshahara roho imeniuma sana nashindwa nimuweke kundi gani. Naomben ushauri huyu mtu ana mapenz na mimi kweli??