Shukuru huyo kakupeleka gesti usawa huu ni kwenye vichochoro tu game linaishia hapoNina mpenzi wangu nampenda saana na yeye kwa madai yake ananipenda. Kiukweli sijawahi kumuomba hata sent 1 na sina tabia hiyo but nashindwa kuelewa hata kama mtu unampenda kweli unashindwa hata kampa hela ya vocha tu!
Leo kuna kitu kimeniuma sana, jana kaniambia tutoke tukaenda gesti tumelala asubuhi kaondoka jamani hajaniachia hata hela ya nauli. Kilichoniuma alipofika kazini kaniandikia msg "dear jitahidi unywe supu nzito kabla haujaondoka si unaona kazi ilivyokuwa".
Nimeumia sana na jana kapokea mshahara roho imeniuma sana nashindwa nimuweke kundi gani. Naomben ushauri huyu mtu ana mapenz na mimi kweli??
Raha ya mwanaume akuhudumie babu wee...usipopewa jua kuna mwenzio anamtia shotiTafuta pesa zako achana na mawazo ya wanawake wa Africa ,mda wote wanawaza kuhongwa . Ukiwa na pesa zako utaishi na umpendaye utafanya mambo yako kwa kujiamini.
au ndio huyu ANA PITA huyo dada muuguziUnaweza kuwa sababu ya mwanaume kuwa hivyo. Kuna wanawake hujifanya hawataki pesa hata ukiwapa na hivyo mwanaume kuamua kukuacha hivyo huku akiendelea kujilia vyake.
Nasema hii ikiwa imenitokea. Niko na mpenzi yeye mwajiriwa serikali idara ya afya. Naujua mshahara wa mtumishi wa umma na ukizingatia hawanu hii ya tano. Kila nikijaribu kumpa amekuwa akionyesha hazitaki na wala hasemi ahsante. Kwahiyo nami nimeamua kutompa tena. Sasa unaweza kukuta naye analalamika kama wewe.
Me nka dhan n yule waAna pita!![]()
Dadaangu huyo mtu yupo kwaajili yakutimiza haja zake tu kwanini asitambue kama unapotumia kitu ukioshe na kuripea pale kilipopata hitilafu kama alijua shughuli ilikuwa nzito na akatambua kwamba unywe supu kwann pesa hakutoa? Pengine labda kipindi mnaanza mahusiano labda mlielewana wewe ndo utakuwa unamhudumia pekee... lakini mimi binafsi sipendi iyo kitu yakuhudumiwa na mwanamke labda nikute tayari ashafanya ivo...Nina mpenzi wangu nampenda saana na yeye kwa madai yake ananipenda. Kiukweli sijawahi kumuomba hata sent 1 na sina tabia hiyo but nashindwa kuelewa hata kama mtu unampenda kweli unashindwa hata kampa hela ya vocha tu!
Leo kuna kitu kimeniuma sana, jana kaniambia tutoke tukaenda gesti tumelala asubuhi kaondoka jamani hajaniachia hata hela ya nauli. Kilichoniuma alipofika kazini kaniandikia msg "dear jitahidi unywe supu nzito kabla haujaondoka si unaona kazi ilivyokuwa".
Nimeumia sana na jana kapokea mshahara roho imeniuma sana nashindwa nimuweke kundi gani. Naomben ushauri huyu mtu ana mapenz na mimi kweli??
Huyo jamaa yake wala hampendi ila Ana pita tu!Me nka dhan n yule wa
Planet bongo earedio