Huyu mwanaume ananipenda kweli?

Huyu mwanaume ananipenda kweli?

ha ha ha ngoja nkutafutie siku nkukope tena mkopo huu nii zaid ya bodi ya mikopo utalipia mpaka hotelii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji57] [emoji57] [emoji57] bahati hyo hupati kamweee...

ushindwe na ulegeeeee!!!
 
Sikia dada, watu tunatofautiana binafsi lazima ningekuwa nagharamia hata machache ila huyo wako kaa nae uongee nae kwann ukae na kitu moyoni..... Hilo suala litaweza kuharibu mahusiano yenu pia na malengo yenu
 
Mie ni mwanaume aisee ila huyu mwenzetu kazidi na hastahili kabisa kumilik mwanamke, kwa nijuavyo mimi na ndivyo ilivyo ni kuwa mwanamke anahitji kutunzwa mno na pia kupewa kipaumbele hasa kwa masuala ya matumizi kwakuwa wanawake wanahitaji kujiremba na kukipamba kila kiungo chao na ndo inavyotakiwa..Dada yangu naomba umpige chini huyo dume suruali haraka sna
DUME SURUALI
Chief Engineer
 
Jamaa kapga mzigo kakuhacha bado umelala we huendi kazin ? Unasbiri vya bule kwa raha ce mmepata wote
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji57] [emoji57] [emoji57] bahati hyo hupati kamweee...

ushindwe na ulegeeeee!!!
ha ha ha ha naanza na swaga za mishkak lazma upigwe mkopo tena huo nakuja na wadhamin kabisaa
 
Haha hahaha....nimeipenda hiyo....usituchezee vidume suruali sisi...km huombi sikupi...
endelea na moyo huo huo...
 
Kumbe bwana huombagi but karoho kanaumaga unaugulia kimya kimya. Na huombagi kisa una ekspekti akupe tena azidishe unachofikiria wewe.

Ukiamua hutaki hela za mwanamme ni huzitaki kabisa. Si unatoka bila hata nauli. Akikutajia kasupu basi unaumiaaa.

Acha kuiga tembo weweee. Kama wa kunyoosha mkono kuomba basi omba tu.
 
Yan ww unajiuza bila kujijua
Ndo maana mm nasema asilimia kubwa ya wanawake na wasichana hapa mjini wanajiuza bila kujujua yan ukikosa tuu hela ya saloon upo tayar ukakeshe na mpenziwako au hawara ako ili akupe hela Ukafanye yako : kwani hyo starehe ya kugegedana ni ya mwanaume pekee ??
Au tokea mwanzo ungemwambia kuwa tutalalawote ila asubuh nahitaj some cashh [emoji389][emoji385]
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Wooiiii achana na hizo type! Kuna mwenzio huko anapewa bila ht kuomba, we kaa tu ukisubir kulazwa guest! Usawa pia unakaba hizi si nyakati za kuachiana ela ovyo km hujaombwa. Shtuka binti!!
 
Ila unaonekana una huruma sana apo apo kwenye supu na wee ungemchomekea nitumie pesa ya supu
 
Nina mpenzi wangu nampenda saana na yeye kwa madai yake ananipenda. Kiukweli sijawahi kumuomba hata sent 1 na sina tabia hiyo but nashindwa kuelewa hata kama mtu unampenda kweli unashindwa hata kampa hela ya vocha tu!

Leo kuna kitu kimeniuma sana, jana kaniambia tutoke tukaenda gesti tumelala asubuhi kaondoka jamani hajaniachia hata hela ya nauli. Kilichoniuma alipofika kazini kaniandikia msg "dear jitahidi unywe supu nzito kabla haujaondoka si unaona kazi ilivyokuwa".

Nimeumia sana na jana kapokea mshahara roho imeniuma sana nashindwa nimuweke kundi gani. Naomben ushauri huyu mtu ana mapenz na mimi kweli??
Hela ya gesti ametoa nani??
 
Mwanaume akijua unampenda san matatzo huwa ndo hayo.
Punguza kumpenda utaona mabadiliko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom