baraka jr 2016
Member
- Jul 26, 2016
- 67
- 54
Tusisahau ile 15% ya heslb na yenyew Inachangia nafkr
Kutoa ni moyo dada anaweza akawa anakupenda ila ni mchoyo[emoji12]Nina mpenzi wangu nampenda saana na yeye kwa madai yake ananipenda. Kiukweli sijawahi kumuomba hata sent 1 na sina tabia hiyo but nashindwa kuelewa hata kama mtu unampenda kweli unashindwa hata kampa hela ya vocha tu!
Leo kuna kitu kimeniuma sana, jana kaniambia tutoke tukaenda gesti tumelala asubuhi kaondoka jamani hajaniachia hata hela ya nauli. Kilichoniuma alipofika kazini kaniandikia msg "dear jitahidi unywe supu nzito kabla haujaondoka si unaona kazi ilivyokuwa".
Nimeumia sana na jana kapokea mshahara roho imeniuma sana nashindwa nimuweke kundi gani. Naomben ushauri huyu mtu ana mapenz na mimi kweli??
Hapa duniani principle ni hivi mabadiliko tunayopitia ni vipindi katika hii Zama mpya. Watu wanajaribu kuishi Kwa misimamo yao. MFANO mimi naamini hivo kwamba kila mtu ajitahidi ku survive Kwa njia zake. Mapenzi mna share wote. Usipopata hela Tulia. Maisha mazuri yatakuja mbeleni kidogo.Nina mpenzi wangu nampenda saana na yeye kwa madai yake ananipenda. Kiukweli sijawahi kumuomba hata sent 1 na sina tabia hiyo but nashindwa kuelewa hata kama mtu unampenda kweli unashindwa hata kampa hela ya vocha tu!
Leo kuna kitu kimeniuma sana, jana kaniambia tutoke tukaenda gesti tumelala asubuhi kaondoka jamani hajaniachia hata hela ya nauli. Kilichoniuma alipofika kazini kaniandikia msg "dear jitahidi unywe supu nzito kabla haujaondoka si unaona kazi ilivyokuwa".
Nimeumia sana na jana kapokea mshahara roho imeniuma sana nashindwa nimuweke kundi gani. Naomben ushauri huyu mtu ana mapenz na mimi kweli??
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ana pita![emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu anakuona bonny!ha ha ha ha dadeki mkopo unaumaa? nacheka utasema mazur
ha ha ha ha et unywe supu nzitoooooo
haya mambo haya kwel usisubir kukutwa na bwana pepsi sasa dada etu hakutoka hata na naul ya boda boda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu anakuona bonny!
inauma asikuambie mtuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaan mm kwanza ile unaondoka ntanunaa...haya mambo haya kwel usisubir kukutwa na bwana pepsi sasa dada etu hakutoka hata na naul ya boda boda
inauma asikuambie mtuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaan mm kwanza ile unaondoka ntanunaa...
dawa ya mbahili unamkomesha kwenye mloo...
nakula ht 20 at least yaani
naagiza kukuu mzima[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,chips,yai Bavaria,maji ya na mishikaki 2
kwani hyo anakunywa mtoa hela?Hakupendi huyo!!! Unywe supu hela kakupa yeye?