Amazon Woman
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 796
- 1,189
Ukipona hilo jeraha, your heart will get back to its normal functionality (pumping blood)
All the best
All the best
Haelewi Huyu...ukiachwa achika, ukimwaga mwagika..ukitemwa temeka ...penzi bovu ya Nini kung'ang'ania.Mtumie voice note.
My dear don't force love. Do you want a one sided relationship? You give and she receives. Its true you love her but she doesn't feel the same way.You're trying to get out off the vacuum, I won't give you a chance my dear
Mkuu sio kwa mwanamke uliyempenda, wapo wanawake wengi duniani sawa. Ila hii haifanyi umsahau kumpenda umpendae. Najuta sana kuanguka penzini kiasi hikiUkipona hilo jeraha, your heart will get back to its normal functionality (pumping blood)
All the best
Retreat Tango Unit! request for immediate evacuation!..Man down; I repeat man down. Alpha do you copy?![]()
My dear I love her, Ni ngumu sana najitahidi kuangalia hata mabaya yake ila siyaoni.My dear don't force love. Do you want a one sided relationship? You give and she receives. Its true you love her but she doesn't feel the same way.
Go on with your life, you'll find the love that you deserve stop wasting your energy on something that doesn't value your love.View attachment 1645683
Maishani mwangu sikua naamini katika mapenzi kabisa, then nikakutana na huyu mwanamke aliyenibadirisha maisha na fikra zangu. Nampenda kutoka ndani ya moyo, shida huyu mwanamke jamani ananitesa sana. Hali yangu mbaya kuna muda nakaa naona kuna kitu kimepungua then nakumbuka ni yeye naumia moyo nahisi hata pressure ishapanda kwa mawazo maana muda wote unalipuka.
Kama unampenda mtu kwanini usimpende tu?? Mimi naamini hakuna sababu za kuachana na mtu umpendae maana hakuna tatizo lisilozungumzika. Wengine nyie mnawezaje kuwaacha mliowapenda?? Mimi badala nimsahau siku zinavyokwenda ndio nazidi kuteseka na kumkumbuka. Karibia kila nachofanya navyokutana navyo vinanikumbusha penzi lake huyu mwanamke.
Babe please come back nashindwa kuvumilia, si mimi ni upendo ulioujenga ndani yangu Sina furaha kabisa yaani sijui najiona vipi bila weww I really can't take it. I chose you you chose me nikakufanya uwe my everything,my happiness my smile. I love you and I won't give up on you coz you're all what I want i always tell you this.
Tabasamu,sauti na cheko lako nalimiss maana ndio vitu pekee vinavyonipa tabasamu.
Please babe I can't taje it anymore, I need you. You're my greatest achievement I won't give up on you
Amekuroga huyo...shtuka kabla hujachelewa.Ukweli ni kwamba nimwkufa nimeoza na ubaya zaidi siwezi ficha wingi wa mapenzi niliyonayo. Nampenda sana, nimeahindwa kujibanabana moyoni ili nisionyeshe kua nampenda
Mhhhh.....NSHASEMA sikutaki...usichoelewa Nini wewe kitunguu maji....Chefuuuu![]()
Kanipa tofali mkuu
pole sanaMy dear I love her, Ni ngumu sana najitahidi kuangalia hata mabaya yake ila siyaoni.
Usiyachukulie mapenzi serious sana utakuja kujiuaMaishani mwangu sikua naamini katika mapenzi kabisa, then nikakutana na huyu mwanamke aliyenibadirisha maisha na fikra zangu. Nampenda kutoka ndani ya moyo, shida huyu mwanamke jamani ananitesa sana. Hali yangu mbaya kuna muda nakaa naona kuna kitu kimepungua then nakumbuka ni yeye naumia moyo nahisi hata pressure ishapanda kwa mawazo maana muda wote unalipuka.
Kama unampenda mtu kwanini usimpende tu?? Mimi naamini hakuna sababu za kuachana na mtu umpendae maana hakuna tatizo lisilozungumzika. Wengine nyie mnawezaje kuwaacha mliowapenda?? Mimi badala nimsahau siku zinavyokwenda ndio nazidi kuteseka na kumkumbuka. Karibia kila nachofanya navyokutana navyo vinanikumbusha penzi lake huyu mwanamke.
Babe please come back nashindwa kuvumilia, si mimi ni upendo ulioujenga ndani yangu Sina furaha kabisa yaani sijui najiona vipi bila weww I really can't take it. I chose you you chose me nikakufanya uwe my everything,my happiness my smile. I love you and I won't give up on you coz you're all what I want i always tell you this.
Tabasamu,sauti na cheko lako nalimiss maana ndio vitu pekee vinavyonipa tabasamu.
Please babe I can't taje it anymore, I need you. You're my greatest achievement I won't give up on you
Huyu ndo chanzo Cha kitambi changu...Haiwezekani kila siku ananinunulia chips tu simtaki Mimi na machips yake..Mhhhh.....
Mbona sijawahi kukuona nae hapa Dodoma..??