Huyu mwanamke atanitoa roho

Huyu mwanamke atanitoa roho

15 year's back, niliwai kumwambia yule mwali kwamba "unaniumiza"....... Na mwisho kabisa baada ya kunisikiliza, akaniukiza "unaumia wapi"?? Ebu nionueshe panapo kuuma kwaajiliyangu...!!
Aiseeee, nilijiona bonge la fwala miakaile..😂😂
 
Ukweli ni kwamba nimwkufa nimeoza na ubaya zaidi siwezi ficha wingi wa mapenzi niliyonayo. Nampenda sana, nimeahindwa kujibanabana moyoni ili nisionyeshe kua nampenda
Basi subiri kuona kila rangi na kupoteza mwelekeo wa maisha
 
Hahahahaha chezeya kupenda weye lol! Ila ukifanya maamuzi ya Kiume kama alikupenda kweli atarudi tu lakini ME wengine wakishafunga mlango hawafungui. Watakusikiliza mwisho wa siku wanakwambia KWAHERI Mrembo thanks 🙏🏽 for everything.
15 year's back, niliwai kumwambia yule mwali kwamba "unaniumiza"....... Na mwisho kabisa baada ya kunisikiliza, akaniukiza "unaumia wapi"?? Ebu nionueshe panapo kuuma kwaajiliyangu...!!
Aiseeee, nilijiona bonge la fwala miakaile..😂😂
 
Maishani mwangu sikua naamini katika mapenzi kabisa, then nikakutana na huyu mwanamke aliyenibadirisha maisha na fikra zangu. Nampenda kutoka ndani ya moyo, shida huyu mwanamke jamani ananitesa sana. Hali yangu mbaya kuna muda nakaa naona kuna kitu kimepungua then nakumbuka ni yeye naumia moyo nahisi hata pressure ishapanda kwa mawazo maana muda wote unalipuka.

Kama unampenda mtu kwanini usimpende tu?? Mimi naamini hakuna sababu za kuachana na mtu umpendae maana hakuna tatizo lisilozungumzika. Wengine nyie mnawezaje kuwaacha mliowapenda?? Mimi badala nimsahau siku zinavyokwenda ndio nazidi kuteseka na kumkumbuka. Karibia kila nachofanya navyokutana navyo vinanikumbusha penzi lake huyu mwanamke.

Babe please come back nashindwa kuvumilia, si mimi ni upendo ulioujenga ndani yangu Sina furaha kabisa yaani sijui najiona vipi bila weww I really can't take it. I chose you you chose me nikakufanya uwe my everything,my happiness my smile. I love you and I won't give up on you coz you're all what I want i always tell you this.
Tabasamu,sauti na cheko lako nalimiss maana ndio vitu pekee vinavyonipa tabasamu.
Please babe I can't taje it anymore, I need you. You're my greatest achievement I won't give up on you

LOVE IS THE DEATH OF DUTY.
Game of thrones.
 
Hahahahaha chezeya kupenda weye lol! Ila ukifanya maamuzi ya Kiume kama alikupenda kweli atarudi tu lakini ME wengine wakishafunga mlango hawafungui. Watakusikiliza mwisho wa siku wanakwambia KWAHERI Mrembo thanks 🙏🏽 for everything.
Mkuu, yule mwali alisababisha nikawa mlevi hadi nikafukuzwa kazi imagine...
Sasa nilikutana nae mwaka jana eneo flani nami kidogo mambo hayakua mabaya sana, binti kachoka kachakaa.... Aliponisemesha nilimwambi "excuse me mother", nikamwambia amenifananisha na yule ni pacha wangu...🤣🤣🤣
 
Muache mkuu

Utasahau, ni suala la muda tu
Loyalty is killing me. Napenda nipende mtu mmoja tu nimpende sanaaaa ndio nilimpata huyu sasa siwezi kujifanyisha kua simpendi
 
Mkuu, yule mwali alisababisha nikawa mlevi hadi nikafukuzwa kazi imagine...
Sasa nilikutana nae mwaka jana eneo flani nami kidogo mambo hayakua mabaya sana, binti kachoka kachakaa.... Aliponisemesha nilimwambi "excuse me mother", nikamwambia amenifananisha na yule ni pacha wangu...
Mbingu utaisikia
 
Back
Top Bottom