Huyu mama, nadhani anatafuta attention tu

Hadi kaingia kwenye congress marekani kutoka somalia wakati wewe unahangaika kutafuta hela ya kula dagaa kwenu ileje unatakiwa umuheshimu usijisaha kisa unaweza ku type humu
Wazungu waondoe huruma,wawafukuze hawa wahuni,sio waislamu hawa,huko Saudi Arabia,juzi imewanyonga watano,hawatqki ujinga.Hii kupokea hawa wahalifu huko Ulaya,wakifika huko wanaen
Hii ndio consquences za kuruhusu socialists na islamists katika high orders za utawala wa nchi ambayo ina misingi ya capitalism, western na christian
Wafukuzwe ulaya,wahuni hao.Hawana ui
slamu wowote hao.Ni wahuni,wametapakaa nchi za ulaya.Saudia hawacheki na wahuni hao ,juzi wamewanyonga watano.Mpaka Uingereza wamedanganyika ki urahisi kuwapokea hawa watu,na wanatumia documents feki.Hawa ndio wanahatarisha dunia,kwa vipato wanavyopata huko Ulaya wanatumia hizo.pesa,kufanya uhalifu sehemu mbalimbali duniani.
 
Wazungu waondoe huruma,wawafukuze hawa wahuni,sio waislamu hawa,huko Saudi Arabia,juzi imewanyonga watano,hawatqki ujinga.Hii kupokea hawa wahalifu huko Ulaya,wakifika huko wanaen

Wafukuzwe ulaya,wahuni hao.Hawana ui
slamu wowote hao.Ni wahuni,wametapakaa nchi za ulaya.Saudia hawacheki na wahuni hao ,juzi wamewanyonga watano.Mpaka Uingereza wamedanganyika ki urahisi kuwapokea hawa watu,na wanatumia documents feki.Hawa ndio wanahatarisha dunia,kwa vipato wanavyopata huko Ulaya wanatumia hizo.pesa,kufanya uhalifu sehemu mbalimbali duniani.
Umeandika pumba tupu, hawawezi kuwaondoa ,chuki zako dhidi ya dini na watu fulani inakufanya unazidi kuwq mjinga
Hakuna wa kuwaondoa waislamu ulaya na marekani ,we endelea kupiga kelele kujifurahisha na kisimu chako cha mkopo
 
Umeandika pumba tupu, hawawezi kuwaondoa ,chuki zako dhidi ya dini na watu fulani inakufanya unazidi kuwq mjinga Hakuna wa kuwaondoa waislamu ulaya na marekani ,we endelea kupiga kelele kujifurahisha na kisimu chako cha mkopo
Umeandika pumba tupu, hawawezi kuwaondoa ,chuki zako dhidi ya dini na watu fulani inakufanya unazidi kuwq mjinga
Hakuna wa kuwaondoa waislamu ulaya na marekani ,we endelea kupiga kelele kujifurahisha na kisimu chako cha mkopo
Hawa sio waislamu,ni wahuni tu.Uislamu ni dini inayofuata sheria na haki.Hakuna udanganyifu kwenye uislamu.Vipi mtu ma kaka ake wanaoana ili wapate uraia wa America,hata kama hawakutiana,lakini hakuna ndoa feki kwenye uislamu.Au mtu anatumia vyeti feki vya kuzaliwa ili apate passport na uraia wa nchi za ulaya.
Uislamu haukubaliani na mambo feki ni kosa kubwa sana katika uislamu.
Wewe yaonyesha ni mmoja wa hao mnaofanya feki,ili mfabikiwe mambo yenu,mnajichafuwa wenyewe.kwa ujinga went.Uislamu utazidi kusonga mbele.Uislamu ndio dini ya uhakika.
 
nani aliyekwambia kama kuna binaadamu asiyekosea??
Au wewe mwenzetu huna dhambi??
 
Yaani upo nchi za watu ,wakakupa na uraia na bado ukapewa na uongozi kama zali la mentali,na bado unataka kutunisha misuli na wenye system .... Sioni akitoboa huyu mamsi...
Nachokiona ni attention seeker aonekane kwenye spotlight (ukizingatia pia nchi anayotoka na dini yake ya haki 😑). Marekani ni li dude likubwa , she can't win this battle umaonaView attachment 3697289
MSomali anawapiga kama wezi dadeki trump na wabaguzi wenzake wana kila sababu ya kukasirika anavunja rekodi zilizowekwa na babu zao pamoja na figisu zote zile
 
Attachments

  • Screenshot_20261104_055432_Facebook.jpg
    Screenshot_20261104_055432_Facebook.jpg
    159.5 KB · Views: 2
Nchi ya watu wapi? Hebu jibu hili swali kwanza

inaelekea kuna mambo huyajui katika historia ya America na Democracy yake
 
Back
Top Bottom