BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,114
- 8,519
Kama obama alikuwa rais na anatoka EA Huyo dada yupo sawa amerika haina mwenyewe!
Wanasiasa wote ni attention seekers, hiyo ndiyo siasa, kwa hiyo hapo kwenye attention seeker, hakuna point.Yaani upo nchi za watu ,wakakupa na uraia na bado ukapewa na uongozi kama zali la mentali,na bado unataka kutunisha misuli na wenye system .... Sioni akitoboa huyu mamsi...
Nachokiona ni attention seeker aonekane kwenye spotlight (ukizingatia pia nchi anayotoka na dini yake ya haki 😑). Marekani ni li dude likubwa , she can't win this battle View attachment 3697289
America hii ambaye raisi wake katembea na vitoto vidogo epstein island au marekani ipi mkuu?NOT in America...
Hakika...kule hmna maelekezo kutoka juuSasa huyu mama anachunguzwa kuhusu nyaraka zake za uhamiaji yeye na familia yake walipowasili Marekani kama wakimbizi katika miaka ya 1990.
Pamoja na mambo mengine, wanamchunguza kuhusu tarehe yake ya kuzaliwa na namna baba yake alivyopata uraia wa Marekani mwaka 2000, pamoja na iwapo taratibu zilizotumika zilikuwa halali.
Kama yupo clean, there is no reason to panick. Haki itendeke tu. Na bahati nzuri kule USA, hoja hujibiwa kwa hoja na sio risasi au “maelekezo kutoka juu”
Usiharibu dini za watu,huyu hana muelekeo wa dini ya haki ya kiislamu,mavazi yake tu yanaonyesha sio muislamu,jina sio uislamu,wapo wasio waislamu wengi,na wana majina ya kiislamu.Yaani upo nchi za watu ,wakakupa na uraia na bado ukapewa na uongozi kama zali la mentali,na bado unataka kutunisha misuli na wenye system .... Sioni akitoboa huyu mamsi...
Nachokiona ni attention seeker aonekane kwenye spotlight (ukizingatia pia nchi anayotoka na dini yake ya haki 😑). Marekani ni li dude likubwa , she can't win this battle View attachment 3697289
Achana na kusema huyu ni wa dini ya haki ya uislamu,kwa kutuzama jina lake,wapo wengi,wenye majina ya kiislamu,lakini sio waislamu.Kitu cha kushangaza katika nchi za Ulaya na Amerika,hasa Uingereza wapo wengi wamepata uraia kupitia makaratasi feki ya kuzaliwa,mtu kazaliwa Tanzania,lakini katumia cheating cha kuzaliwa cha Somalia,na tarehe ya kuzaliwa tofauti na muenekano wake,anapata passport ya Uingereza na uraia wa Uingereza,na anasafiri kwenda nchi aliyozaliwa na passport feki ya Uingereza.Hawa wazunguAmerica,Uingereza,wangetangaza,kila wanamjua aliyepata uraia na Passport kwa njia feki,watoe ushahidi kwa njia fulani maalumu,wangekamatwa wengi tu,na hawa ndio wanaochafua nchi hizo za Ulaya,America na uingereza na kwingineko.Yaani upo nchi za watu ,wakakupa na uraia na bado ukapewa na uongozi kama zali la mentali,na bado unataka kutunisha misuli na wenye system .... Sioni akitoboa huyu mamsi...
Nachokiona ni attention seeker aonekane kwenye spotlight (ukizingatia pia nchi anayotoka na dini yake ya haki 😑). Marekani ni li dude likubwa , she can't win this battle View attachment 3697289
Kama Lissu kwa Tanzania! Ahahahahaha!!Yaani upo nchi za watu ,wakakupa na uraia na bado ukapewa na uongozi kama zali la mentali,na bado unataka kutunisha misuli na wenye system .... Sioni akitoboa huyu mamsi...
Nachokiona ni attention seeker aonekane kwenye spotlight (ukizingatia pia nchi anayotoka na dini yake ya haki 😑). Marekani ni li dude likubwa , she can't win this battle View attachment 3697289
🤣🤣Anatafuta hela ya dagaa wapiHadi kaingia kwenye congress marekani kutoka somalia wakati wewe unahangaika kutafuta hela ya kula dagaa kwenu ileje unatakiwa umuheshimu usijisaha kisa unaweza ku type humu
Ni kama Tanzania tumpe msomali mmoja uraia ashinde na ubunge halafu aanze kuleta chokochoko 😂Yaani upo nchi za watu ,wakakupa na uraia na bado ukapewa na uongozi kama zali la mentali,na bado unataka kutunisha misuli na wenye system .... Sioni akitoboa huyu mamsi...
Nachokiona ni attention seeker aonekane kwenye spotlight (ukizingatia pia nchi anayotoka na dini yake ya haki 😑). Marekani ni li dude likubwa , she can't win this battle View attachment 3697289
Hawa wazungu wangewafukuza tu hawa watu.Hakuna mahali uislamu,unaruhusu kufanya fujo katika ardhi ya nchi isiyokuhusu,hata kufanya ibada katika ardhi isiyo yako,kwa sheria ya kiislamu,mpaka uombe mwenye atdhi yake,na akuruhusu ndio ufanye ibada,wengi wamefika ulaya kwa documents za udanganyifu,wametumia karatasi za kuzaliwa za maeneo yenye vita,wakati hakuzaliwa huko,wazungu wawafukuze,wawatie ndani na kuwafunga.Serekali za nchi za Ulaya,Amerika,Uingereza na kwingineko,watoe matangazo,watu kutoa ushahidi wa watu kadhaa,wanaoishi nchi hizo kwa udanganyifu,watapata taarifa nyingi za kushtua ba kushangaza,wengi wamepata uraia na passport ya nchi hizo kwa kutumia documents feki,kama vyeti vya kuzaliwa vya Sehemu zenye vita,kama Somalia,wakati hawakuzaliwwa Somalia na tarehe za uongo za kuzaliwa,hasa hawa wenye vyeti vya Somalia.Watoe matangazo ya watu wapeleke au watume ushahidi wapi,katika mitandao,e.mail,website nkNyie wamavimizi mpaka muache kuingilia nchi za watu ,kama mngejijua mngebaki hapo kwenu sio kwenda kuvamia nchi za watu tena kwa mabomu.
Anguko lenu litatokea ndani sio nje ,ni suala la muda tu.
I like her a lotYaani upo nchi za watu ,wakakupa na uraia na bado ukapewa na uongozi kama zali la mentali,na bado unataka kutunisha misuli na wenye system .... Sioni akitoboa huyu mamsi...
Nachokiona ni attention seeker aonekane kwenye spotlight (ukizingatia pia nchi anayotoka na dini yake ya haki 😑). Marekani ni li dude likubwa , she can't win this battle View attachment 3697289
Wazungu wawafukuze wote,ambao hawana asili ya uzungu,wapo pia kuke watanzania,hasa uingereza,wanatumia vyeti feki vya kuzaliwa vya Somalia,wamepata passport na uraia,hata tarehe zao za kuzaliwa ni feki,ana umri mkubwa,lakini tarehe Indonesia ni mdogo wa umri,wazungu na wainfeteza wameshindwa kugundua ujanjq huuNi kama Tanzania tumpe msomali mmoja uraia ashinde na ubunge halafu aanze kuleta chokochoko 😂
Kamata weka ndaniYaani upo nchi za watu ,wakakupa na uraia na bado ukapewa na uongozi kama zali la mentali,na bado unataka kutunisha misuli na wenye system .... Sioni akitoboa huyu mamsi...
Nachokiona ni attention seeker aonekane kwenye spotlight (ukizingatia pia nchi anayotoka na dini yake ya haki 😑). Marekani ni li dude likubwa , she can't win this battle View attachment 3697289