nadhani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Huyu mama, nadhani anatafuta attention tu

    Yaani upo nchi za watu ,wakakupa na uraia na bado ukapewa na uongozi kama zali la mentali,na bado unataka kutunisha misuli na wenye system .... Sioni akitoboa huyu mamsi... Nachokiona ni attention seeker aonekane kwenye spotlight (ukizingatia pia nchi anayotoka na dini yake ya haki 😑)...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Paul chacha wa CCM kaishia wapi? nadhani Kashaonja moto wa Chadema

    Huyu jamaa aliona wanaCCM wenzake wote ni wajinga kushindwa kupambana na HECHE. Nadhani huko aliko haamini macho na masikio yake. alidhani chadema inatishika kwa kuongea ongea ujingaujinga tu. Chadema ina nguvu na pumzi ambayo kila mmoja anashangaa ndo maana maCCM yamekabidhi inchi kwa...
  3. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Huwezi kutenganisha shutuma za Rais wa TLS na CHADEMA. Anyway tuviache vyombo vyetu vya Dola vifanye kazi yake nadhani Kila mtu atafikiwa

    Nianze na ku appreciate kazi, uzalendo na weledi mkubwa wa vyombo vyetu vya Dola katika kulinda ustawi wa Taifa letu kwa kuzingatia Sheria na maadili ya Taifa letu la Tanzania. Ni kipindi pekee ambacho TLS Imekosa heshima Mbele ya umma watu wanashindwa kutofautisha kati ya shughuli za TLS na...
  4. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi yafaa kujiuzulu TLS, nimekuwa nikihoji uhalali wa wewe kuwa ofisini sasa nitaeleweka

    Hizo shutuma tu za kufadhili machafuko nchini zinakuondolea sifa ya kuwa kiongozi. Nadhani ni matokeo ya kuchagua watu kwa mihemko...mm binafsi nilipinga kabisa Mwabukusi kuwa kiongozi. Mawakili mlitukosea Sana watanzania kwa kumchagua huyu jamaa. Lakini mimi nimekuwa nikihoji sifa za kielimu...
  5. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nadhani Tundu Lissu anaweza kuwa peke yake, Tuombe Mungu aingilie kati

    Binafsi sina shaka sana na Mnyika , lakini kila nikiangalia ma boss na marafiki wa zamani wa viongozi/wajumbe wa sasa na waliopita CHADEMA nakosa imani sana . Kuna kila dalili ya undercovers kuwa wengi sana , ingawa natambua watu wanaweza badilika pia , lakini pia natambua kuwa au kuwa na...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Bifu la kisiasa baina ya team Lema dhidi ya team Heche, nani hasa ni changamoto baina ya mafahali hawa wawili ndani ya CHADEMA?

    Kwa maoni na mtazamo wako, unadhani vita hivi baridi vya maneno kisiasa, baina ya mafahali hawa wawili wa kitaifa ndani ya chadema, Je, inakwenda kukigawanya na kukisambaratisha chama au inakwenda kukimarisha chama na kua imara na bora zaidi? Kivipi kwa mfano? Nani anaweza kua changamoto zaidi...
Back
Top Bottom