Huyu mama, nadhani anatafuta attention tu

Huyu mama, nadhani anatafuta attention tu

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,739
Reaction score
22,250
Yaani upo nchi za watu ,wakakupa na uraia na bado ukapewa na uongozi kama zali la mentali,na bado unataka kutunisha misuli na wenye system .... Sioni akitoboa huyu mamsi...
Nachokiona ni attention seeker aonekane kwenye spotlight (ukizingatia pia nchi anayotoka na dini yake ya haki 😑). Marekani ni li dude likubwa , she can't win this battle
FB_IMG_1792819679360.jpg
 
Hii ndio consquences za kuruhusu socialists na islamists katika high orders za utawala wa nchi ambayo ina misingi ya capitalism, western na christian
Ile first amendment of us constitution inawapa Audacity watu kuja na kujiona kwamba " They belongs" .. Ukikaribishwa kwa watu na wakakuambia wewe ni mmoja wa familia yetu , usijashau sana kwamba na wewe bado ni " just an Outsider"
 
Yaani upo nchi za watu ,wakakupa na uraia na bado ukapewa na uongozi kama zali la mentali,na bado unataka kutunisha misuli na wenye system .... Sioni akitoboa huyu mamsi...
Nachokiona ni attention seeker aonekane kwenye spotlight (ukizingatia pia nchi anayotoka na dini yake ya haki 😑). Marekani ni li dude likubwa , she can't win this battle View attachment 3697289
Hakuna cha nchi ya watu.
Marekani ni nchi ya wahamiaji, tena wote wazungu ni wahamiaji.
 
Huyo Trump anayenyanyasa wenzake na yeye baba yake alitokea Ujerumani! Isitoshe idadi kubwa ya Wamarekani (ukiwaondoa Natives wachache walioitwa Red Indians enzi za discovery of the New World by Christopher Columbus 1492) ni wahamiaji!

Sasa ujasiri wa kuwanyanyasa wahamiaji wengine wanautoa wapi?
 
Huyo mke wa trump ni first lady ambaye ni muhamiaji tena kaja juzi juzi tu hana hata miaka kumi marekani ,bora hata huyu msomali kaja akiwa mdogo
 
Yaani upo nchi za watu ,wakakupa na uraia na bado ukapewa na uongozi kama zali la mentali,na bado unataka kutunisha misuli na wenye system .... Sioni akitoboa huyu mamsi...
Nachokiona ni attention seeker aonekane kwenye spotlight (ukizingatia pia nchi anayotoka na dini yake ya haki 😑). Marekani ni li dude likubwa , she can't win this battle View attachment 3697289
Hizi vita keshapigana sana na hadi kaingia congress aipac walimwaga hrla kwenye uchaguzi miaka yote lakini anawagalagaza kibabe sana, huyu kazoea kupambana hajafika hapo kindezi
 
Hadi kaingia kwenye congress marekani kutoka somalia wakati wewe unahangaika kutafuta hela ya kula dagaa kwenu ileje unatakiwa umuheshimu usijisaha kisa unaweza ku type humu
Ujinga wake ni kujisahau na kuanza ponza kichwa kupitia domo lake chafu.....
Piga kimyaa...
Kanaenda kuwa deported au imprisoned
 
Huyo mke wa trump ni first lady ambaye ni muhamiaji tena kaja juzi juzi tu hana hata miaka kumi marekani ,bora hata huyu msomali kaja akiwa mdogo
Hiyo haimpi sifa ya kutokutumia akili zake vema.Watamnyonyoa nywele aina zote anazomiliki na hakuna jambo mtawafanyia zaidi ya tukelele tu.
 
Nyie wamavimizi mpaka muache kuingilia nchi za watu ,kama mngejijua mngebaki hapo kwenu sio kwenda kuvamia nchi za watu tena kwa mabomu.
Anguko lenu litatokea ndani sio nje ,ni suala la muda tu.
 
Back
Top Bottom