Huyu kaka jamani~~~ Nimjibuje mie!

Huyu kaka jamani~~~ Nimjibuje mie!

Unapenda wanaume warefu kama Hashim Thabit,lipo moja mtaani kwetu mademu wanalikacha nikupe ukae hapo?
 
Hahahaha! Babu DC umenikumbusha nikiwa form 4, kuna mkaka wa shule ua boys aliwaandikia waschana 3 the same letter. Tuliingojea tulipotoka prep, iliandikwa na dorm zima (like 25 galz), manake kila mtu kitandani kwake anarusha vesi tu! Unajua dorms zinatengwa na mbao bwetween beds, juu wazi! Mlengwa alipochoka wajuba wakamsaidia, jamaa alipata barua ina miandiko kama 4 hivi, pages maybe kumi. It was fun! Huwa namuuliza huyo dada, leo ukikutana na yule kaka itakuwaje, si unaweza anguka kwa vicheko?
Haya mambo tumefanyiwa sana kwenye girls hostels.....Nasikia kuna wakati hata kura zilikuwa zinapigwa...

Ngoja tuchukulie kwamba hili bweni moja wapo na tunampa ushauri Da Zindu,

Mie nakushauri umkubali mwaya.....Nahisi atakuwa baba mzuri wa watoto wako.....Hiyo ndiyo kura yangu...Yeees (tena kwa sauti kubwa)!!

Wee waonaje Zindu??

Babu DC!!
 
Raha ya uke wenza ukipika biryani waweka kapuni unamopelekea mwenzio. Sasa wewe mke mwenza mwaka huu wote hata kunikaribisha! Basi naanza mie, kesho karibu ntakupikia dagaa wa zenj, ugali wa nazi na tembele la ndimu.
Lol mke mwenza ndo nini kutoana mate ya utamu hadharani?... Mie nakukaribisha j'pili, menu siri yangu manake mkweo hana dogo akiiona ataunga tela.
 
Hahahaha! Babu DC umenikumbusha nikiwa form 4, kuna mkaka wa shule ua boys aliwaandikia waschana 3 the same letter. Tuliingojea tulipotoka prep, iliandikwa na dorm zima (like 25 galz), manake kila mtu kitandani kwake anarusha vesi tu! Unajua dorms zinatengwa na mbao bwetween beds, juu wazi! Mlengwa alipochoka wajuba wakamsaidia, jamaa alipata barua ina miandiko kama 4 hivi, pages maybe kumi. It was fun! Huwa namuuliza huyo dada, leo ukikutana na yule kaka itakuwaje, si unaweza anguka kwa vicheko?

Mhhhhh,

Nasikia vituko vya kwenye dorms ni hatari sana......
mtu anaweza kujikuta anamkubali jamaa ambaye ni hovyo kabisa au kumtema mtu ambaye ni genuine!!

Halafu haya mambo yaliendelea hadi college kabla ya hawa watoto wa dot com kuanza mashindani ya kutafuta mabwana!!

Namiss sana enzi hizo za 1947....sijui zikirudi leo itakuwaje!!!

Babu DC!!
 
Cheki na Wachina nasikia wana dawa mpya ya kufupisha urefu.
 
Zinduna bin zinduka,naisi jibu unalo tayari.naisi umri wako ni miaka 20-28. Umri huu wadada mnakuwa mapepe sana.kama ni mwanaume utasema nataka mke mwenye macho bulb,mrefu,mweupe/eusi sana,mwenye mguu uliojaza,asiye na matiti makubwa,mwenye kazi,mwenye ofis<sehem za siri zenye a....b...c.,d nk. Mwisho wa yote hakuna anaye-meet hizo criteria. Kwa style hii hupati mme.kuna dada mwaka 2001 alikuwa na miak 26 ana digree,mimi miaka 28 na frm 6 yangu.alinambia cna dgree. Nimeoa dada wa kawaida tuna watoto 3,sasa hvi kabaki ananiomba picha za watoto wangu.mme hajapata na amebak chakula ya jalalani. Angalia usikumbwe na tatzo hili.mme ni mme tu labda ungesema mashine yake haisagi na kukoboa. Pole!
 
I tell u babu,it was so fun! Ila penye genuine pia tulikua tunasema banaa! Mi niliwahi kushikilia msimamo wangu juu ya a genuine, short and ugly guy kuwa jamaa ana true love. Uzuri mate wangu tulikaa pamoja F1 had F6. Years later tuko makazini ananijulisha alikuja kuolewa na the ugly guy, she is so happy baada ya kuumizwa vya kutosha na mahandsome boys! Mind you mdada ni mzuri. Hadi leo, our group wanamuita jamaa 'twin wa king'asti', jamaa hajui why ila ni kwa sababu nilikuwa upande wake.
Chuo haikunoga sana manake ni mtu na mate wake tu, ila kiukweli enzi zile hatuibiani mabwana, mnamjadili mtu just like the boys used to! Them good days, hahaha!
Mhhhhh,

Nasikia vituko vya kwenye dorms ni hatari sana......
mtu anaweza kujikuta anamkubali jamaa ambaye ni hovyo kabisa au kumtema mtu ambaye ni genuine!!

Halafu haya mambo yaliendelea hadi college kabla ya hawa watoto wa dot com kuanza mashindani ya kutafuta mabwana!!

Namiss sana enzi hizo za 1947....sijui zikirudi leo itakuwaje!!!

Babu DC!!
 
Huyo mkwe wangu lazma aunge tela, si unajua wikiend ndo kadereva kangu, wameninunulia gari na mwanangu hata kuliendesha siwezi. Sijui gx 1,000! Wamenikomoa na mie nawalipishia, wikiend napaki pickup ya majani natumia hiyo.
Lol mke mwenza ndo nini kutoana mate ya utamu hadharani?... Mie nakukaribisha j'pili, menu siri yangu manake mkweo hana dogo akiiona ataunga tela.
 
I tell u babu,it was so fun! Ila penye genuine pia tulikua tunasema banaa! Mi niliwahi kushikilia msimamo wangu juu ya a genuine, short and ugly guy kuwa jamaa ana true love. Uzuri mate wangu tulikaa pamoja F1 had F6. Years later tuko makazini ananijulisha alikuja kuolewa na the ugly guy, she is so happy baada ya kuumizwa vya kutosha na mahandsome boys! Mind you mdada ni mzuri. Hadi leo, our group wanamuita jamaa 'twin wa king'asti', jamaa hajui why ila ni kwa sababu nilikuwa upande wake.
Chuo haikunoga sana manake ni mtu na mate wake tu, ila kiukweli enzi zile hatuibiani mabwana, mnamjadili mtu just like the boys used to! Them good days, hahaha!

No problem,

Hostel zimehamia hapa....Labda tumuulize Zindu atuwekee na picha ili tumpe ma ushauri ya nguvu!

Ndo maana kura yangu ni Big Yes!!

Niliambiwa na mabinti wengi tu huko nyuma kwamba handsome boys ni waachafuzi kama honey badgers!!

Babu DC!!

Avatar yako Z Nimependa hiyo Laptop yako inavyomilika Mwizi! Wacha niwahi the Chef Time Tayari Nitarudi Baadae.

Najua hujampenda kaka Mgeni Sema nae tu jibu utakalo mpa ataliheshimu tu
 
ila wanamme wafupi wanapenda kama wana kichaa, hata uwafanye bushoke wapo tu.
Wana raha yao nao.

Ila kwa wewe umeshasema 'Khah' mwambie ivo ivo.
huna adabau we!!! mbona mie na ufupi huu sijui kupenda?
 
Leo naomba kueleza lililo moyoni mwangu, wallahi sitanii, maana najua hapa watu watakuja na vijineno vya kukatisha tamaa~~~~Mabibi na Mabwana naomba saaana jambo hili msilifanyie dhihaka.

Ni hivi, kuna kijana mmoja kahamia huku visiwani Zenji mwaka jana mwishoni. Huyu kijana anaishi mtaa wa pili kutoka hapa nyumbani. Mara nyingi akienda kupunga upepo ufukweni huwa anapita hapa kwetu na hapiti bila kutusalimu, kwani kijana mwenyewe ana heshima kweli na aonekana kuwa amefunzwa huko kwao. Hivi karibuni nilipokuwa huko Dar, kula mwaka mpya alikumpa rafiki yangu kadi aniletee ya kunitakia heri ya mwaka mpya na niporudi na kupewa kadi hiyo nilimpa ahsante wakati anapita hapa kwetu. alifurahi sana.

Sasa juzi nimekutana naye Hoteli moja ya ufukweni nikiwa na dada yangu na tulipata wasaa wa kuzungumza kidogo na hapo ndipo aliposema yaliyo moyoni mwake kuwa ananipenda na angependa tuwe wapenzi. Nimemwahidi nitamjibu. Kusema ukweli ni kijana mzuri kwa sura na nimtanashati hasa na mwenye heshma kwa wakubwa na wadogo. Lakini kuna tatizo. Tatizo lenyewe ni kwamba, huyu bwana ni mfupi mno, yaani tukisimama ananifika kiunoni (Mie ni mwembamba na mrefu kiasi)~~~~~ Mwenzenu mie na wanaume wafupi~~~ akha! Hilo kwa kweli limeniwia gumu kukubali ombi lake, maana hata kutembea naye barabarani mwenzenu sitaweza.....

Sasa naomba msaada mwenzenu, nitumie msamiati gani kumkatalia, maana sipendi nimuumize moyo wake.

Mkubalie. The shorter the monkey the longer the tail! I hope you know what I mean and I believe you girls want the long ....
 
Acha nyodo mtoto wa kike kulikua na wenzako kama wewe hoo nataka mwanamme handsome oh awe mrefu at the end wameolewa na vibabu na mvi tii,usimkatae kwa kua mfupi sema wewe bado mtoto ukishafikisha 29 au 30 utawatafuta hata kina mwala na utawakosa mwishowe utakuja kuishia kwa kina emoro,grow up acha utoto,kama haumtaki sema tu simtaki usije ukasema kisa mfupi au ni promo tujue kwamba wewe ni mwembamba na mrefu?

Kwani urefu au ufupi anaousema ni upi? Ajue mapenzi hayana hayo na akumbuke urefu wa mtu haupotei.
 
I thwea, wanapenda hadi kero
afu so protective kwa wapenzi wao
na kule mahala wanajituma ila kwa kukukuruka kama madenge

mara yuko miguuni, mara kashafika kichwani, dah hadi umwambie relax, am all yours.

huna adabau we!!! mbona mie na ufupi huu sijui kupenda?
 
Back
Top Bottom