Huyu kaka jamani~~~ Nimjibuje mie!

Asante King, kumbe unajua kusoma codes eh! Totoz hiyo, kitu cha slim, tall (I guess mweupe na pozi za kipwani hivi) na nyodo za kike, wahi pm mi nichunge kibaraza hapa
Acha nyodo mtoto wa kike kulikua na wenzako kama wewe hoo nataka mwanamme handsome oh awe mrefu at the end wameolewa na vibabu na mvi tii,usimkatae kwa kua mfupi sema wewe bado mtoto ukishafikisha 29 au 30 utawatafuta hata kina mwala na utawakosa mwishowe utakuja kuishia kwa kina emoro,grow up acha utoto,kama haumtaki sema tu simtaki usije ukasema kisa mfupi au ni promo tujue kwamba wewe ni mwembamba na mrefu?
 
Mwambie,ungeweza kuwa0naye,tatizo ni kwamba,umesitisha masuala ya mahusiano kwa sasa,baada ya kutendwa kwa muda mrefu! Atakuacha tu!
 
Eti utamfikiria? Hivi haya majibu bado yapo?

Kwa huku Zenji kumwambia mtu kuwa utamjibu ombi lake utakapopata fursa ya kufanya hivyo, ni mojawapo ya majibu yenye kuashiria uungwana ndani yake
 
Acha nyodo mtoto wa kike kulikua na wenzako kama wewe hoo nataka mwanamme handsome oh awe mrefu at the end wameolewa na vibabu na mvi tii,usimkatae kwa kua mfupi sema wewe bado mtoto ukishafikisha 29 au 30 utawatafuta hata kina mwala na utawakosa mwishowe utakuja kuishia kwa kina emoro,grow up acha utoto,kama haumtaki sema tu simtaki usije ukasema kisa mfupi au ni promo tujue kwamba wewe ni mwembamba na mrefu?

Nahisi wewe mfupi na hapa ndio umepta mahali pa kumalizia hasira zako. Nilijua tu kuwa watu wafupi humu hawataipenda hii mada. hivi hapa nawahesabu, nimeshapata idadi.
 
Mwambie ukweli kuwa hupendi wanaume wafupi, ukweli unauma ila ni bora kumwambia aumie afu azoee! Ukimdanganya itakuwa mbaya zaidi.
 
Acha nyodo mtoto wa kike kulikua na wenzako kama wewe hoo nataka mwanamme handsome oh awe mrefu at the end wameolewa na vibabu na mvi tii,usimkatae kwa kua mfupi sema wewe bado mtoto ukishafikisha 29 au 30 utawatafuta hata kina mwala na utawakosa mwishowe utakuja kuishia kwa kina emoro,grow up acha utoto,kama haumtaki sema tu simtaki usije ukasema kisa mfupi au ni promo tujue kwamba wewe ni mwembamba na mrefu?

kama upo single fikiria mara mbili maana nimewahi kukutana na couple ya aina yenu pale africana hotel DSM miaka ya early eightees mume alikuwa andunje au ukipenda kijeba anamfika mama chini kidogo ya kiuno walikuwa na watoto 2 wazuri ajabu nilipochunguza kwa sababu tuliishi pale hotelini kwa muda niligundua yule kijeba alikuwa ni mpare profesor wa harvard university na yule shost alikuwa wa ukoo wa abrahaman babu hapo zenji - changamkia tenda wajihi wa mtu unachangia chini ya 10% ya furaha ya maisha ya ndoa. siyo lazima uwe unatoka naye mnaweza kuwa mnamalizana faragha tuu.
 
Wewe huwajui watu wafupi kwa kupenda sifa. Nikimkubali si atataka kila mahali tuandamane kama kumbikumbi!
 
Nahisi wewe mfupi na hapa ndio umepta mahali pa kumalizia hasira zako. Nilijua tu kuwa watu wafupi humu hawataipenda hii mada. hivi hapa nawahesabu, nimeshapata idadi.

You dead wrong buddy,I'm 6'5",sipendi tabia ya kusema napenda hv lkn at the end hamfati yale mliyotaka ndo maana nikakwambia mkatae tu bila kuweka vigezo vyako hvyo,hyo promo ya slim and tall hautupati mie binasfi sipendi wadada wembamba skinny yani hata mashine haiendi hewan akinivulia,pili sina hasira wala nini mimi huwa nawapa makavu live pitia post zangu utaona.
 
Kwa sifa ulizompa, anaonekana ana hekima na uungwana. Atakushukuru manake hatahangaisha moyo wake kupenda waschana wasiokuwa wa level yako. Afu si wajua siku hizi wanasema m'baya wako muombee njaa, atataka kuwa karibu na wewe akuone utakapoangukia lau akupe tabasamu ukishatendwa na a tall handsome man.
Duh, sia atanichukia sana. Au?
 
He he he heeeee. Nimeona umejipa na wewe Promo hapo kuwa umrefu~~~~~~~ Siku nyingine anzisha Thread yako ujipe promo na sio kudandia za wenzio
 
Kwa sifa ulizompa, anaonekana ana hekima na uungwana. Atakushukuru manake hatahangaisha moyo wake kupenda waschana wasiokuwa wa level yako. Afu si wajua siku hizi wanasema m'baya wako muombee njaa, atataka kuwa karibu na wewe akuone utakapoangukia lau akupe tabasamu ukishatendwa na a tall handsome man.

Hizo sifa za heshma na uungwana nimezisemea humu wala hajui kama mie namuonaje!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom