Huyu kaka jamani~~~ Nimjibuje mie!

Huyu kaka jamani~~~ Nimjibuje mie!

Nimeshindwa hata sijui nifuate ushauri gani hapa~~~~~~~~maana kila mtu kasema lake. Ngoja niwasilianen na $Rejao, labda anaweza kuwa na mawazo mbadala
 
Hapo mbona jibu rahisi tu? Mwambie unampenda mwanamme kama rejao. Mpe qualities zangu ajichunguze mwenyewe!!
 
nimeshindwa hata sijui nifuate ushauri gani hapa~~~~~~~~maana kila mtu kasema lake. Ngoja niwasilianen na $rejao, labda anaweza kuwa na mawazo mbadala

rejao mwenyewe mfupiiiiiiiiiiiii
asa unategemea atajib nini? Na watu wafupi loool wanamatatizo
haooooo
 
Lol..Flora, mimi supa tall bana! Zinduna mwenyewe analifahamu hili. Kwanini wadada hampendi watu wafupi? Wanamatatizo gan?
 
Usijali huyo Bwana fupi me namfahamu alihama mitaa yetu bado nawasiliana nae nimemfahamisha kuhusu wewe unapenda warefu kama mimi, amesema ataanza kukupotezea pole pole kuna girl mitaa ya mchambawima anaweza akawa mbadala wako.
 
mdanganye una mtu,akija kuja huna atajua tu humtaki,afu hivyo visalam vyake visikuzingue...inawezekana kwa vile ana 'interest' kwako ndio ana play hivyo....ukute ni lilevi kupindukia lol

Neema ! Huu ndiyo hakika ushauri wa kike ! Kivipi ?
Amdanganyie nini ana mtu ?
Akimchana live nini tatizo ? Liwalo si naliwe mapenzi si ugomvi.
 
hahaahaaaaaa wewe sasa naona unataka kujivutia kwako mzeeiya...! wacha mwenzio agonge mambo kiulaini bwana kwani umependwa wewe..? au ulitaka kukaa kwenye position ya ile laptop pale kwenye avatar yake...?
 
Leo naomba kueleza lililo moyoni mwangu, wallahi sitanii, maana najua hapa watu watakuja na vijineno vya kukatisha tamaa~~~~Mabibi na Mabwana naomba saaana jambo hili msilifanyie dhihaka.

Ni hivi, kuna kijana mmoja kahamia huku visiwani Zenji mwaka jana mwishoni. Huyu kijana anaishi mtaa wa pili kutoka hapa nyumbani. Mara nyingi akienda kupunga upepo ufukweni huwa anapita hapa kwetu na hapiti bila kutusalimu, kwani kijana mwenyewe ana heshima kweli na aonekana kuwa amefunzwa huko kwao. Hivi karibuni nilipokuwa huko Dar, kula mwaka mpya alikumpa rafiki yangu kadi aniletee ya kunitakia heri ya mwaka mpya na niporudi na kupewa kadi hiyo nilimpa ahsante wakati anapita hapa kwetu. alifurahi sana.

Sasa juzi nimekutana naye Hoteli moja ya ufukweni nikiwa na dada yangu na tulipata wasaa wa kuzungumza kidogo na hapo ndipo aliposema yaliyo moyoni mwake kuwa ananipenda na angependa tuwe wapenzi. Nimemwahidi nitamjibu. Kusema ukweli ni kijana mzuri kwa sura na nimtanashati hasa na mwenye heshma kwa wakubwa na wadogo. Lakini kuna tatizo. Tatizo lenyewe ni kwamba, huyu bwana ni mfupi mno, yaani tukisimama ananifika kiunoni (Mie ni mwembamba na mrefu kiasi)~~~~~ Mwenzenu mie na wanaume wafupi~~~ akha! Hilo kwa kweli limeniwia gumu kukubali ombi lake, maana hata kutembea naye barabarani mwenzenu sitaweza.....

Sasa naomba msaada mwenzenu, nitumie msamiati gani kumkatalia, maana sipendi nimuumize moyo wake.

mwambie hiviiii...."S.I.K.U.T.A.K.I...! na CHAPA NDALA...! hakika nakwambia harudi huyo..!
 
Kwa case ka iyo wala ata hutakiwi kuvuta mda sn kujb. Cz ndio ka unakua unampa maHop flan things wl b okey. Bila kupoteza mda sn toka a2me request yake ni bora u2mie yo wisdom mtel ata u have another 1 na ni ngum kumkubalia. Zat all.
 
Leo naomba kueleza lililo moyoni mwangu, wallahi sitanii, maana najua hapa watu watakuja na vijineno vya kukatisha tamaa~~~~Mabibi na Mabwana naomba saaana jambo hili msilifanyie dhihaka.

Ni hivi, kuna kijana mmoja kahamia huku visiwani Zenji mwaka jana mwishoni. Huyu kijana anaishi mtaa wa pili kutoka hapa nyumbani. Mara nyingi akienda kupunga upepo ufukweni huwa anapita hapa kwetu na hapiti bila kutusalimu, kwani kijana mwenyewe ana heshima kweli na aonekana kuwa amefunzwa huko kwao. Hivi karibuni nilipokuwa huko Dar, kula mwaka mpya alikumpa rafiki yangu kadi aniletee ya kunitakia heri ya mwaka mpya na niporudi na kupewa kadi hiyo nilimpa ahsante wakati anapita hapa kwetu. alifurahi sana.

Sasa juzi nimekutana naye Hoteli moja ya ufukweni nikiwa na dada yangu na tulipata wasaa wa kuzungumza kidogo na hapo ndipo aliposema yaliyo moyoni mwake kuwa ananipenda na angependa tuwe wapenzi. Nimemwahidi nitamjibu. Kusema ukweli ni kijana mzuri kwa sura na nimtanashati hasa na mwenye heshma kwa wakubwa na wadogo. Lakini kuna tatizo. Tatizo lenyewe ni kwamba, huyu bwana ni mfupi mno, yaani tukisimama ananifika kiunoni (Mie ni mwembamba na mrefu kiasi)~~~~~ Mwenzenu mie na wanaume wafupi~~~ akha! Hilo kwa kweli limeniwia gumu kukubali ombi lake, maana hata kutembea naye barabarani mwenzenu sitaweza.....

Sasa naomba msaada mwenzenu, nitumie msamiati gani kumkatalia, maana sipendi nimuumize moyo wake.

Nimekufa kucheka na hii story,huu ndo ushauri unaokufaa dada yangu,mapenzi hayana ubaguzi na beuty is in the eyes of the beholder,huyo kaka hajakuvutia japo ni anaheshima sana,usipende kwa hisia za mtu.
 
Nimekufa kucheka na hii story,huu ndo ushauri unaweza kukufaa dada yangu,mapenzi hayana ubaguzi na beuty is in the eyes of the beholder,huyo kaka hajakuvutia japo anaheshima sana,usipende kwa hisia za mtu.vilevile huyo kaka anakupenda sana na angependa kuzaa na wewe ili kizazi chake kiwe...amini kuwa mwanaume atakeye kuoa mungu ashampaga siku nyingi anayaweza akawa huyo au mwingine.be sweet to him na umchenge kiakili kama vile unampenzi wa ahadi ili usimuumizi kwa kumuonyesha haupendi ufupi.atajiongeza mwenye and always be nice to him
 
1.Ma Tall tupo wachache sana.
2. Kama hujaolewa wala usijivunge,watu wa Zenj wala hawakawizi ukisema YES kesho ndoa.
 
mdanganye una mtu,akija kuja huna atajua tu humtaki,afu hivyo visalam vyake visikuzingue...inawezekana kwa vile ana 'interest' kwako ndio ana play hivyo....ukute ni lilevi kupindukia lol
waongo utawajua tu.
 
Back
Top Bottom