Huyu Jane Shirima wa TBC vipi?

Huyu Jane Shirima wa TBC vipi?

Pale unapoona mwenzio anachukua side, kuwa agaisnt na upinzani basi jua na wewe uko kwenye side ya kuusupport upinzani. Wote tukiwa upande mmoja nani atamfunga paka kengele? Tukubali kutokukubaliana, ndio demokrasia.
 
jamani umefika wakati tutambue kuwa,kwenda shule na utendaji kazi ni vitu viwili tofautiiiiiiiiiiii,pia mtambue kuwa tbc ni taasisi ta siasa tena ni ccm kwani hamkumbuki walivyo kataa lile tangazo la KWANINI TU MASIKINI WAKATI TUNA TANZANITE NA MADINI KEMKEM? ukikumbuka hilo utajuwa hawa wakina shilima wapo wapi,wanachotaka ni mkono uende kinywani na sio watanzania wanataka nini

MAPINDUZIIIIIIIIIII DAIMAAAAAA

Eng... kula tano naona mzee uko na ile damu ya FoE
 
DSCN8670.JPG

Mwenye Njano ndo Jane shirima
 
Pale unapoona mwenzio anachukua side, kuwa agaisnt na upinzani basi jua na wewe uko kwenye side ya kuusupport upinzani. Wote tukiwa upande mmoja nani atamfunga paka kengele? Tukubali kutokukubaliana, ndio demokrasia.

Sasa asifanye hivo kwa kodi zetu ..ala!
 
mnyika1.jpg
Kwa mpiganaji kama huyu akiingia bungeni, hivi vyeti vya akina Jane zitafika kikomo. Huwezi kuwa graduate then unachakachua maswali. Kama JK mtasema ni graduate wakati vyeti ndiyo hivyo tena, siku ya mtihani yuko disco. Mwulizeni Kapuya na Membe.
 
Jamani heshimuni watu ,mama mtu mzima aliyekomaa hivyo mnamwita binti! Any way tuwe tunawaweka kwenye orodha mavibaraka wote ili waje watuimbie nyimbo za sayuni
 
Bahati Mwano, kwanza karibu, pili kitu kama hujui , sio lazima uchagie, huyu binti, infact ni mama tena sio young mother, but she looks good, ni graduate tena toka reputable univesities, kumuita kanjanja ni kumuonea!, makanjanja tuite akina siye!.

Kama kweli kasomea uandishi wa habari mbona anafanya mambo kama kanjanja?
 
Pasco kuwa graduate toka reputable Univ. na kufanya kazi kwa uelewa/mafanikio tarajiwa ni vitu viwili tofauti!
Mo-Town, hii ni kweli, kuna kusoma elimu ya cheti na kuelimika. Kila siku tunakutana na magraduate wenye ku behave kama shule ya msingi, na wazee wetu ambao hawakugusa darasa, lakini thinking capacity ya kina Socrates na Plato!.

Ila huyu binti, kusema ukweli, ni professional, ana practice impartiality, objectivity na fainess and balance.
 
Ananeemeka na the existing system nje kila siku nasikia kuna mkuu anabembea apo
 
jamani umefika wakati tutambue kuwa,kwenda shule na utendaji kazi ni vitu viwili tofautiiiiiiiiiiii,pia mtambue kuwa tbc ni taasisi ta siasa tena ni ccm kwani hamkumbuki walivyo kataa lile tangazo la KWANINI TU MASIKINI WAKATI TUNA TANZANITE NA MADINI KEMKEM? ukikumbuka hilo utajuwa hawa wakina shilima wapo wapi,wanachotaka ni mkono uende kinywani na sio watanzania wanataka nini

MAPINDUZIIIIIIIIIII DAIMAAAAAA

Mkuu umenigusa. Mimi nilidhani huwa nakereka peke yangu niangaliapo mahojiano anayoyafanya na wanasiasa haswaaaaa wa upinzani. Namshukuru aliyetumegea kuwa ni graduate manake nilidhali kielimu ni kanjanja. Kama ni kweli ni msomi basi kuna tatizo kwenye vyuo vyetu nowadays..... Huyu mama ni tatizo anakera na kama ni ukuu wa wilaya bac amedhamiria. Nilikosa uvumilivu pamoja na mapenzi niliyo nayo kwenye Sihasa nikawa nabadili chanel ili asiendelee kunikifu kwa kuonesha wazi kuwa ni kada wa CCM. Tena kada mbumbumbu asiyeelewa kitu na asiyeona soo kuonesha uchama wake kwenye chombo cha umma.

Acha niishie hapo maana umeniamshia hasira iliyokuwa imeaznza kupoa. ukijumlisha na uso wake ulivyooo... hata haipendezi.
icon6.png
 
Tatizo njaa kwa waandishi wa habari wasio na strategy ... kisa kamwona Betty Mkwasa kapewa u-DC na yeye anadhani ni mteremko
 
Mo-TOWN, umefikiri kama mie. Weledi wa kazi ni zaidi ya Shahada mtu alizonazo hata kama zimetolewa na Chuo Kikuu Maarufu kuliko vyote duniani! Mwandishi ana takiwa afuate maadili ya kazi yake! Asishabikie upande wowote. Kwa mfano, niliambiwa kuna kipindi cha Redio moja hapo Dar es Salaam walimponda mgombea ubunge aliyeshinda huko Mbeya, hebu nambieni, jamii itawafikiria vipi hawa watangazaji na kituo chao? TBC wasielekee huko!
 
Who the hell is she so called shirima.. Hey kwenda shule sio tija wangapi wana degree mpaka kwenye uso lakini ni mbumbuu..Utendaji kazi ndio tija bana. Wasomi mbona wengi na dunia bado inayumba? Wafanyakazi ni wengi lakini Watendaji kazi ni wachache
 
Back
Top Bottom