Huyu Jane Shirima wa TBC vipi?

Wewe unategemea nini toka kwa lady anayepaka paka rangi nywele zake na mlevi wa pombe na sigawa wa kupindukia pia waheshimiwa wanapumzika kama hawna akili nzuri siwezi shangaa akiwa DC
 
Kawaida mtu ambaye ni mweupe kichwani huwa anakuwa na kawaida ya kutumia nguvu zaidi kuliko akili.Pia kuendesha vipind kwa namna ambayo anafanya huku uongozi ukiona na kumwacha aendelee inaonyesha uongozi ni mbovu pia.Kwa waliowahi kuona vipindi vyake sidhani kama utatamani kurudia tena.Kama anataka U-D akawaulize wenziye walifanyaje apate kujua inakuwaje na walifanyaje.
 
Pale unapoona mwenzio anachukua side, kuwa agaisnt na upinzani basi jua na wewe uko kwenye side ya kuusupport upinzani. Wote tukiwa upande mmoja nani atamfunga paka kengele? Tukubali kutokukubaliana, ndio demokrasia.
Soma na uelewe mada Mkuu!!Hapa tunaongelea WELEDI(proffesionalism)Jane kama Mtangazaji anatakiwa afanye kazi kwakuzingatia Taaluma au ethics za Utangazaji nasio kuwa Bias kwa Chama fulani,Kama Raia ana haki yakuwa na chama ila anapokuwa kazini lazima aheshimu Taaluma ya Utangazaji inataka nini.Mbaya zaidi anafanya kwenye Shirika la Umma ambalo halitakiwi kuwa na Mrengo wowote wa Kichama coz linaendeshwa na kodi za wananchi wanaoshabikia vyama vya siasa na wasio na vyama.They are paid coz of our Taxes.
 
she is unprofessional kweli kweli! Fuatilia anavyoendesha mahojiano. Huwa anatake side-sijui ni mwandishi wa aina gani? Watu kama hawa kwenye taasisi nyeti kama hii ya TBC (Nowadays wamekuwa hopeless) ni tabu tupu.

TBC!!! kazi kweli kweliii.....Sijui ndo U - CCM?
 
TBC ni chombo kinachotumia pesa za walipa kodi wote hivyo waandishi wake wana wajibu wa kuwatendea haki watazamaji/wasikilizaji wake bila kuegemea upande wowote. Inawezekana hakuna ethics code hapo TBC. Ila inashangaza kama hata Tido na Mungi (wenye uzoefu wingi) nao wameshatumbukia katika mtego wa kukumbatia watawala!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom