Huyu Jane Shirima wa TBC vipi?

Demokrasia yetu inachakachuliwa na CCM lakini tuendelee kuipigania kwa ajili ya watoto wetu........
 
Pasco kuwa graduate toka reputable Univ. na kufanya kazi kwa uelewa/mafanikio tarajiwa ni vitu viwili tofauti!
Ni kweli kabisa ipo tofauti mbona Chenge ni graduate wa chuo makini kabisa lakini wote tunajua mambo yake. Pale TBC wengi wa watangazaji wako biased vibaya mno sawa tu na Daily News au habari Leo. Hata Tido na Suzan Mungi waliotoka BBC nao ni wale wale
 
Pasco kuwa graduate toka reputable Univ. na kufanya kazi kwa uelewa/mafanikio tarajiwa ni vitu viwili tofauti!
Kweli kabisa Chenge na Kinana wamesomea Harvard je wanayoyafanya yanaonyesha kuwa walielimika au ni watu waliokuja kutafuta vyeti ili watukomoe? Kusoma chuo chenye hadhi si hoja, hoja ni utumishi adilifu, wa kizalendo na uliotukuka.
 
Binti Shirima natafuta ukuu wa wilaya. Si unajua raisi anaapishwa na anapaswa kuunda upya sirikali yake
 
Jane shirima ameolewa na nani? nauliza hivi kwasababu mara nyingi huwa naona anavaa visketi vidogo sana hasa akiwa kwenye mahojiano pale tbc...vile visuti veusi vyenye visketi vidogo..mme wake ni nani jamani tumshauri amrekebishe mkewe!
 
Ya kina Shirima na Tido na wengine kibao ni matokeo ya sera chafu za CCM kukanyaga demokrasia. Mie kwangu hivi sasa TBC si ya Taifa, ni ya CCM. Na kama utachunguza, utaona kwamba umaarufu wa TBC unashuka kwa kasi sana, watu wako bored na mienendo yao ya kuegemea upande mmoja na kutupia ****** taaluma zao. Nachojiuliza ni kuwa wanafaidika nini katika utawala huu mbovu? Kwa nini wakubali kuchafuka kwa kumkumbatia mchafu? Mbona taaluma zao zinawawezesha ku-excel hapa Tanzania?
Ushauri wa bure, wasome alama za nyakati. CCM wanayoibeba haibebeki wala haisafishiki, madoa yake ni sugu. Wananchi wamechoka na wanataka mabadiliko. Pole kwako Bibi Shirima, siku mtoto wako atakapopoteza maisha kwa huduma mbovu hospitalini labda utajifunza. Pole sana
 
Jane shirima ameolewa na nani? nauliza hivi kwasababu mara nyingi huwa naona anavaa visketi vidogo sana hasa akiwa kwenye mahojiano pale tbc...vile visuti veusi vyenye visketi vidogo..mme wake ni nani jamani tumshauri amrekebishe mkewe!

Mke wa Dr. Shirima wa Civil engineering chuo kikuu.

Dr. Shirima is among tthe best engineers specialised in steel structures.

Huyu mke wake huwa simuelewi anaweza akaanza kumuhoji mtu maswali na muda mrefu anaongea mawazo yake yeye au hata kupelekea kubishana na anayemuuliza maswali, she is not fair, she is after something

asante uliyeliona hilo!
 
Nilikuwa nafuatilia mahojiano ta TBC ambapo Binti Shirima alikuwa anamhoji Mtoto wa Mkulima Pinda nikashangaa alipoanza kusema wapinzani ni watu wa kupinga tu kila kitu. Nikasema ama kweli naye huyu binti kachakachuliwa. Walio karibu nae wamstue jamani kuwa Opposition imefanya tremendous job.

Hajui maana ya neno opposition. Kwa kiswahili rahisi opposition inatokana na neno oppose ambalo kwa lugha ya kwetu lina maana ya kupinga. Na kupinga maana yake ni kupinga hakuna maana nyingine.
 
Everybody was born genius but schools made us stupid. It is those who can think who remain genius.

Kwenda shule hakumfanyi mtu kuelimika bali kumsaidia kufikiri mawazo ya wenzake na kuchanganya ya kwake ili kupata kitu kilichosimama. Mwambieni huyo mama aje ahudhurie mihadhara yangu chuoni.
 
Nachojiuliza ni kuwa wanafaidika nini katika utawala huu mbovu? Kwa nini wakubali kuchafuka kwa kumkumbatia mchafu?

Wanachofaidi ni ofa za ikulu zinazotolewa kwa watangazaji wanaokipigia debe chama cha CCM. Unawakumbuka akina Sarah Dumba, Betty Mkwasa ambao ni wakuu wa wilaya. Pia usisahau safari za ikulu nje ya nchi. Wajua tena Rais wetu na makamu wake na waziri mkuu ni wazuri saana wa kusafiri kwenda nje, mara USA, UK, China, Japan nk.
 
Safari za nje mara hii ''Full Stop" wahisani wameliona hilo labda waende Bangladesh na India na Uchina.

Hawa watu wa TBC very borring kwa kweli, bora kutizama mieleka kuliko TBC.

Ulimwona hata Mzee Upara Marine alivyokuwa akitangaza matokeo ya kura za urais sura yake ilionyesha wazi kuwa anashabikia sisiemu.

Elimu ndogo na uelewa pia vinachangia mtu kujua aulize nini na kwa wakati gani.:whoo:
 
Nilikuwa nafuatilia mahojiano ta TBC ambapo Binti Shirima alikuwa anamhoji Mtoto wa Mkulima Pinda nikashangaa alipoanza kusema wapinzani ni watu wa kupinga tu kila kitu. Nikasema ama kweli naye huyu binti kachakachuliwa. Walio karibu nae wamstue jamani kuwa Opposition imefanya tremendous job.
Hahahaa unalitambua leo kuwa Jane ni CCM damdam! Toka kipindi cha kampeni akiwa na Tuambie alitia kichefuchefu ungetamani haache kuhoji kwani alikuwa akihoji anataka majibu ya kussuport ccem mtu akiwa against tu anageuza kitabu na kuanza kushambulia. Hivyo huyu ni kada machachali wa chama hivyo usitie neno...
 
Mme wake anaitwa Dr. Shirima,yupo pale CoET,UDSM. Pamoja wana watoto 3 wa kiume. Mmoja alisoma St. Anthony Mbagala, wawili walisoma Feza Boys.
 
Mxiiiii nyambaf kabisa kodi zetu wanazojilipa mshahara ndo ziwafanye wawe na kiburi kwetu! huyu nadhani by proffesional si mwandishi wa habari na km ni Mwandishi by proffesional basi alisomea vile vyua vya kariakoo kule au Ilala maana sioni uandishi wake upo wapi km ameshamezwa na mafisadi. mie nilikuwa naipata TBC kupitia dish ni miezi mitatu sasa sijaona hiyo kichefuchefu leo nimemwita fundi wa DISH kaja kuseti katumia 4hrs haijaonekana nikaona afadhali wamejichakakua wenyewe ili nisiendelee kuona upuuzi wao ptuuuuuuuu tbc.
 
AVATAR yake tu inachekesha maana mfua vyuma ni nafuuu.

Sasa km avatar ndo hiyo unategemea atauliza maswali gani?

Swali : kwa nini TZ ni nchi maskini licha ya utajiri mwingi ilionao?

Jibu: Tehe tehe tehe eee unajua hata mimi sijui.
 
Bahati Mwano, kwanza karibu, pili kitu kama hujui , sio lazima uchagie, huyu binti, infact ni mama tena sio young mother, but she looks good, ni graduate tena toka reputable univesities, kumuita kanjanja ni kumuonea!, makanjanja tuite akina siye!.

Pasco kuwa graduate toka reputable Univ. na kufanya kazi kwa uelewa/mafanikio tarajiwa ni vitu viwili tofauti!

Pasco what happened to you mazee...............au kuna mtu kaiba password yako nini?
 
Mo-Town, hii ni kweli, kuna kusoma elimu ya cheti na kuelimika. Kila siku tunakutana na magraduate wenye ku behave kama shule ya msingi, na wazee wetu ambao hawakugusa darasa, lakini thinking capacity ya kina Socrates na Plato!.

Ila huyu binti, kusema ukweli, ni professional, ana practice impartiality, objectivity na fainess and balance.

kama ni kweli alisema Wapinzani ni watu wa kupinga pinga tu.............je unaweza ku-qualify.....hichi unachosema hapa ........"ana practice impartiality, objectivity na fainess and balance........".
 
kama ni kweli alisema Wapinzani ni watu wa kupinga pinga tu.............je unaweza ku-qualify.....hichi unachosema hapa ........"ana practice impartiality, objectivity na fainess and balance........".

Kaamua tu, hamjui huyu dada!
 
Bahati Mwano, kwanza karibu, pili kitu kama hujui , sio lazima uchagie, huyu binti, infact ni mama tena sio young mother, but she looks good, ni graduate tena toka reputable univesities, kumuita kanjanja ni kumuonea!, makanjanja tuite akina siye!.


Wewe PASCO acha uvivu wa kufikiri...kusoma shuke ni kitu kimoja na kuwa analuytical thinker ni kingine. Ukweli ni kwamba Binti Shirima ni mtupu, hata mijadala yake mingi anayoiendesha inatawaliwa na ubabe kama wa Anna Makinda, na hasa pale anapowahoji wapinzani. Kingine ni kwamba huwa naegemwa waziwazi kwenye Chama Cha Mapinduzi, labda ni kwasababu yeye ni mwajiriwa wa taasisi iliyo chini ya serikali ya chama hicho, au ni kwa kuwa hawezi kuwa fair katika mahojiano kwa kuzidiwa na Unazi. Kikubwa ni kwamba sio mweledi kwenye hiyo fani.

RAI YANGU: TUSIJAWE NA UNAZI TUKASHINDWA KUTUMIA AKILI ALIZOTUJALIA MUNGU.
 
http://jamiiforums.com/count/Nsu/bg=FFFFFF/txt=FFFFFF/border=FFFFFF/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=1http://2.s01.jamiiforums.com/count/Nsu/bg=FFFFFF/txt=FFFFFF/border=FFFFFF/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=1
jane is st*pid :tape:

And you????
 
Back
Top Bottom