Huyu hapa Jesca John Magufuli

Jesca ashapata umaarufu inabidi akakutane na wenzie kama Isabela kule Angola wampe mbinu aje kupiga pesa hapa
 
Kwa hili la Jessica Magufuli nawapinga wale wanasiasa wengi wa upinzani, tuache siasa nyepesi za matukio, let's base on issues.
Swala lipo hivi
Siasa mpaka kwenye Elimu ni challenge katika nchi. Jesca Magufuli qualification zake za form four ni qualification za certificate kwa mfumo wa NACTE na bahati nzuri amemaliza mwaka 2011 akaingia certificate mwaka mmoja then Diploma miaka miwili then akaingia Degree kwa utaratibu wa NACTE na ndo maana unaona kwenye hiyo selection ya UDOM ni ya NACTE sio ya TCU, anachokipinga Rais ni mtu mwenye qualification kama za Jesca kwenda moja kwa moja diploma bila kupitia certificate na hapo ndo kosa lilipo. Sio kwamba ukipata four huendelei na shule hapana, ila unaendelea kwa mfumo wa Competence based wa NACTE tofauti na mfumo wa TCU. Nadhani masuala ya Elimu tuwaachie wasomi sisi tubaki na siasa.
No research no right to talk.
[HASHTAG]#TCRA[/HASHTAG] Fanyeni kazi yenu kwa hawa wasambazaji wa habari za kudakia.
Alichotibua kama sikosei ni kuwaita watoto wengine vilaza.
 
obama_and_paul_kagame_with_taller_women_by_lowerrider-d862jrb.jpg

Ila huyu wa Kagame ni motooo!!!!
 
Mtoto wa Rais but anaonekana hana makuu kabisa kama wazazi wake.

We ungekuwa mtoto wa mwenyekiti wa serikali ya mtaa tu ...

Ungejipodoa mpaka ukapodoleka.

Na ungekuwa na mtu wa kukushikia nywele...
Makuu awe nayo kwa baba yule?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom