Huyu hapa Jesca John Magufuli

Hiyo cheka kama ya Mama yake!!Hapo ni hostel za College ya Social Science
Room #96 block four.....chumba cha kwenye kona,kama unaona nyuma kichwani kwake inaonekana kona ya dizaini fulani...Hivi vyumba vya kwenye kona ni vikubwa kuliko vingine,na kukipata lazima uwe na ukaribu na Block Warden...Huyu alipata sababu ya yule Warden Mkuu Albino....Chumba kubwa na space ya maana..Zulia za Home Shopping Centre

Msiniulize sana...nimefikaje fikaje mpaka kwenye hicho chumba!!Sema binti mtu wa sala sana...ana hofu ya Mungu,nafikiri sababu ya ukaribu sana wa Mama kuliko mzee...Japo wanamgwaya sana Mzee!!Yaani ile "tone" ya mzee Jukwaani ni mpaka sebuleni... Niishie hapa!!Nisije nyea debe bureee,Maana Mzee hataki mchezo na binti zake
Kitanda namba ngapi?
 
Mtoto wa Rais but anaonekana hana makuu kabisa kama wazazi wake.

We ungekuwa mtoto wa mwenyekiti wa serikali ya mtaa tu ...

Ungejipodoa mpaka ukapodoleka.

Na ungekuwa na mtu wa kukushikia nywele...
 
lako guu lavutia,sisiti kukuita malkia!
nyuma tu nakupa mia,hawakuwezi kina sesiria!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom