KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Mbona kama mrwanda!!?
Acha ulimbukeni. Wewe ni NECTA?Huyu hata akipata div 6, poa tu, unaoa.. yuko vizuri.. TUIFUTE ILE DIV.4.. ili tubalance equation..!!
Naifuta Div. 4.. yuko powa
Punguza mmmmmkali tupate mavitu. Bongo joto kali?Kwa hili la Jessica Magufuli nawapinga wale wanasiasa wengi wa upinzani, tuache siasa nyepesi za matukio, let's base on issues.
Swala lipo hivi
Siasa mpaka kwenye Elimu ni challenge katika nchi. Jesca Magufuli qualification zake za form four ni qualification za certificate kwa mfumo wa NACTE na bahati nzuri amemaliza mwaka 2011 akaingia certificate mwaka mmoja then Diploma miaka miwili then akaingia Degree kwa utaratibu wa NACTE na ndo maana unaona kwenye hiyo selection ya UDOM ni ya NACTE sio ya TCU, anachokipinga Rais ni mtu mwenye qualification kama za Jesca kwenda moja kwa moja diploma bila kupitia certificate na hapo ndo kosa lilipo. Sio kwamba ukipata four huendelei na shule hapana, ila unaendelea kwa mfumo wa Competence based wa NACTE tofauti na mfumo wa TCU. Nadhani masuala ya Elimu tuwaachie wasomi sisi tubaki na siasa.
No research no right to talk.
[HASHTAG]#TCRA[/HASHTAG] Fanyeni kazi yenu kwa hawa wasambazaji wa habari za kudakia.
Haka kawimbo kako kuna magwiji wa ilim walisha ka- refute tangu jana.kamechuja.
Pole kwa kutoka povu jingi.
Nmekuelewa sana....Kwa hili la Jessica Magufuli nawapinga wale wanasiasa wengi wa upinzani, tuache siasa nyepesi za matukio, let's base on issues.
Swala lipo hivi
Siasa mpaka kwenye Elimu ni challenge katika nchi. Jesca Magufuli qualification zake za form four ni qualification za certificate kwa mfumo wa NACTE na bahati nzuri amemaliza mwaka 2011 akaingia certificate mwaka mmoja then Diploma miaka miwili then akaingia Degree kwa utaratibu wa NACTE na ndo maana unaona kwenye hiyo selection ya UDOM ni ya NACTE sio ya TCU, anachokipinga Rais ni mtu mwenye qualification kama za Jesca kwenda moja kwa moja diploma bila kupitia certificate na hapo ndo kosa lilipo. Sio kwamba ukipata four huendelei na shule hapana, ila unaendelea kwa mfumo wa Competence based wa NACTE tofauti na mfumo wa TCU. Nadhani masuala ya Elimu tuwaachie wasomi sisi tubaki na siasa.
No research no right to talk.
[HASHTAG]#TCRA[/HASHTAG] Fanyeni kazi yenu kwa hawa wasambazaji wa habari za kudakia.
Mkuu we kakusanye ngombe vijijini..chukua wakutosha walionona sio wale deda...swaga hao ngombe..ukipita mitaa ya morogoro road..kisutu..posta..mpka mitaa pendwa ya magogoni..na uhakika ukifika getini magogoni utalakiwa kama mfalme na utajibebea moto J kiulaini..Wakuu nisaidieni namna ya kumpata na pia utaratibu wenu wasukuma ili nikajitambulishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama babaake alivyochaguliwa kwenye PhDAmechaguliwaje kwenye hiyo Masters huyu?
Kama babaake alivyochaguliwa kwenye PhD