Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 14,138 Reaction score 33,524 Jun 12, 2025 #1 Sija jua jina la fundi ila nimeona kaacha alama ndani ya jengo.
Uponyaji na uzima JF-Expert Member Joined Jul 9, 2015 Posts 1,000 Reaction score 2,129 Jun 12, 2025 #2 Hizo nyumba mbovu hivyo zinajengwa wapi?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 359,869 Reaction score 828,387 Jun 12, 2025 #3 Fbn said: Sija jua jina la fundi ila nimeona kaacha alama ndani ya jengo. View attachment 3365525 Click to expand... Shot hiyo imembamiza mbaya
Fbn said: Sija jua jina la fundi ila nimeona kaacha alama ndani ya jengo. View attachment 3365525 Click to expand... Shot hiyo imembamiza mbaya
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,744 Reaction score 86,370 Jun 12, 2025 #4 Halafu kaondoka hajaaga!
baunsamuoga JF-Expert Member Joined Apr 16, 2023 Posts 1,072 Reaction score 1,080 Jun 12, 2025 #5 Huyo sio RIP?
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 12,212 Reaction score 17,005 Jun 12, 2025 #6 KENZY said: Halafu kaondoka hajaaga! Click to expand... Atakuwa karushwa na shoti!
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 6,118 Reaction score 15,681 Jun 12, 2025 #7 Mbona hizo alama ni viatu vya "ke" ? Sio kwamba kuna mtu alichumishwa mchicha hapo ?