Huyu dada nimfanye nini wadau?

Huyu dada nimfanye nini wadau?

Ha ha ha watu wanashambulia Kama nyuki,jifunze kukua mkuu,samehe na muelimishe...
 
Nawachukia sana watu wanaoingia ofisini kwa migongo ya ndugu zao badala ya vigezo. Umekosa aibu hata unajisema mbele za watu. Kwa hiyo kwa kuwa kaka yako ni meneje pale ulitaka sekretari akupokee na mabusu?!

Shame on you.....CCM mkubwa we!

CCM mkubwa sana huyu!!!
 
Acha kuwa na roho ya kisasi wewe,mtendee wema ili ubarikiwe kwenye kazi yako.Ukimfukuza na wewe utafukuzwa siku moja hivyo hivyo.

Fata Huu Ushaul, Tena Zidisha Upendo Kwa Huyo Dada Alafu Piga Kazi Kwa Kwenda Mbele.
 
Wakuu habarini humu,

Kama wiki mbili zimepita kuna ofisi moja maarufu sana hapa Mji wa Mawe aka Roku city,kuna Brother wangu ambae hapo ni Meneja sasa nikafika kwa ajili ya Interview ila Secretary hakunipokea vizuri na hata aliponiuliza kama nafuatilia kazi sikumjibu ukweli nikamwambia ni mambo binafsi.

Sasa nashukuru nimepata hyo nafasi na bahati nzuri namimi nimepewa cheo,ambapo huy dada anakuwa chini yangu

Hiv najiuliza sijui nimfukuzishe kazi maana alinipokea kwa nyodo sana.

Mwaonaje wakuu?
Mwneshe heshima,usiwe mtu wa mikogo na nyodo kama alivyokufanyia,taratibu endelea kumwelimisha taratibu nzuri za kazi, usimkumbushe kabisa alivyokufanyia atakua ana hofu kuwa utalipiza.
 
Yaan ww umebebwa afu uneta ujuaji...ulofa ndo huu sasa
 
Acha bangi ulitaka akulambe miguu ndo ufurahie makaribisho?? Masikini umepata sasa...........mbwata.
 
Mwambie dada siku ile nilivyofika hapa ofisini sikufaurahi mapokezi kama hivyo ndivyo unavyopokea wageni naomba ujirekebishe ili kuijengea taswira safi ofisi yetu.
 
Utakuwa ufara,okoa mda fanya mambo ya msingi bro
 
umepewa lift unaanza kuweka kishoka na kupiga honi,naona unaanza kupandisha miguu yenye matope juu kuwa makini utashushwa
 
Wakuu habarini humu,

Kama wiki mbili zimepita kuna ofisi moja maarufu sana hapa Mji wa Mawe aka Roku city,kuna Brother wangu ambae hapo ni Meneja sasa nikafika kwa ajili ya Interview ila Secretary hakunipokea vizuri na hata aliponiuliza kama nafuatilia kazi sikumjibu ukweli nikamwambia ni mambo binafsi.

Sasa nashukuru nimepata hyo nafasi na bahati nzuri namimi nimepewa cheo,ambapo huy dada anakuwa chini yangu

Hiv najiuliza sijui nimfukuzishe kazi maana alinipokea kwa nyodo sana.

Mwaonaje wakuu?

Weee mshambaaa nini??? c ajabu ulkiingia kwa nyodoo,pooooz nk. Mimi kama huyo dada iliwahinitokea kwa mtu aliyekuja kama wewe na nilimjibu clear tu... kazi alipata na akaacha poozi lka na ukimzoeya mtu awi kma mwazo mtaendanaa. Mtendee wema ikbidi na salary muongezee
 
hapo ndo umepata kazi! ukiizoea mbona hata alokuweka utamfukuza!!

do you know industrial psychology?? you must revise it my dear friend.
 
Fanya kazi za watu kwa makini achana na upuuzi, umfukuze ili iweje??
 
Mfukuze tu kazi halafu ukute kumbe ni chakula ya brother Wako ndipo utaacha kujitapa kwa kazi za kupendelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom