Usinifokee
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,503
- 3,514
watu wanapenda kulipza visasi duh!!!!!
Wakuu habarini humu,
Kama wiki mbili zimepita kuna ofisi moja maarufu sana hapa Mji wa Mawe aka Roku city,kuna Brother wangu ambae hapo ni Meneja sasa nikafika kwa ajili ya Interview ila Secretary hakunipokea vizuri na hata aliponiuliza kama nafuatilia kazi sikumjibu ukweli nikamwambia ni mambo binafsi.
Sasa nashukuru nimepata hyo nafasi na bahati nzuri namimi nimepewa cheo,ambapo huy dada anakuwa chini yangu
Hiv najiuliza sijui nimfukuzishe kazi maana alinipokea kwa nyodo sana.
Mwaonaje wakuu?
mtongoze.. acha roho mbaya wewe umewekwa bado unataka kuleta shida .
yah kidogoKwahiyo misschagga unadupport jamaa aipekenyue....
yah kidogo
Msamehe; achana nae, we umefuata kazi; fanya kazi kijanaWakuu habarini humu,
Kama wiki mbili zimepita kuna ofisi moja maarufu sana hapa Mji wa Mawe aka Roku city,kuna Brother wangu ambae hapo ni Meneja sasa nikafika kwa ajili ya Interview ila Secretary hakunipokea vizuri na hata aliponiuliza kama nafuatilia kazi sikumjibu ukweli nikamwambia ni mambo binafsi.
Sasa nashukuru nimepata hyo nafasi na bahati nzuri namimi nimepewa cheo,ambapo huy dada anakuwa chini yangu
Hiv najiuliza sijui nimfukuzishe kazi maana alinipokea kwa nyodo sana.
Mwaonaje wakuu?
Kuwa 'professional' otherwise hutakuwa tofauti na huyo dada! Au muelimishe kidogo juu ya weledi na kazi yenu itakuwa nzuri.