Huyu dada nimfanye nini wadau?

Huyu dada nimfanye nini wadau?

Yani ofisi hata hujaizoea ushaanza makeke..angalia usije ukawa ww ndo wa kwanza kuondoka

Hahaha...u hv made my day,jamaa ana makeke na mbwembwe badala asome kwanza mazingira ya kazi,
 
kalamu na karatasi Acha mizengwe.inteview yenyewe uliulizwa simple Qns coz hauna vigezo vilivyokuwa vinahitajika.kwa kuwa upewa cheo tumia hiyo cheo kumwelimisha
 
Wakuu habarini humu,

Kama wiki mbili zimepita kuna ofisi moja maarufu sana hapa Mji wa Mawe aka Roku city,kuna Brother wangu ambae hapo ni Meneja sasa nikafika kwa ajili ya Interview ila Secretary hakunipokea vizuri na hata aliponiuliza kama nafuatilia kazi sikumjibu ukweli nikamwambia ni mambo binafsi.

Sasa nashukuru nimepata hyo nafasi na bahati nzuri namimi nimepewa cheo,ambapo huy dada anakuwa chini yangu

Hiv najiuliza sijui nimfukuzishe kazi maana alinipokea kwa nyodo sana.

Mwaonaje wakuu?

wee wa kupimwa
 
Mwanaume rijali hafukuzi kazi mwanamke kwa chuki wewe
Mkazeeeeee
 
Hahaaaaa! Umfanye nini sasa jamani? Kazi yenyewe nepotism imehusika! Msamehe tu ukute alikuwa pluto.
 
usimfukuze ubaya usiurudishe kwa ubaya bali kwa wema kaanae vizur kuwa mkarimu kwake mpe ushirikiano mzur katika kaz wala usionyeshe ubaya kwake sasa yeye mwenyewe roho ndio itakayo msuta one day atakuja omba radhi
 
Nawachukia sana watu wanaoingia ofisini kwa migongo ya ndugu zao badala ya vigezo. Umekosa aibu hata unajisema mbele za watu. Kwa hiyo kwa kuwa kaka yako ni meneje pale ulitaka sekretari akupokee na mabusu?!

Shame on you.....CCM mkubwa we!

Hahahah umemaliza aisee

Halafu unaweza kuta jamaa perfomance 0%
 
Sasa nashukuru nimepata hyo nafasi na bahati nzuri namimi nimepewa cheo,ambapo huy dada anakuwa chini yangu

Hiv najiuliza sijui nimfukuzishe kazi maana alinipokea kwa nyodo sana.

Mwaonaje wakuu?

Hiyo ndio kazi yako ya kwanza baada ya kutoka shule?
 
Msamehe huyo hajielewi angejielewa asingekufanyia hivyo
 
Wakuu habarini humu,

Kama wiki mbili zimepita kuna ofisi moja maarufu sana hapa Mji wa Mawe aka Roku city,kuna Brother wangu ambae hapo ni Meneja sasa nikafika kwa ajili ya Interview ila Secretary hakunipokea vizuri na hata aliponiuliza kama nafuatilia kazi sikumjibu ukweli nikamwambia ni mambo binafsi.

Sasa nashukuru nimepata hyo nafasi na bahati nzuri namimi nimepewa cheo,ambapo huy dada anakuwa chini yangu

Hiv najiuliza sijui nimfukuzishe kazi maana alinipokea kwa nyodo sana.

Mwaonaje wakuu?

Kumbuka Wewe Ni Ndugu Wa Mume Na Yeye Ni Ndugu Wa Mke, So Ukileta Unoko Utaondoka Wewe Na Utamwacha Hapo, Tafuta Mtaji Wako Achana Na Mavisasi Utakonda Bureee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom