Huyu dada nimfanye nini wadau?

Huyu dada nimfanye nini wadau?

Nawachukia sana watu wanaoingia ofisini kwa migongo ya ndugu zao badala ya vigezo. Umekosa aibu hata unajisema mbele za watu. Kwa hiyo kwa kuwa kaka yako ni meneje pale ulitaka sekretari akupokee na mabusu?!

Shame on you.....CCM mkubwa we!

Hahahaaa yan nimecheka hadi basi loh
 
Si busara kumfukuzisha kazi mtu. Kwa kufanya hivyo hutakuwa tofauti naye. Yeye alitumia cheo chake kukudharau, we nawe unaingia kwenye mtego ule ule wa kutumia madaraka vibaya!

Hata wewe hujakamilika, hivyo cha msingi ni kumkanya ili awe anaheshimu watu bila kujali ni akina nani.
 
Tabia na Gubu za kike hizo.
Wanaume wenye akili kama yako ni hasara tupu.
 
Wakuu habarini humu

Kama wik mbil zimepita kuna ofisi moja Maaruf sana hapa Mji wa Mawe aka Roku siti,Kuna Brother wangu ambae Hapo ni Meneja...Sasa nikafika kwa ajili ya Interview ila Secretary hakunipokea Vizuri na hata aliponiuliza kama nafuatilia Kazi Sikumjibu ukweli nikamwambia ni Mambo Binafsi.

Sasa nashukuru Nimepata hyo Nafasi na Bahat nzuri namimi nimepewa Cheo,ambapo huy Dada anakuwa chini yangu

Hiv najiuliza sijui nimfukuzishe kazi...Maana alinipokea kwa Nyodo sana.

Mwaonaje Wakuu...??

Mdogo wangu usijaribu kitu Kama hicho kwenye Maisha Yako ,Utaja pata Mkosi Mkubwa sana ,kumbuka Anna watoto wanao mtegemea watakulilia na vilio vyao visasi kila kwa Mungu na atawajibu
 
Wakuu habarini humu

Kama wik mbil zimepita kuna ofisi moja Maaruf sana hapa Mji wa Mawe aka Roku siti,Kuna Brother wangu ambae Hapo ni Meneja...Sasa nikafika kwa ajili ya Interview ila Secretary hakunipokea Vizuri na hata aliponiuliza kama nafuatilia Kazi Sikumjibu ukweli nikamwambia ni Mambo Binafsi.

Sasa nashukuru Nimepata hyo Nafasi na Bahat nzuri namimi nimepewa Cheo,ambapo huy Dada anakuwa chini yangu

Hiv najiuliza sijui nimfukuzishe kazi...Maana alinipokea kwa Nyodo sana.

Mwaonaje Wakuu...??
Mkuu msamehe tu maana utakuwa ujamsaidia kumsaidia awe na adabu kwa kila mtu na kujifunza ni kumwacha akikuona na kufanya kazi unazomtuma akuheshimu
 
Nawachukia sana watu wanaoingia ofisini kwa migongo ya ndugu zao badala ya vigezo. Umekosa aibu hata unajisema mbele za watu. Kwa hiyo kwa kuwa kaka yako ni meneje pale ulitaka sekretari akupokee na mabusu?!

Shame on you.....CCM mkubwa we!

Teh teh! Kuna watu hamung'unyi maneno, duh!
 
Mtongoze kula mzigo alfu unamwacha njiapanda kwenye mataa...Akikuuliza unamwambia aache nyodooo:twitch:
 
Ndorooooobo we...kama uko huu yake muite na Umpe onyo anatakiwa aheshimu kila mtu anaekuja oficen kwenu ili kuipa hadhi ofisi yenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom