Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

Kwenye contact details inaonesha una 1 mutual friend na huyo dada anaitwa Edwin M Martin sasa mpigie Martin simu umuulize kuhusu huyo dada sababu wanafahamiana ila kama wewe ndio uliowaunganisha from the first place pole yako.
screenshot_2016-11-20-22-12-33-png.437044
Huyo edwin yupo norway hata afahamiani nae,
 
Toka nipigwe more than 12 million na ilikuwaa Mali ya kampuni nikalipa hiyoo pesa hapa nimefukuzwaa kazi natanga na njia
Usimdhalau MTU alie pigwaa me mwenyewe nilikuwaga nasema siwezi ibiwaa pesa kipumbafuu ila yalipo nikuta na mhindii hakunielewaa hao tcra labdaa uwe mtuu wa maana ila sisi tulio kuja kutafuta maishaa Mjini hamnaa ramani weee utajuta kuwajua hao maataasisi ya serikali
Pole sana mkuuu ila 75 elfu small amount kaka Mimi ninamzigo wa 12 milioni nakuwekwaa ndanii juuu na kulipa na kufukuzwaa kazii
 
Anafanya biashara za online zionekane utapeli, pole kwa ilo janga ila uyu mfanyie kwel atie adabu
 
Toka nipigwe more than 12 million na ilikuwaa Mali ya kampuni nikalipa hiyoo pesa hapa nimefukuzwaa kazi natanga na njia
Usimdhalau MTU alie pigwaa me mwenyewe nilikuwaga nasema siwezi ibiwaa pesa kipumbafuu ila yalipo nikuta na mhindii hakunielewaa hao tcra labdaa uwe mtuu wa maana ila sisi tulio kuja kutafuta maishaa Mjini hamnaa ramani weee utajuta kuwajua hao maataasisi ya serikali
Pole sana mkuuu ila 75 elfu small amount kaka Mimi ninamzigo wa 12 milioni nakuwekwaa ndanii juuu na kulipa na kufukuzwaa kazii

Pole sana mkubwa, duuuuuu
 
Mutual friends on Facebook are friends the user has in common with someone else. This concept is also familiar to most people in offline life; a mutual friend is someone a person and another person are both friends with, whether these two people are familiar with each other or not.
 
The definition of mutual is something that goes both ways, such as when two people feel the same way about each other or when two people like the same person. An example of mutual is when Ann likes Joe and Joe likes Ann. An example of mutual is when Ann is friends with Tim and Bill is friends with Tim.
 
View attachment 437042 View attachment 437041 View attachment 437039 View attachment 437037 View attachment 437036 View attachment 437033 View attachment 437032 View attachment 437030 View attachment 437026 View attachment 437025 View attachment 437044 Taadhali kwa anayenunua vitu kwa huyu dada Monica Michael anapatikana hasa kwanye facebook kwa jina la Monica Michael, instagram na whatsapp, huyu dada ni tapeli na mwizi, husijaribu kufanya nae biashara ya aina yoyote ile, yeye anauza viatu, saa, jezi za timu mbali mbali za ulaya , anatumua namba zifuatazo 0768686446, kwa Tigo anatumia namba 0656494270 na kwa whatsapp anatumia namba +254 727371790.

Huu ujumbe usambaze kwa watu mbalimbali wawe makini na huyu dada, ujumbe na picha zake zisambazeni katika magroup mbalimbali na alipotiwe TCRA Tanzania

Naweka msg ya malipo aliyolipwa bila kutuma viatu alivyoagizwa mpaka sasa

"3KA8B77X32 Imethibitishwa. Tsh75,000.00 imetumwa kwa TIGO PESA kwenye akaunti namba 0656494270 tarehe 10/11/16 saa 2:36 PM. salio lako la M-Pesa ni Tsh"

Naambatanisha na picha zake pamoja na bidhaa anazouza kwenye mtandao huu,

Pia naweka mawasiliano aliyokuwa akiyafanya hapo chini akidai keshatuma mzigo wakati si kweli, Tcra Tanzania na Tanzania Tcra kwa kutumia hizo namba za huyu Monica michael atafutwe kabla hajatapeli watu wengi zaidi

Invisible naomba kama mtataka ushaidi nauweka kwa huyu tapeli pia huu ujumbe na namba zake mnisaidie kuzipeleka TCRA kwa atua zaidi kwa huyu mtu, nami nipo tayari kutoa msaada utakao itajika
 
Imebidi tu ninunue na Tumi suitcase kwa ajili ya zawadi zako!

Likishajaa nalipiga kufuli na kinachobaki ni kusubiri safari tu.

228060HNT_main_T
Asante sana kaka yangu nachojua perfume 3 na hizo air max.Niendelee kuagiza?[emoji85]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom