ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,095
- 2,294
Mkuu kwa kweli mimi sijawahi kununua kitu cha online hata siku moja africa ila kwa ulaya america na Asia huko nimenunua sana
jumia hawatakagi ujinga. mimi nilishanunua simu mara kadhaa kutoka jumia. Tatizo la jumia siku hizi ni kwamba wamekuwa kitu kimoja na Kaymu ambapo kaymu huwa wanauza vitu used na vipya, na vitu Original na Replica so kuhusu uaminifu upo sana ila ubora wa bidhaa ndio utata.