Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,550
- 2,200
- Thread starter
- #401
Mh mhNaongeza jadore perfume na kuna lotion moja my wii anaijua nilimwambia yeye
Mh mhNaongeza jadore perfume na kuna lotion moja my wii anaijua nilimwambia yeye
TCRA hawana huo muda. Wanatunga sheria sasa za kuzima JF. Niliisha toa uzi unaozungumzia hawa matapeli wa mitandaoni hasa Kupatana.com
Mbona unaguna?Mh mh
Sio wote wazinguaji wengine wako serious na biashara yao,, cha msingi kabla ya kufanya biashara na mtu online mchunguze kwanza tumia muda mwingi kumfatilia kma yupo na duka linaloweza kufikika kma n IG akiwa anapost bidhaa zake jaribu pitia hata comment za watu kuona kma wanalalamika kuhus yy.Kitu kigumu kwenye kichwa changu ni kufanya biashara mitandaoni yaani huwa sithubutu kabisa! Pole sana mkuu muhimu tuwe makini[emoji33]
aisee kweli ateme mate chini..kuna mama mmoja ni rafiki yangu alishawai kuniambia kuwa hawezi kutapeliwa labda kama mtu anamshikia bunduki, nikamwambia mama usiseme hivyo kuna kuingia kwenye 18...haikupita week alipigwa kama m7 hana hamu.Hujui uliongealo, watu wanatapeliwa nyumba! Tema mate chini hayajakukuta wewe! Haya mambo hayamkuti mbuzi yanamkuta mtu kama wewe
TCRA hawana huo muda. Wanatunga sheria sasa za kuzima JF. Niliisha toa uzi unaozungumzia hawa matapeli wa mitandaoni hasa Kupatana.com
Sio wote wazinguaji wengine wako serious na biashara yao,, cha msingi kabla ya kufanya biashara na mtu online mchunguze kwanza tumia muda mwingi kumfatilia kma yupo na duka linaloweza kufikika kma n IG akiwa anapost bidhaa zake jaribu pitia hata comment za watu kuona kma wanalalamika kuhus yy.
Huna uhakika gani kuwa ni mwanamke?
Wasiwasi ndio akili Mkuu. Huyo itakuwa aliingia kwa gia ya kumtongoza, akaambiwa atume nauli, akatuma. Baada ya kuona hakuja, ndio kaja kumchora JF.Ata Mimi niliona tangazo la bidhaa za NGUO na VIATU vya wanaume. Nikasema ngoja nimtest kma ni tapeli au laah.ukimpigia simu hapokei yy Anataka mchart kwa msg tu,nikimuuliza DUKA liko wapi nije nikague mzigo anapiga chenga Anataka nimtumie ela ndipo atume mzigo nikajua huu utapeli nikatemana nae