Huyu dada ajengewe sanamu lake

Huyu dada ajengewe sanamu lake

Na mimi nikasema tunakumbatia Patriachy lakini Patriachy ina gharama kubwa sana kwa mwanaume. In a bigger picture. Kwanini ninyi mnadhani maumivu ambayo jamii haitaki kuyaona chanzo chake kilikuwa nini, take trouble kutuelewesha….

Wala sikuwa mbali na Zama.
Uko sawa kabisa mkuu, siyo kama nimepinga hoja yako.

Jamii imetengeneza script ya uanaume ambayo inakataza udhaifu, mwanaume anapopata maumivu, anajifunza kuya-internalize ili aonekane strong.

Hili ndilo linasababisha mental health crisis, Zamaradi aligusia symptom lakini wewe umeingia ndani kwenye root cause.
 
Hapo ndo mngenielewesha...

Kumbe mfumo unakisiwa upo ila sasa haimfaidishi mwanaume

Na mwanaume bado a nafikiri kuna patriarchy? Si ni ujinga wa hali ha juu kubelieve kitu kama hicho?

Na wanaume wengi walio weak and toxic wanakaa kwenye hiyo belief. Hatuko tena kwenye patriarchy ingawali sisi waafrika tumechelewa kidogo

Issue sio kwamba mfumo hauja futika? Issue ni kuukumbatia mfumo ambao basically haupo. Nani atatuamsha sisi wanaume,?
Ni kweli, tatizo siyo tu kama patriarchy ipo au haipo, tatizo ni cultural inertia, wanaume wengi bado wanaishi kwenye user manual ya kale ambayo haifanyi kazi kwenye uchumi wa sasa.

Bado kuna kundi kubwa la wanaume wanaoamini kuwa ana authority ya kifalme wakati hata hela ya kodi wanapata kwa tabu, wanaishia kwenye delusion.

Wakutuamsha ni sisi wenyewe kuanza ku-redefine uanaume nje ya provider/protector myth na kuingia kwenye competence & emotional intelligence era.
 
Unajua hicho unacho kisema ni kama ndoto ya mchana ujue?

Kwamba patriarchy I redifiniwe sio?
. OK how should it be so as to sustain both

Yaani ni kama unamaono hivi ila yapaswa yawekwe kwenye logic inayo eleweka
 
Ili mfumo uwe sustainable kwa wote, tunahitaji kuhamia kwenye partnership model.

Wanaume tunapaswa kuacha kutafuta utawala na tuanze kutafuta influence kupitia uwezo wetu, ukiwa competent, huna haja ya kutumia patriarchy ili uheshimike ,utajijengea heshima mwenyewe.

Ndoto ya mchana ni kuendelea kuamini tutafika mbali kwa kutumia mbinu zilizopitwa na wakati.
 
Naunga mkono hoja.

Ndoto za mchana ni kudhani kuwa tutakumbatia mifumo kandamizi na kusiwe na migogoro.

Kwa kawaida, binadamu katika ubinadamu wake hauwezi mkandamiza kwa muda mrefu asi- retaliate.

Wanawake wamegomea patriarchy, wanaume wamegomea toxic feminism.

Nilisema watuunge mkono wazee wa usawa, ambao wewe umeita partnership!
 
Sahihi kabisa, wengi bado wanang'ang'ania migogoro ya miaka ya 90 ili hali dunia imesha-evolve.

Uanaume wa sasa unahitaji emotional Intelligence zaidi kuliko force na uanamke wa sasa unahitaji collaboration zaidi kuliko defiance.

Itapendeza sana kama hili litatambulika na wengi.
 
Mkuu you're one of them kabisa, kumbe ulijifanya kuwa Simba in sheep's clothing?

Hivi unajua biologically and evolutionary ni ngumu mwanaume kuwa sawa na mwanamke both physically and psychological?

Kwenye hii dynamic lazima mwanamke awe submissive physically and psychological?

Mwanamke mwenyewe aliye kamili hawezi kuishi na mtu sawa nae kuanzia kimwonekano, kipesa na kielimu

Hilo jambo ulokuja nalo hapa ndo programing wanao nyweshwa wanaume dhaifu,

Kumbe nilikuwa na jibizana na mtu wao the whole time? Man up dude
 
Ndo maana unekubali because bado mnataka kuuukwepa ukweli hapo juu👆👆
 
Naunga mkono hoja.

Ndoto za mchana ni kudhani kuwa tutakumbatia mifumo kandamizi na kusiwe na migogoro.

Kwa kawaida, binadamu katika ubinadamu wake hauwezi mkandamiza kwa muda mrefu asi- retaliate.

Wanawake wamegomea patriarchy, wanaume wamegomea toxic feminism.

Nilisema watuunge mkono wazee wa usawa, ambao wewe umeita partnership!
Hiyo sio partnership hiyo ni demolishing of masculinity, Alafu ndo silaha pekee wanao itumia feminists kumfanya mwanaume ajihisi yu sawa na mwanamke kuanzia psychologically mpk physically
 
Mkuu you're one of them kabisa, kumbe ulijifanya kuwa Simba in sheep's clothing?

Hivi unajua biologically and evolutionary ni ngumu mwanaume kuwa sawa na mwanamke both physically and psychological?

Kwenye hii dynamic lazima mwanamke awe submissive physically and psychological?

Mwanamke mwenyewe aliye kamili hawezi kuishi na mtu sawa nae kuanzia kimwonekano, kipesa na kielimu

Hilo jambo ulokuja nalo hapa ndo programing wanao nyweshwa wanaume dhaifu,

Kumbe nilikuwa na jibizana na mtu wao the whole time? Man up dude
Tatizo lako unachanganya dominance na leadership, sijui hauelewi wapi?

Elewa hivi , uongozi siyo kumfanya mtu/watu wawe chini yako, bali ni kuwavuta watu wako wawe bora chini ya uongozi wako sijui utanielewa hapa.

Mwanamke mwenye high value hawezi kuwa submissive kwa mtu asiyekuwa na vision, na mwanaume mwenye high value hahitaji mwanamke aishi kwa kumnyenyekea yeye ili ajisikie yeye ni mwanaume.

Unachokiita programming mimi nakiita evolution, Dunia inabadilika na wanaume wa aina yako mnao baki kung'ang'ania mfumo wa kunyenyekeana hovyo hovyo mtajikuta mko peke yenu.

Real masculinity is having the confidence to build with a partner ,sijui kama unasoma kunielewa.
 
Alichokiongea kinapaswa kuzungumziwa sana, kuna usemi unasema Patriachy sio tu imewafelisha wanawake bali pia imewafelisha wanaume.

Wanaume mnaikumbatia patriarchy lakini in a bigger picture sijui kama mnafahamu mnachokikumbatia, Matarajio ya jamii juu ya uanaume wa kweli umekuja na gharama kubwa sana.
Conditioning’s na construct zilizowekwa na patriarchy zinaharamisha mtoto wa kiume kuonesha emotions au kusema nimeshindwa au kusema nahitaji msaada, hence mtoto huyu wa kiume anakua na kuwa mwanaume kamili ambaye kuonesha hisia za udhaifu ni mwiko. Impact yake ni kuwa msongo wa mawazo na suicidal rate iko juu kwa wanaume kuliko wanawake. (japo hili pia lina sababu zingine)

Anyways kama mfumo huo unafaida zaidi kwenu then yes, kama sio basi hamna budi kutuunga mkono wazee wa usawa 😅
Labda jamii itaamka na kuanza kuangazia matatizo yanayoikabili jamii yenu ya kiume.

However, Zamaradi naye anahubiri maji wakati anakunywa beer, mtu anayetambua mapambano ya mtoto wa kiume na ugumu wake aliwezaje kumzulumu yule dogo haki zake, dogo alivyofight back na kumuexpose wakaanza kumtishia maisha yeye na mumewe. Unafiki ni tabia ya wajukuu wote wa Nyerere if you know what i mean.
Patriarchy ni tofauti na ilivyo sasa. Patriarchy ilimpa fursa zote mwanaune hivyo ikamtaka awe main character. Kwa sasa fursa zimegawanywa na kwa wanawake pia lakini bado mwanaume hajaondolewa huo mzigo wa kuwa main character. Feminist mnataka usawa wa kijinsia kwenye vipengere vinavyowanufaisha, lakini usawa huo huo mnaukataa pale unapowataka muwajibike
 
Hiyo sio partnership hiyo ni demolishing of masculinity, Alafu ndo silaha pekee wanao itumia feminists kumfanya mwanaume ajihisi yu sawa na mwanamke kuanzia psychologically mpk physically
Kuogopa usawa ni ishara ya uanaume dhaifu unaohitaji support system ya unyonge wa mwanamke ili usimame.

Njoo na pointi nyingine ya msingi kwa sababu uanaume wa kweli hauwezi kubomolewa na usawa.
 
Tatizo lako unachanganya dominance na leadership, sijui hauelewi wapi?

Elewa hivi , uongozi siyo kumfanya mtu/watu wawe chini yako, bali ni kuwavuta watu wako wawe bora chini ya uongozi wako sijui utanielewa hapa.

Mwanamke mwenye high value hawezi kuwa submissive kwa mtu asiyekuwa na vision, na mwanaume mwenye high value hahitaji mwanamke aishi kwa kumnyenyekea yeye ili ajisikie yeye ni mwanaume.

Unachokiita programming mimi nakita evolution, Dunia inabadilika na wanaume wa aina yako mnao baki kung'ang'ania mfumo wa kunyenyekeana hovyo hovyo mtajikuta mko peke yenu.

Real masculinity is having the confidence to build with a partner ,sijui kama unasoma kunielewa.
Hii kitu unayo ongea hapa ipo kwenye makaratasi na sio reality..

Mkuu hata psychological traits huwa haziwi trigeered na mind games, lazima kuwe na dominance in some sorts... So nakuona unavyo jaribu kunipinga chenga!

Without dominance there's no leadership, mtu asiye na dominating personality sio Kiongozi tusidanganyane...

So at the end of the day, tuna rudi pale pale tuu...

Najua hii michezo hii, najua sana
 
Kuogopa usawa ni ishara ya uanaume dhaifu unaohitaji support system ya unyonge wa mwanamke ili usimame.

Njoo na pointi nyingine ya msingi kwa sababu uanaume wa kweli hauwezi kubomolewa na usawa.
Bado huja explain the deeper aspect of it unakimbilia psychological evidence ambayo pia ni programming
 
Hii kitu unayo ongea hapa ipo kwenye makaratasi na sio reality..

Mkuu hata psychological traits huwa haziwi trigeered na mind games, lazima kuwe na dominance in some sorts... So nakuona unavyo jaribu kunipinga chenga!

Without dominance there's no leadership, mtu asiye na dominating personality sio Kiongozi tusidanganyane...

So at the end of the day, tuna rudi pale pale tuu...

Najua hii michezo hii, najua sana
Bado unachanganya force na power, force ndio hiyo ya kumlazimisha mtu awe submissive ili uonekane uko juu na ndiyo dalili ya mtu ambaye hana internal authority yoyote.

Power ambayo ndiyo true dominance ni ile ambayo haihitaji mind games wala kumkandamiza mwenza wako ili uonekane ndo kiongozi.

Competent man huwa anatawala mazingira yake, anatawala uchumi wake, na anatawala maamuzi yake kwa kushirikiana na mwanamke imara.

Mwanamke imara akikuchagua wewe kama kiongozi wake, hiyo ndiyo heshima kubwa zaidi kuliko kubwa na yule anayelazimishwa na mfumo kuwa submissive.
 
Patriarchy ni tofauti na ilivyo sasa. Patriarchy ilimpa fursa zote mwanaune hivyo ikamtaka awe main character. Kwa sasa fursa zimegawanywa na kwa wanawake pia lakini bado mwanaume hajaondolewa huo mzigo wa kuwa main character. Feminist mnataka usawa wa kijinsia kwenye vipengere vinavyowanufaisha, lakini usawa huo huo mnaukataa pale unapowataka muwajibike
Ans that's the issue mkuu wanakimbilia psychology huku maisha ya nahitaji physical action
 
Bado huja explain the deeper aspect of it unakimbilia psychological evidence ambayo pia ni programming
Unafikiri ni mwanaume yupi ana survival rate ya juu zaidi kati ya yule anayeishi na mwanamke ambaye atam-sabotage akiwa down au yule anayeishi na mwanamke imara ambaye anakuwa support system yake wakati akiwa na hali tete?
 
Sahihi kabisa, wengi bado wanang'ang'ania migogoro ya miaka ya 90 ili hali dunia imesha-evolve.

Uanaume wa sasa unahitaji emotional Intelligence zaidi kuliko force na uanamke wa sasa unahitaji collaboration zaidi kuliko defiance.

Itapendeza sana kama hili litatambulika na wengi.
Mkuu uko sawa ila una miss kitu kidogo Unaposema mwanaume anatakiwa a step down jukumu lake mama la ku dominate. Hata nature yenyewe inakupinga
 
Bado unachanganya force na power, force ndio hiyo ya kumlazimisha mtu awe submissive ili uonekane uko juu na ndiyo dalili ya mtu ambaye hana internal authority yoyote.

Power ambayo ndiyo true dominance ni ile ambayo haihitaji mind games wala kumkandamiza mwenza wako ili uonekane ndo kiongozi.

Competent man huwa anatawala mazingira yake, anatawala uchumi wake, na anatawala maamuzi yake kwa kushirikiana na mwanamke imara.

Mwanamke imara akikuchagua wewe kama kiongozi wake, hiyo ndiyo heshima kubwa zaidi kuliko kubwa na yule anayelazimishwa na mfumo kuwa submissive.
Najaribu kufikiria hii concept nakosa jibu,
Maana inalenga usawa, ila in real life ni kuwa Fanya men wawe complacent kwenye mfumo usio imara...

Yaani hata kibaolojia hai make any sense.

Mwanamke imara ni yule mwenye nurturing qualities... Je ndo hawa wanaotaka na sisi Twende tu katafte ugali, na wao waende alaf yangu ije igawanwe pasu huku yake ikenda mfukoni?

We should start with things like that first uone kama hao wanawake imara watakubali
 
Mkuu uko sawa ila una miss kitu kidogo Unaposema mwanaume anatakiwa a step down jukumu lake mama la ku dominate. Hata nature yenyewe inakupinga
Mkuu, umenielewa vibaya, sijasema mwanaume a-step down au aache ku-dominate.

Angalia hili kwa jicho la kiufundi
Kuna dominance of force (kutumia mabavu na ukandamizaji) na kuna dominance of competence (kutumia uwezo na hekima).

Nature haijawahi kusema mwanaume awe dhalimu isipokuwa nature inasema mwanaume awe the navigator, na navigator hawezi ku-navigate meli peke yake wakati wa dhoruba pasipo kuhitaji crew imara.

Mwanamke mwenye akili na imara hawezi kuwa tishio kwa uongozi wako isipokuwa yeye ndiye atakuwa asset inayofanya uongozi wako uonekane imara zaidi.

Ukijaribu ku-dominate kila kitu kwa nguvu utaishia kuchoka, utazeeka haraka, na utatengeneza chuki hata ndani ya nyumba yako lakini ukiwa na dominance of vision unawafanya watu pamoja na mwanamke wako wakuunge mkono kwa hiari yao.

Hii ndiyo dominance bora zaidi ninayo izungumzia.
 
Back
Top Bottom