Huyu dada ajengewe sanamu lake

Huyu dada ajengewe sanamu lake

Mkuu Rais anaheshimika kwa sababu ya institutional power kwa maana ya katiba na sheria, hiyo ni positional authority.

Uongozi wa familia haujengwi na katiba' au sheria ya mabavu isipokuwa unajengwa na relational authority.

Labda niseme hivi uongozi wa familia unahitaji dominance ya kifikra na kimkakati ukijaribu kuiongoza familia kama unavyoongoza nchi utaishia kupata mutiny tu.
Nguvu ya kikatiba unafikiri asili yake nini. Yaani wale wale waliobuni mfumo wa kumpa Rais madalaka hayo walifikiria nini? Bila shaka msingi wa fikira zao ulikua huo kwamba kiongozi lazima awe na nguvu zaidi ya anaowaongoza. Unafikiri kwanini wakina mama wengi mtoto akikosea wanamwambia "subiri baba aje" na ni kweli mtoto anaingiwa na uoga. Kilichotokea tu ni kwamba mamlaka ya mwanaume kwenye familia yapo kiasili na mamlaka ya Rais yapo documented. Kwaiyo ukweki mkuu unarudi pale pale kiongozi lazima awe dominant figure
 
Nikisema hatujafika peak ya feminist ni pamoja na kutokuelewa suala la usawa wa fursa vs ubaguzi. Ni pamoja na kutokuelewa kuwa fursa zikiwa 20 na wakazipata wanaume tu sababu ya competence na wanawake tukakosa kwasababu ya incompetence si ubaguzi. Kwahivyo kama unaelewa ni kwamba hatujaweza bado kufikia kilele cha feminist, na jamii ambayo haijaelewa feminist to the core ni jamii ambayo haijafika hapo ni jamii ambayo inatawaliwa na Patriachy, au ina chembechembe hizo.

Hata wewe kuminimize feminist vs patriarchy katika aspect moja tu ya fursa ni proof kuwa bado hizi concept mbili hatujazielewa, leave alone kuzipractice by 100 au walau 90.
Feminism inayopiganiwa ni namba kulingana kijinsia. Haijaingia sana kwenye competence. Hata uko ulaya hali ni hiyo hiyo. Kuna feminist mmoja aliibua hoja wanamichezo wa kike wawe wanalipwa mishahara kulingana na wanamichezo wa kiume. Huyu hoja yake imebase zaidi kwenye ulingano wa namba kuliko uhalisia kwamba michezo kwa upande wa kiume ina mapato makubwa zaidi ukikinganisha na upande wa kike. Leo hii uilete timu nzima ya wanawake ya real madrid hapa bongo icheze pale kea mkapa mapato yake hayawezi kufikia ukubwa wa kumleta Mbappe tu pekee ake acheze pale kwa Mkapa.

Mfano wa fursa nilioutumia ni mmoja kati ya mifamo mingi. Siwezi kuandika kitu na kuweka mifano 10. Kwenye hesabu tunatumia X na Y, je herufu ndio zipo hizo mbili tu? Tukitumia M na N hatutapata jibu?
 
Nguvu ya kikatiba unafikiri asili yake nini. Yaani wale wale waliobuni mfumo wa kumpa Rais madalaka hayo walifikiria nini? Bila shaka msingi wa fikira zao ulikua huo kwamba kiongozi lazima awe na nguvu zaidi ya anaowaongoza. Unafikiri kwanini wakina mama wengi mtoto akikosea wanamwambia "subiri baba aje" na ni kweli mtoto anaingiwa na uoga. Kilichotokea tu ni kwamba mamlaka ya mwanaume kwenye familia yapo kiasili na mamlaka ya Rais yapo documented. Kwaiyo ukweki mkuu unarudi pale pale kiongozi lazima awe dominant figure
Nikuulize hivi, kati ya Rais dictator na Rais anayeongoza taifa kwa hekima, maono, na uwezo mkubwa (visionary), yupi ana dominance imara zaidi?

Kwenye familia au mahusiano ya kawaida dominance imara ya mwanaume huwa haitokani na kumfanya mwanamke awe submissive kama mtoto, isipokuwa kwa kwa kumfanya mwanamke awe aligned na maono yako.

Mwanamke kama partner wako anahitaji kuelewa maono yako kama kiongozi ili aungane na wewe.

Mwanaume lazima uwe na nguvu lakini hiyo nguvu iwe competence ili mkeo/mpenzi wako aone fahari kukufuata, siyo kukuogopa kama mtoto anavyomuogopa baba!
 
Nikuulize hivi, kati ya Rais dictator na Rais anayeongoza taifa kwa hekima, maono, na uwezo mkubwa (visionary), yupi ana dominance imara zaidi?
Kwani Rais asipokua dikteta automatically anakua na maono, na akiwa dikteta automatically anakua rubbish? Mfano Gaddafi kwa mtazamo wa wengi walikua wanamwona dikteta. Je hakua na maono. Libya ya Gaddafi unaweza kuifananisha na Libya ya sasa?
Kwenye familia au mahusiano ya kawaida dominance imara ya mwanaume huwa haitokani na kumfanya mwanamke awe submissive kama mtoto, isipokuwa kwa kwa kumfanya mwanamke awe aligned na maono yako.

Mwanamke kama partner wako anahitaji kuelewa maono yako kama kiongozi ili aungane na wewe.

Mwanaume lazima uwe na nguvu lakini hiyo nguvu iwe competence ili mkeo/mpenzi wako aone fahari kukufuata, siyo kukuogopa kama mtoto anavyomuogopa baba!
Sioelewi kwanini watu mnauambatanisha mfumo dume na unyanyasaji, yaani ukisema tu mfumo dume moja kwa moja mtu anavuta picha kwamba ni aina ya maisha ambayo mwanaume anamwendesha na kumnyanyasa mkewe. Hata kwenye zama za patriarchy mbona wanaume wakikua wanafanya mengi tu mazuri. Mfano kumuhudumia mkeo, hivi unafikiri kumuhudumii kwenye maisha yake yote ni jambo dogo. Mpe hilo jukumu mwanamke uone ndani ya mwezi mmoja tu kama hajatema bungo. Infact, hata hao wanawake wenyewe wanajisogeza sehemu ambayo tayari wanaona kuna direction. Hakuna mwanamke atakuja kwako ukiwa hauna mbele wala nyuma
 
Unafikiri ni mwanaume yupi ana survival rate ya juu zaidi kati ya yule anayeishi na mwanamke ambaye atam-sabotage akiwa down au yule anayeishi na mwanamke imara ambaye anakuwa support system yake wakati akiwa na hali tete?
Sasa huyo wa kuwa support system si ndo anapaswa kuwa more feminine?
Na inatakiwa kuwa yule submissive sio in a wrong way, but kuwa faraja na kujua mpaka yake as a woman with wisdom and integrity
 
Sasa huyo wa kuwa support system si ndo anapaswa kuwa more feminine?
Na inatakiwa kuwa yule submissive sio in a wrong way, but kuwa faraja na kujua mpaka yake as a woman with wisdom and integrity
Mkuu ungenijibu kwa kusema tu ni wa kwanza au wa pili, ningekuelewa zaidi.

Maana haya maelezo uliyo toa yataturudisha nyuma zaidi kuanza kuongelea tuliyo kwisha yaongea.
 
Mkuu ungenijibu kwa kusema tu ni kwanza au wa pili, ningekuelewa zaidi.

Maana haya maelezo uliyo toa yataturudisha nyuma zaidi kuanza kuongelea tuliyo kwisha yaongea.
Narudi namjibu kwanza ile post ya binti kiziwi
 
Kwani Rais asipokua dikteta automatically anakua na maono, na akiwa dikteta automatically anakua rubbish? Mfano Gaddafi kwa mtazamo wa wengi walikua wanamwona dikteta. Je hakua na maono. Libya ya Gaddafi unaweza kuifananisha na Libya ya sasa?

Sioelewi kwanini watu mnauambatanisha mfumo dume na unyanyasaji, yaani ukisema tu mfumo dume moja kwa moja mtu anavuta picha kwamba ni aina ya maisha ambayo mwanaume anamwendesha na kumnyanyasa mkewe. Hata kwenye zama za patriarchy mbona wanaume wakikua wanafanya mengi tu mazuri. Mfano kumuhudumia mkeo, hivi unafikiri kumuhudumii kwenye maisha yake yote ni jambo dogo. Mpe hilo jukumu mwanamke uone ndani ya mwezi mmoja tu kama hajatema bungo. Infact, hata hao wanawake wenyewe wanajisogeza sehemu ambayo tayari wanaona kuna direction. Hakuna mwanamke atakuja kwako ukiwa hauna mbele wala nyuma
Hoja yangu siyo kupinga patriarchy sijui kwa nini sieleweki hapa, mimi nazungumzia modernized competence.

Tuwe na uanaume ambao unahifadhi hiyo provision and protection kama ulivyosema kuhusu Gaddafi na Libya lakini unaondoa fragility ya kumuogopa mwanamke anayetaka usawa.

Wanaume tunapaswa kuwa visionary bila kuwepo dictatorship, na mwanamke anayekufuata kwa sababu unajua direction yako, huyo ndiye asset na ndiye mtu ambaye hatashindwa kuweka mchango wake mezani akiona unapambana!
 
Tupe definition ya partnership kama umeikataa hii.
Bado hatuja elewana mpaka sasa

Nature huwa inamajibu yoote na binadamu mwenye elimu psychology anajiona kawa mjuzi kumbe ni Pungu asiye na ego limit! (sijasema mtu hapa)

Hivi niwaulize Swali moja dogo... How did our grandparents live? How did they know how to act? How did they manage kutulea tena unakuta familia inawatoto hata kumi na huwezi sikia komwe la mtu linatoa sauti?

It's because of the simple thing, kila mtu alikua position yake, wanawake hawaku wa diminish walipo kosea bali walikalisha chini kwa kujua he is my leader, he leada, he provides, na mimi kazi yangu ni nurture, kuhakikisha nampa environment nzuri ya yeye kufanya hivyo.. Hiyo ilikua partnership japo kuwa hata wazee wetu hawaku jua hizi terms...

Leo mwanamke kapewa uhuru, kapata kazi, kapata ujuzi... Na yeye anajiona provider, tukasema sawa, haya Fanya na wewe kuchangia kwenye kile tulicho kubali uwe basi ndo wanaanza kulia lia Wtf,?

Mzizi wa fitna uko very clear and clean haihitaji mtu kusoma psychology wala nini..

Jamii ili i balance inahitaji mtawala na mtawaliwa, lakini kutumia mabavu sio practical na hakina afya na ndio matokeo yake huu mvutano.

Ili utawale jamii ya kisasa kama tuliyonayo sasa lazima uwe na nguvu ya ushawishi sio mabavu
Unajua mnachekesha sana, yaani mmepewa uhuru kila kitu na bado likija swala la nyie kuprovide mnasema mfumo dume, mabavu, na kutaka kuwa diminish..

Hiki kiumbe haijawahi kuwa sawa, ndo maana mabandiko yanasema mwanaume tumia akili na si psycholojia kuishi nacho
 
Tuseme tatizo siyo partnership yenyewe bali ni selection criteria, wanaume walio wengi pia huwa wanachagua wanawake kwa surface qualities halafu wanasahau ku-test character ya mwanamke kwenye mambo ya pesa na wajibu kabla ya kufunga ndoa au kuanzisha mahusiano.

Ukimchagua narcissist ambaye anaamini yeye ni malkia bila shaka atakuona unamuonea pale utakapomwambia sijui mambo ya kuchangia ada.
Naona mkuu umesha Anza kuona picha kamili tunayo imaanisha hapa

Ila inapaswa kujua mzizi wa fitina

Sio sisi, ni wao....

I nahitaji mwanaume mwenye strong mind kujua, parasite, kujua narcissist, na hao narcissist tunao waongelea ndo hawa waliomezeshwa psychological indoctrination

Na wanawatumia wanaume weak kuwa manipulate kwamba wanwakandamiza just to use them..
 
Mkuu ukisoma post yake hapo #166 , kuna sehemu amegusia suala la ushirikishwaji ambalo mimi ndio ninalo lizingumzia, labda tuwe tunatofautiana maana.

Usawa unapaswa kuwa wa pande zote mbili (haki na wajibu).
Huyo namjua sana anakuja na psychological game usipo kuwa makini anakuingiza mkenge
 
Hoja yangu siyo kupinga patriarchy sijui kwa nini sieleweki hapa, mimi nazungumzia modernized competence.

Tuwe na uanaume ambao unahifadhi hiyo provision and protection kama ulivyosema kuhusu Gaddafi na Libya lakini unaondoa fragility ya kumuogopa mwanamke anayetaka usawa.

Wanaume tunapaswa kuwa visionary bila kuwepo dictatorship, na mwanamke anayekufuata kwa sababu unajua direction yako, huyo ndiye asset na ndiye mtu ambaye hatashindwa kuweka mchango wake mezani akiona unapambana!
Hakuna mwanaume anaemuogopa mwanamke anaetaka usawa(kama wapo wanaume hao basi miminsio mmoja wao). Kiujumla ninachotaka kuongelea ni namna ambavyo concept ya kumtaka mwanaume awe main character haipo relevant kwenye ulimwengu wa usawa wa kijinsia. Maelezo yako naona ni kama unapita kwenye imaginary world au tuseme fantasy ya feminists. Tuseme ukweli, familia na jamii kwa ujumla haiwezi kuwa na ustawi mzuri tukimpa mwanamke nguvu sawa au zaidi ya mwanaume katika kufanya maamuzi. Jamii na historia tayari tumeshaona kwamba mwanamke hana hekima, busara na maarifa pale anapokua na nguvu/uhuru wa kufanya/kujifanyia maamuzi.

If a man should lead, a woman should be willing to follow. Je feminism inawaambia hivyo wanawake? Jibu ni hapana. Tumefika wakati ambao mwanaume anahitajika ku-realese ile dominant figure(wewe umehiita ni ukandamizaji) yake kama kiongozi ili mambo yaende yarudi kwenye mstari. Maana imeshaonekana demokrasia(usawa wa kijinsia) imetufelisha
 
Kuna mzee mmoja alianzisha Chama cha Wanaume wanaopigwa, sijui sasa hivi ana wanachama wangapi
 
Mfume dume tayari umeshatokomezwa kwenye jamii nyingi zaidi Afrika. Kinachotokea kwa sasa ni wanaume kuwa-outperfom wanawake. Ndio maana tunaona wanawake mnataka upendeleo kwa kigezo cha usawa wa kijinsia mfano hizi harakati zenu za mwanamke akiwezeshwa anaweza. Ushapewa fursa sawa na mwanaume kwanini unataka upendeleo wa kiwezeshwa?

Kwenye harakati zenu za kutaka usawa kuna sehemu mnapotoka kidogo. Mnatafsiri usawa kama ulingano idadi ya wanaume na wanawake kwenye kila kitu. Kitu ambacho hampo sahihi. Usawa maana yake vigezo viwekwe wazi na kila mtu apate nafasi kulingana na uwezo wake.

Mfano kuna wanawake 50 na wanaume 50, na nafasi za kazi zipo 50. Nyie mmekalili usawa wa kijisnia ni lazima wanaume wawe 25 na wanawake 25.kitu ambacho sio sahihi. Usawa hapo ni kuweka vigezo vinavyohitajika na nafasi zitolewe bila kujali jinsia ya mtu. Kwa sababu wanaume wanawa-outperfom wanawake kwenye almost kila kitu sasa hapo wakipata nafasi wanaume 40 na wanawake 10 ndio mnasema ubaguzi wa kijinsia lakini unakuta hao wanaume wamepata nafasi kwa sababu ni competent zaidi.
Mkuu unajua kuwa piga nyudo kichwani kabisaa hakuna mzaha kwenye hilo

Hii concept ya usawa Tukisema tuifwate asilimia zote hawa viumbe wataumia, they were not biologically and evolutionary designed to be..

Saiz imebaki psychological torture to weak and toxic men.. Ila ukisha ujua mchezo hakuna wa kuleta mawenge
 
Naona mkuu umesha Anza kuona picha kamili tunayo imaanisha hapa

Ila inapaswa kujua mzizi wa fitina

Sio sisi, ni wao....

I nahitaji mwanaume mwenye strong mind kujua, parasite, kujua narcissist, na hao narcissist tunao waongelea ndo hawa waliomezeshwa psychological indoctrination

Na wanawatumia wanaume weak kuwa manipulate kwamba wanwakandamiza just to use them..
Naam, hili nalifahamu vyema Mkuu.
 
Maelezo yako naona ni kama unapita kwenye imaginary world au tuseme fantasy ya feminists. Tuseme ukweli, familia na jamii kwa ujumla haiwezi kuwa na ustawi mzuri tukimpa mwanamke nguvu sawa au zaidi ya mwanaume katika kufanya maamuzi.

Jamii na historia tayari tumeshaona kwamba mwanamke hana hekima, busara na maarifa pale anapokua na nguvu/uhuru wa kufanya/kujifanyia maamuzi.
Mkuu asipo elewa hapa pia basi kwishnei

It's plane clear hata standard 7 ambaye hakupata elimu anaelewa
 
Hakuna mwanaume anaemuogopa mwanamke anaetaka usawa(kama wapo wanaume hao basi miminsio mmoja wao). Kiujumla ninachotaka kuongelea ni namna ambavyo concept ya kumtaka mwanaume awe main character haipo relevant kwenye ulimwengu wa usawa wa kijinsia. Maelezo yako naona ni kama unapita kwenye imaginary world au tuseme fantasy ya feminists. Tuseme ukweli, familia na jamii kwa ujumla haiwezi kuwa na ustawi mzuri tukimpa mwanamke nguvu sawa au zaidi ya mwanaume katika kufanya maamuzi. Jamii na historia tayari tumeshaona kwamba mwanamke hana hekima, busara na maarifa pale anapokua na nguvu/uhuru wa kufanya/kujifanyia maamuzi.

If a man should lead, a woman should be willing to follow. Je feminism inawaambia hivyo wanawake? Jibu ni hapana. Tumefika wakati ambao mwanaume anahitajika ku-realese ile dominant figure(wewe umehiita ni ukandamizaji) yake kama kiongozi ili mambo yaende yarudi kwenye mstari. Maana imeshaonekana demokrasia(usawa wa kijinsia) imetufelisha
Hoja yangu siyo kwamba mwanamke awe main character au awe na nguvu sawa na mwanaume.

Kama mwanamke hana hekima, busara, wala maarifa ya kufanya maamuzi kama unavyosema basi huyo hana sifa za kuwa partner wako, na hapa ndipo re-releasing the dominant figure inapoingia.

Mwanaume mwenye akili hahitaji feminism imruhusu kuwa dominant isipokuwa yeye huwa anachukua hiyo nafasi kwa matendo yake, kwa uwezo wake, na kwa maamuzi yake.
 
Back
Top Bottom