Huyu dada ajengewe sanamu lake

Huyu dada ajengewe sanamu lake

Hoja yangu siyo kwamba mwanamke awe main character au awe na nguvu sawa na mwanaume.

Kama mwanamke hana hekima, busara, wala maarifa ya kufanya maamuzi kama unavyosema basi huyo hana sifa za kuwa partner wako, na hapa ndipo re-releasing the dominant figure inapoingia.

Mwanaume mwenye akili hahitaji feminism imruhusu kuwa dominant isipokuwa yeye huwa anachukua hiyo nafasi kwa matendo yake, kwa uwezo wake, na kwa maamuzi yake.
Mkuu hapo anaongelea majority anaenda kwenye kiini chenyewe kabisa ambacho hata wanawake hawataki kusikia
 
Hata huyo mwenye hekima, busara na maarifa bado dominance ya mwanaume inahitajika ili mahusiano yawe stable. Equal partnership unayoiongelea ni illusion, haiwezi kufanya kazi kwenye mahusiano ya mwanaume na mwanamke kutokana na tofauti zetu kibaolojia na saikolojia. Male dominant haina alternative kama tunataka ustawi mzuri wa jamii.
 
"Tuseme ukweli, familia na jamii kwa ujumla haiwezi kuwa na ustawi mzuri tukimpa mwanamke nguvu sawa au zaidi ya mwanaume katika kufanya maamuzi. Jamii na historia tayari tumeshaona kwamba mwanamke hana hekima, busara na maarifa pale anapokua na nguvu/uhuru wa kufanya/kujifanyia maamuzi."

Unaweza kufananua hapa ame maanisha nini hasa? maana naona inakuwa ngumu sana kukubaliana naye.
 
Ametoa observable evidence ambayo ndo madhara ya kile ambacho mnakipigania..

It's well known wanawake wakipata hicho wanacho Lilia they turn into beasts..

Na kibaya zaid they haunt weak men, wanawamanipulate kwa maamuzi yatakayo mdiminish.. They were not Narudia tena biological and evolutional made for this

Wanatakiwa kuwa na hekima kujua they need a Masculine leader and they're supposed to be feminine nurturer.. Hata kama wakipata fursa wasisahau position yao kwenye hii dynamic
 
Hata huyo mwenye hekima, busara na maarifa bado dominance ya mwanaume inahitajika ili mahusiano yawe stable. Equal partnership unayoiongelea ni illusion, haiwezi kufanya kazi kwenye mahusiano ya mwanaume na mwanamke kutokana na tofauti zetu kibaolojia na saikolojia. Male dominant haina alternative kama tunataka ustawi mzuri wa jamii.
Bado hamuelewi kabisa point yangu,
unaposema equal partnership inafeli, hapa unakuwa unachanganya equal rights na operational efficiency.

Mwanaume dominant siyo yule anayetembea na mwanamke asiye na uwezo (Liability), bali ni yule anayetembea na mwanamke mwenye uwezo ambaye anajua nafasi yake.

Mnaposema hakuna alternative ya male dominance mko sahihi lakini male dominance inafanya kazi vizuri zaidi pale unapoongoza competent people.

Mwanaume anayeongoza kundi la watu wasio na uwezo always huwa anapata shida sana.

Kama bado hamjaona tofauti kati ya usawa na high performance basi bado mnaishi kizamani sana.
 
Basi kumbe umeelewa.
Hayo mambo ya competence huwa yana kuja na individual.. We were looking for the real enemy
 
Ametoa observable evidence ambayo ndo madhara ya kile ambacho mnakipigania..

It's well known wanawake wakipata hicho wanacho Lilia they turn into beasts..

Na kibaya zaid they haunt weak men, wanawamanipulate kwa maamuzi yatakayo mdiminish.. They were not Narudia tena biological and evolutional made for this

Wanatakiwa kuwa na hekima kujua they need a Masculine leader and they're supposed to be feminine nurturer.. Hata kama wakipata fursa wasisahau position yao kwenye hii dynamic
Hiyo ni generalization ambayo me naiona haina mantiki kabisa.

Badala ya kuongelea suala la nguvu kwa mwanamke, mngebase kwenye character, mwanamke mwenye feminine nature hata awe na PhD au awe na pesa kiasi gani, hawezi kupoteza nurturing qualities zake kama ana mwanaume sahihi, hili nina ushuhuda nalo.

Ukimwona mwanamke anageuka kuwa beast baada ya kupata fursa, ujue ulikuwa na mwanamke ambaye nature yake ilikuwa parasitic tangu mwanzo, mwanaume mwenye masculine Leadership huwa haogopi nguvu ya mwanamke.

Ukisema wanawake wote au wengi wakipata fursa huwa wanabadilika unakuwa umekiri kuwa mwanaume/wanaume waliokuwa nao walikuwa hawana nguvu za kutosha ku-maintain ile dynamic!
 
Mkuu you want so bad to fix the unfixed..

Mpasuko uko very clean ila hautaki kuuona. Unakimbilia psychogy, kwamba huyu a kifanya hivi lazila tatizo kitakuwa kwa huyu.

Hapo juu ulielewa somo, ukasema umeelewa na sasa unataka tuanze upya tena? Shida unayo wewe

Hiyo nguvu mwanamke hajapewa? Si tulielewana patriarchy haipo?
. Mkuu naona point zimeisha hakuna la kujadili tena hapa..
 
Wala hakuna haja ya kuanza upya, but kama point za kuendelea kujadili hauna Mkuu tunaweza kuishia tu hapa.
 
Bado hamuelewi kabisa point yangu,
unaposema equal partnership inafeli, hapa unakuwa unachanganya equal rights na operational efficiency.

Mwanaume dominant siyo yule anayetembea na mwanamke asiye na uwezo (Liability), bali ni yule anayetembea na mwanamke mwenye uwezo ambaye anajua nafasi yake.

Mnaposema hakuna alternative ya male dominance mko sahihi lakini male dominance inafanya kazi vizuri zaidi pale unapoongoza competent people.

Mwanaume anayeongoza kundi la watu wasio na uwezo always huwa anapata shida sana.

Kama bado hamjaona tofauti kati ya usawa na high performance basi bado mnaishi kizamani sana.
Wanachotaka wanawake ni hiyo equal rights, sio partnership unayoongelea. Bahati mbaya equal right hiyo hiyo huwa wanaikana inapowataka kuwajibika. Ndio maana nikasema tukipofikia ni lazima mwanaume ku-realease dominant figure yake ili tupate iyo operational efficiency.
 
Wala hakuna haja ya kuanza upya, but kama point za kuendelea kujadili hauna Mkuu tunaweza kuishia tu hapa.
Ndo maana binti kiziwi alisema tuendelee kubishana wenyewe wamekaa pembeni they know kiini ila wanakipinga kwa psychological games.. Alaf ukiwa Leta kwenye uhalisia wanakimbilia kiie kile walicho kuwa wanalilia na wameshapewa
 
mwanamke mwenye feminine nature hata awe na PhD au awe na pesa kiasi gani, hawezi kupoteza nurturing qualities zake kama ana mwanaume sahihi, hili nina ushuhuda nalo.
Ndio maana nikasema unaongea theory sana. Wanawake ambao hawajasoma ndoa zao zinadumu, asilimia kubwa ya madai ya talaka ni ya wanswake waliosoma. Unafikiri hiyo imetokea tu by coincidence? Harafu tuache huu ujinga wa kuhalalisha upuuzi wa mwanamke kwa mkumwangusia jumba bovu mwanaume. Mwanaumke anaweza kufanya maamuzi mabovu bila influence ya mwanaume
 
Wanachotaka wanawake ni hiyo equal rights, sio partnership unayoongelea. Bahati mbaya equal right hiyo hiyo huwa wanaikana inapowataka kuwajibika. Ndio maana nikasema tukipofikia ni lazima mwanaume ku-realease dominant figure yake ili tupate iyo operational efficiency.
Ndiyo maana kuna post yangu moja nikasema, wanaume tunatakiwa kuwa na high standards yani tujue ni wanawake wa aina gani wa kuingia nao kwenye mahusiano.

Mwanamke akitaka haki sawa, awe tayari pia kuwajibika kwa usawa.
 
Ndio maana nikasema unaongea theory sana. Wanawake ambao hawajasoma ndoa zao zinadumu, asilimia kubwa ya madai ya talaka ni ya wanswake waliosoma. Unafikiri hiyo imetokea tu by coincidence? Harafu tuache huu ujinga wa kuhalalisha upuuzi wa mwanamke kwa mkumwangusia jumba bovu mwanaume. Mwanaumke anaweza kufanya maamuzi mabovu bila influence ya mwanaume
Unachosema hapa ni correlation siyo causation, mwanamke yeyote aliyesoma na ana uwezo wa kiuchumi hawezi kuvumilia unyanyasaji au udhalilishaji wa aina yoyote ile anapokuwa kwenye ndoa tofauti na mwanamke ambaye hajasoma, yeye analazimika kuvumilia chochote ili apate kukidhi mahitaji yake ya msingi, na hili kundi la wanawake ndiyo wengi na ndio aina ya wanawake ambao wanaume wengi wanawapenda, mbona liko wazi hili!

Kwa hiyo mimi talaka huwa naiona ni matokeo ya mwanamke kuwa na uwezo wa kutoka nje ya ndoa yenye matatizo.
 
Ndiyo maana kuna post yangu moja nikasema, wanaume tunatakiwa kuwa na high standards yani tujue ni wanawake wa aina gani wa kuingia nao kwenye mahusiano.

Mwanamke akitaka haki sawa, awe tayari pia kuwajibika kwa usawa.
Wanaume hatuna shida na suala la equal right-equal responsibility. Swali ni hawa wenzetu waumini wa "cha mwanaume cha wote, cha mwanamke ni cha mwanamke peke ake". Wapo tayari kwa hilo? Muda tunaoutumia kuwaponda wanaume wanaojaribu ku-expose tulipokosea kwenye hii implementation ya equal right kwa kuwaambia wanalialia, wanatafuta huruma, wanakwepa wajibu n.k tungeutumia kuwaelewesha wanawake kwamba haki sawa wanayoitaka lazima iende na wajibu sawa.

Tutasema ni mwanaume ndie atatakiwa kufanya vetting na kukwepa wanawake wenye mindset hiyo lakini kumbuka hizo mindset za wanawake zinatengenezwa kimfumo, sio individaul. Kwahiyo suluhisho ni kuifanyia review feminism yote kwa ujumla wake
 
Back
Top Bottom