Huyu dada ajengewe sanamu lake

Huyu dada ajengewe sanamu lake

Unachosema hapa ni correlation siyo causation, mwanamke yeyote aliyesoma na ana uwezo wa kiuchumi hawezi kuvumilia unyanyasaji au udhalilishaji wa aina yoyote ile anapokuwa kwenye ndoa tofauti na mwanamke ambaye hajasoma, yeye analazimika kuvumilia chochote ili apate kukidhi mahitaji yake ya msingi, na hili kundi la wanawake ndiyo wengi na ndio aina ya wanawake ambao wanaume wengi wanawapenda, mbona liko wazi hili!

Kwa hiyo mimi talaka huwa naiona ni matokeo ya mwanamke kuwa na uwezo wa kutoka nje ya ndoa yenye matatizo.
Kwamba mwanamke aliesoma akidai talaka moja kwa moja akili yako inakuambia amekimbia manyanyaso? Unapita kwenye tones zilezile za kifeminia. Kumtengenezea mwanaume picha ya kuwa villain kwenye kila situation.

Haujui kuna wanaovunja ndoa zao kwa divorce settlement inawawezesha kupata mgao wa mali? Haujui kuna wanaovunja ndoa zao kwa sababu wamepata mwanaume mwingine wa status ya juu zaidi kwahiyo anamwona mume wake si hadhi yake tena? Hsujui kuna wanaovunja ndoa zao kwa sababu tu ya ego kwamba sasa nimesoma mume sio muhimu kwangu?
 
Kwa hiyo mimi talaka huwa naiona ni matokeo ya mwanamke kuwa na uwezo wa kutoka nje ya ndoa yenye matatizo.
Wanawake wanaongoza zaidi kudai talaka kwa sababu divorce settlement inawanufaisha. Kuna mgao wa mali, divorce alimony na child support
 
Kwamba mwanamke aliesoma akidai talaka moja kwa moja akili yako inakuambia amekimbia manyanyaso? Unapita kwenye tones zilezile za kifeminia. Kumtengenezea mwanaume picha ya kuwa villain kwenye kila situation.

Haujui kuna wanaovunja ndoa zao kwa divorce settlement inawawezesha kupata mgao wa mali? Haujui kuna wanaovunja ndoa zao kwa sababu wamepata mwanaume mwingine wa status ya juu zaidi kwahiyo anamwona mume wake si hadhi yake tena? Hsujui kuna wanaovunja ndoa zao kwa sababu tu ya ego kwamba sasa nimesoma mume sio muhimu kwangu?
Umechukulia serious sana but hiyo sababu nimetoa kama mfano tu.

Ungejibu hoja iliyo fuata baada ya hapo ingependeza zaidi
 
Very sad. Mwanaume anajitoa kwa ajiri ya mke na watoto. Mke anajitoa kwa ajiri ya watoto wake. Watoto wanajitoa kwa ajiri ya mama yao
😢 Alaf mwanaume anasema bado tunawagandamiza how pathetic
 
Hakuna ulazima wa kuwa na familia, usioe kabisa kuyaepuka hayo yote.

Siyo mnaoa halafu mnataka kutafuta huruma.
Mkuu Mbona unawatetea sana hao viumbe?
Na mbona unaoleta egoic vibes kwenye real life scene?
 
Mkuu Mbona unawatetea sana hao viumbe?
Na mbona unaoleta egoic vibes kwenye real life scene?
Umeitafsiri vibaya self assurance, me naongea kile ambacho nime-experience kwenye maisha yangu na ya wengine baadhi, sipo upande wa wanawake kama unavyo fikiria.
 
Kurahisisha hapa , acha kuoa kabisa kuyaepuka yote haya, mbona ni kama mnatafuta huruma?
Mahusiano ya mwanaume na mwanamke ni natural pattern. Hakuna alternative. Unachokisema hapa tutarudi kwenye mabishano mengine ya kati ya mwanaume na mwanamke nani anamuhitaji zaidi mwenzake. Kumbuka tukifika uko kwenye ligi hakuna jinsia itakayoibuka mshindi kiujumla. Victims watakuwepo kila upande. Kwahiyo namna bora zaidi ni kuangalia tunatokaje hapa.

Mimi nina familia(mke na mtoto), na suala la maadili na family structure(yaani baba, mama, mtoto kila mmoja akae kwenye nafasi na wajibu wake) nalizingatia sana. Lakini haimaanishi kwamba sioni kama hii pattern tunayoenda nayo kama jamii inapeleka shimoni ustawi wetu. Hata familia yangu nikiilea kwenye uelekeo mzuri mwisho wa siku watoto watakua na kujitegemea watakutana na ulimwengu uliovulugika. Kwahiyo tukisema haimaanishi tunataka huruma,isipokua tunaonyesha ambapo hatupo sahihi. Personally am fine in almost all aspects of my life, relationship, financial, family e.t.c kwahiyo sitafuti huruma ya yoyote
 
Back
Top Bottom