Huyu aliyebandika mabango ya Imani Upendo Miujiza ya mkutano wa dini Dar, achukuliwe hatua

Kachafua mno, karibu barabara zote za dar zinanuka vipeperushi vyake labda yuko juu ya sheria.
 
Matangazo yametapakaa Dar kuanzia kwenye nguzo za umeme, madaraja..mitaro n.k

Anapaswa kushughulikiwa na kuamriwa kusafisha miundombinu aliyoichafua.

=========

View attachment 1943336

View attachment 1943337
Uzio wa Yapi Merkez, eneo la Raha Leo-Dar
Ulipoandika huyu "muhindi" umenikwaza sana.Ungeandika tu huyu mtu aliyebandika matangazo usiyoyapenda ingetosha.
 
Mbezi mwisho
IMG_20210918_162609.jpg
 
Kama mwigu na janu 2015 walipiga machata nchi nzima tena kwa spray ya rangi ya mafuta na mpaka leo 2021 machata yao bado yapo na hawakuchukuliwa hatua yoyote zaidi ya kupewa nafasi za juu katika nchi basi na huyo muhindi apongezwe tu
 
Mbona mabango ya kampeni za uchaguzi huwa yanatapakaa sana,wala huwa hamhangaiki kulalamika kuna nini kimejificha nyuma ya hayo matangazo ambacho unakipiga vita?
Matangazo yametapakaa Dar kuanzia kwenye nguzo za umeme, madaraja..mitaro n.k

Anapaswa kushughulikiwa na kuamriwa kusafisha miundombinu aliyoichafua.

=========

View attachment 1943336

View attachment 1943337
Uzio wa Yapi Merkez, eneo la Raha Leo-Dar
 
Shida yetu waTz ni hatuwezi kukubaliana kitu. Lazima kutakua na mabishano ya kipuuzi. Mtu atasema nchi inastahili elimu kanigga kamoja katasema hapana tunataka maji.

Huyu bwana kasema huo ni uchafu angalia mabishano yaliyofuatia.
 
Tatizo ni waliopewa kazi ya kusambaza wao wakafanya kazi ya jumla jumla... Ila huenda strategy yao imefanya kazi sababu hata wewe unaliongelea hence kuongeza publicity...

There is no such thing as bad publicity...
 
Matangazo yametapakaa Dar kuanzia kwenye nguzo za umeme, madaraja..mitaro n.k

Anapaswa kushughulikiwa na kuamriwa kusafisha miundombinu aliyoichafua.

=========

View attachment 1943336

View attachment 1943337
Uzio wa Yapi Merkez, eneo la Raha Leo-Dar
Halafu mbona mabango yote ni ya Wagalatia tu? Hivi hakuna wadau kutoka Afghanistan, Somalia, Syria, Iraqi, Saudia, Oman, nk na wenyewe kuja kulianzisha huku Bongo?
 
Matangazo yametapakaa Dar kuanzia kwenye nguzo za umeme, madaraja..mitaro n.k

Anapaswa kushughulikiwa na kuamriwa kusafisha miundombinu aliyoichafua.

=========

View attachment 1943336

View attachment 1943337
Uzio wa Yapi Merkez, eneo la Raha Leo-Dar
Acha chuki za udini.mbona vyama wakati wa kampeni vinabandika na hakuna uzi unafungua.
Angalia chuki zenu za udini zilivyoua viwanja vya jangwani kwa kudhani mnakomoa
wanaofanya mikutano ya dini mkajenga gereji za mwendokasi sasa ni mwendo wa kuzoa tope kutwa kucha na mazalia ya nyoka kuongezeka.
Huwezi kushindana na muumba,maana kwake tumetoka na kwake sote tutarudi hata uwe na jeuri kiasi gani
 
Back
Top Bottom