Umeandika mengi lakini bado umeshindwa kuelewaa maana ya "influence".
Nimeona kuwa tatizo kubwa si muono wako tu bali hata uelewa. Unachosoma hukielewi. Pole sana, labda hii mada kwako ipo above your thinking and understanding capacity. Kwa kuwa bado huelewi maana ya ustaarabu ni nini na "civilization" ni nini.
Mkuu unajisumbua bure, haka kademu ka FaizaFoxy anapenda sana uarab, yaani anapenda sana kujifananisha na waarab na pia she's always out of topic. She never makes any sense ila yeye anajihisi anaeleweka. Just tease her and leave her alone. Hapa umemuandikia ili ajifunze usishangae akaja hapa akitokwa na povu kaba ya kukujibu na kukutishia kukulipua mabomu. Subiri tu.
Naona darsa limekuingia vizuri sana. Sasa umeanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.
Naona darsa limekuingia vizuri sana. Sasa umeanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.
Kwanini nisiupende Uarabu? utakuwaje na maana bila kuwa mstaarabu? Fikiri.
Uarabu ukiupenda usiupende unao tu. Hata ID yako, hiyo "halisi" inatokana na Kiarabu, unalijuwa hilo?
Darsa langu linakuingia na ndiyo maana upo hapa na hoja zako muflis, unajaribu kujing'oa lakini huwezi.
Well ukishatamka neno "Kiswahili" basi tayari umeshakihusisha Kiarabu.
We kweli akili yako ni ya mgando.....eti mwarab mstaarab, toka lini? Jichunge bibie,wenzako walioenda Uarabuni kuwatumikia hao waarab wako wamerudi Bongo na majonzi ya kulawitiwa kila kukicha bila malipo yeyote. Shauri yako.
I repeat, I regret kuhusishwa na waarab, bora Kiswahili kingepitiwa tena na kurudishwa maneno ya kibantu.
Duh! Nilikuwa sijaiona hii.We kweli akili yako ni ya mgando.....eti mwarab mstaarab, toka lini? Jichunge bibie,wenzako walioenda Uarabuni kuwatumikia hao waarab wako wamerudi Bongo na majonzi ya kulawitiwa kila kukicha bila malipo yeyote. Shauri yako.
Duh! Nilikuwa sijaiona hii.
Nawe unajiita "great thinker" kwa kuacha hoja na kunivaa mimi?
Unafahamu maana ya neno "ustaarabu"
Unafahamu maana ya neno ustaarabu?
We kweli akili yako ni ya mgando.....eti mwarab mstaarab, toka lini? Jichunge bibie,wenzako walioenda Uarabuni kuwatumikia hao waarab wako wamerudi Bongo na majonzi ya kulawitiwa kila kukicha bila malipo yeyote. Shauri yako.
Hapo umeonesha dhahiri upeo wako. Huelewi tofauti ya jina na neno.Hilo ni neno tu ni sawa na kusema FaizaFoxy haliamaanishi chochote. Waarab hawajawahi kuwa wastaarab hata siku moja, as a matter of fact wao ni barbarians by nature that's why they keep killing each other for fun. Usipende kujikaririsha vitu ya kipuuzi kichwani mwako, soma mila na desturi za watu kabla hujajifanya mtumwa wao kwa kujitakia.
Mwana kulitaka,Nisome tena post namba moja halafu nieleze unachokipinga ni nini?
Halafu hayo maneno niliyowawekea nyekundu yanakueleza nini?