FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,171
- 107,699
- Thread starter
- #181
maana ya ustaarabu ni civilization basi
Maana ya halisi ya ustaarabu si "civilization", "civilization" ni neno la karibu walilofikiria kuwa linafanana Kingereza kwa sababu tu wakiweka maana halisi itakuwa ni kinyume na "supremacy" yao hao wanaojifanya wao ni "supreme".
Ustaarabu ni maneno mawili ya Kiarabu 100%, nayo ni "wasta" na "Arab".
Nadhani unajuwa maana ya wasta kwani Kiswahili pia linatumika. Kama haujuwi, maana ya "wasta" ndiyo hiyo "usta" ni "influence", na maana ya Arab vile vile nikufundishe?
Baada ya kuyajuwa hayo nnauhakika sasa unajuwa maana kamili ya "ustaarabu? na si "civilization" kama ulivyoaminisha na kujazwa ujinga siku zote.
Maana yake simply ni "Arab/ic influence".