Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,263
- 3,628
Heee! wamekudanganya mkuu. eti mataifa ya kiarabu? hicho kiarabu ni Kigiriki, kilicho changanyika na Lugha za Kifonesia. hakuna Taifa la Kiarabu Duniani. hayo mataifa ya kiarabu unayo yaona leo ni wajukuu wa Magriki tu waliochanganya damu na wanawake Watumwa walio bakwa. wanaume hawakuzalisha walihasiwa.Kiswahili ni lugha ambayo imetokana na Kiarabu na Kibantu na maneno mengine machache yaliongezeka kidogo kidogo kutoka lugha zingine za Afrika, Uropa na Asia.
Kabla ya kuja wakoloni wa ki Uropa maandishi yote ya Kiswahili yalikuwa kwa herufi za Kiarabu na matamshi yalikuwa kwa lafdhi ya Kiarabu.
Nnadiriki kusema leo hii, ili uongee na kuandika Kiswahili fasaha inabidi ujuwe Kiarabu. Bila hivyo utaboronga tu.
Na kama huna ustaarabu basi Kiswahili chako hakitakuwa fasaha.
Jee, unajuwa maana ya "ustaarabu"?
Usiwasifusifu sana wale hawatakaa kukupenda katu? wanakuona kafir mtumwa tu. ungesema hivi ushenzi East Africa umechangiwa na hawa Magiriki.
Ni kweli ili uwe mstaarabu ktk Dunia ya waarabu fake, sharti uwasifu, uwe kibaraka mpole, usiwaponde kwa matendo yao mabaya, ya ubaguzi na udhalili juu ya watumwa, zaidi pia na kukariri lafudhi ya Lugha zao.yaani nachekaga mpaka basi, jitu jeusi tiii linaongea lafudhi ya kiarabu! mpaka leo ndo waswahili wanavopakwa mafuta kwenye mgongo wa chupa
Kiswahili kinatokana na Lugha za kibantu barani kote.kwisha! kiarabu kimeingia ingia tu ajili ya shughuli za biashara za pembe, dhahabu, utumwa,nk, tena hakuna utumwa mbaya Duniani wa kudhalilisha utu. kama uliowahi fanywa na hawa Wagiriki, wanaojiita Waarabu siku ukiujua ukweli kuhusu hii kabila utalia bila machozi.