Huwezi na Hutoweza Kuongea / Kuandika Kiswahili fasaha...

mbongo_halisi

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2010
Messages
4,518
Points
2,000

mbongo_halisi

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2010
4,518 2,000
Hapo umeonesha dhahiri upeo wako. Huelewi tofauti ya jina na neno.

Pata darsa dogo...

Usta = influence
ARAB = Arabic

Ustaarab = Arabic influence.

Ingekuwa maneno hayama maana usingekuwa na kamusi za kutafsiri maneno. Kumbuka hilo.

Kwa ufupi, usiwe na chuki tu na kitu kwa kuwa aidha umejazwa ujinga au hukielewi.

Uarabu si taifa au kabila au rangi au dini. Kwa hiyo usiogope kuufahamu na usiogope kuwa nao ustaarabu.

Leo hata Kiswahili unachoongea kina "Arabic influence" (ustaarabu). Utaukwepa vipi? Kwa maneno tu bila yakini?

FaizaFoxy usijifanye mjinga wa kujitakia, waarab si wastaarab hata kidogo. Hilo neno ustaarab ni jina tu kama nilivyokuambia awali. Soma mila na desturi za jamii za dunia ujuwe ukweli, nikuambie mara ngapi?
 
mmubiayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2008
Messages
384
Points
250

mmubiayi

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2008
384 250
Unajuwa maana ya neno "wastaarab" uliloliandika?
Ustaarabu kwa maana pana ni kuwa na hali ya juu ya kitamaduni, kimaendeleo katika jamii na kiteknolojia. Sasa tujiulize, je waarabu wako hivyo.
Kuna mifano mingi ya vitendo vyao vya kigaidi ambavyo vimekuwa vikishtua ulimwengu wa kistaarabu. Kama kuchinja mtu peupe mbele za jamii, kuuwa watu ambao wasio na hatia n.k.
 
mmubiayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2008
Messages
384
Points
250

mmubiayi

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2008
384 250
Nafikiri tukifanya utafiti wakutosha tutagundua kwamba waarabu wana historia ya mauwaji na mengi machafu bila kuyataja. Kule Asian continent, Africa mashiriki, middle East na ulaya walifanya mabaya mengi sana. Mtume Muhammad hana sifa nzuri kwa wasio waislamu maana alisababisha siyo ustaarabu bali USTA-UARABU (Genocide na Raping) katika jamii nyingi. Zanzibar yote ina mixed race kutokana na raping of Tanganyikans.
 
mmubiayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2008
Messages
384
Points
250

mmubiayi

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2008
384 250
Hatukatai kuwa wazungu nao walitufanyia mabaya sana sisi waafrica, lakini wao wamebadilika na unaweza ishi na kupata haki katika nchi zao na ukawa treated well. Lakini nchi za waarabu balaa, kama mtoto wa kike ukirudi salama bila kuuwawa au kufanywa vibaya kwa lazima una bahati kwa Allah. Na kule uarabuni Allah hana time na muislam hasiye muarabi. Hakuna watu wabaguzi kama waarabu. Kama ustaarabu wa waarabu ndiyo huo basi Allah alichemsha.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
66,591
Points
2,000

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
66,591 2,000
Ustaarabu kwa maana pana ni kuwa na hali ya juu ya kitamaduni, kimaendeleo katika jamii na kiteknolojia. Sasa tujiulize, je waarabu wako hivyo.
Kuna mifano mingi ya vitendo vyao vya kigaidi ambavyo vimekuwa vikishtua ulimwengu wa kistaarabu. Kama kuchinja mtu peupe mbele za jamii, kuuwa watu ambao wasio na hatia n.k.
Wasta = influence
Arab = Arab

Hakuna katika nyanja zote za elimu uzijuazo ambazo hazina ustaarabu.

Leo upo kwenye mtandao kwa ajili ya uvumbuzi wa "algorithms".

Unafahamu imetoka wapi hiyo? Jisomee...

.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
66,591
Points
2,000

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
66,591 2,000
Nafikiri tukifanya utafiti wakutosha tutagundua kwamba waarabu wana historia ya mauwaji na mengi machafu bila kuyataja. Kule Asian continent, Africa mashiriki, middle East na ulaya walifanya mabaya mengi sana. Mtume Muhammad hana sifa nzuri kwa wasio waislamu maana alisababisha siyo ustaarabu bali USTA-UARABU (Genocide na Raping) katika jamii nyingi. Zanzibar yote ina mixed race kutokana na raping of Tanganyikans.
Hiyo bi "media" imekujaza ujinga.

Kaja mtu nchini kwako akapiga mabomu akauwa watoto, wanawake, wazee, vijana kwa mamilioni, akakuharibia miundo mbinu yako kisha akaanza kuchota rasilimali zako kwa sababu za uongo tu halafu wewe ndiyo unaitwa gaidi!

Nani gaidi wa kweli hapo? Fikiri.

Chuki kubwa ni Uislam si Waarabu. Waislam Waarabu ndiyo pekee waliosimama kidete na kuyetea kila mnyonge duniani.

Wazungu walupoanza kuja Afrika ni Waislam waliosimama kidete kuwapinga, wazungu wakasema hawa wana ustaarabu "Arabic influence", ndiyo chuki ilipoanzia hapo.

Soma hata historia ya hapa kwetu utaliona hilo.

Waarabu si wageni au wakuja Afrika, ni kwao.

Hata wewe una Uarabu ndani yako lakini hujielewi tu.

Uarabu si rangi, si kabila, si dini? Si taifa. Uarabu ni tamaduni hususan ya lugha, licha ya mengine mengi. Tanzania, hata lugha yetu tu ya Kiswahili ina tamaduni hiyo Na haikuanza leo wala jana na hakuna historia inapotuambia ilipoanzia kiusahihi.

Ukianza kusoma bila kuwa "biased" kwa ujinga uliojazwa (brain washed) utaona ni jinsi gani ambayo huuepuki Uarabu.
 
mmubiayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2008
Messages
384
Points
250

mmubiayi

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2008
384 250
Waarabu waislamu ndiyo walioanzisha utumwa kwetu East Africa. Wacha kupotosha ukweli hata kama unawapenda waarabu. Mimi sina uarabu, labda wewe mwarabu mweusi wa bongo. Waarabu weusi nao wajua wako Yemen.

Huyo Al kwarizma (algorithm) hakuwa mwarabu, alikuwa Persian. Na hakuwa muislamu maana alikuwa pagan.
Mwarabu ni Msaudia siyo Muirani.
Wasta = influence
Arab = Arab

Hakuna katika nyanja zote za elimu uzijuazo ambazo hazina ustaarabu.

Leo upo kwenye mtandao kwa ajili ya uvumbuzi wa "algorithms".

Unafahamu imetoka wapi hiyo? Jisomee...

.
 
mmubiayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2008
Messages
384
Points
250

mmubiayi

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2008
384 250
Wacha akili yakuokota okota information mitandaoni bila kufikiri kidogo! Wewe unafikiri huyo Al kwarizma hasinge kuwapo na mtandao husinge kuwepo? Yeye alikuwa mathematician na enzi hizo walikuwepo wengi tu. Sasa hiyo haifanyi eti computer husinge kuwepo bila yeye, ni ujinga na ushabiki wakishamba.
Wasta = influence
Arab = Arab

Hakuna katika nyanja zote za elimu uzijuazo ambazo hazina ustaarabu.

Leo upo kwenye mtandao kwa ajili ya uvumbuzi wa "algorithms".

Unafahamu imetoka wapi hiyo? Jisomee...

.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
66,591
Points
2,000

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
66,591 2,000
Huyo Al kwarizma (algorithm) hakuwa mwarabu, alikuwa Persian, aliwahi kuishi kabla mtume wenu Muhammad. Na hakuwa muislamu maana alikuwa pagan.
Mwarabu ni Msaudia siyo Muirani.
Usikisie, pata darsa dogo.

Huyo anaitwa Muhammad bin Mussa Al Khwarizmi. Jiulize alipataje jina Muhammad kama alikua hayupo kabla ya Mtume Muhammad?

Kama hiyo haitoshi, jina lake la mwisho linatokana na jimbo lililokuwa linaitwa Khwarizm lililopo katikati ya Asia. Waturki wanadai ni Mturki kwani asili ya Wakhwarzm ni Waturki.

Waajemi wanadai ni Majemi kwa kuwa wanasai kuqa Baghdad pia ni ajemi.

Amezaliwa, kuishi na kufanya kazi zake Baghdad. Badhdad ni mji wa Waarabu.

Alikuwepo mwaka 780 mpaka 850 AD.

Hiyo ni miaka 200 baada ya kipenzi chetu mtume Muhammad Salla Allahu alayhi wasalaam.

Huwa sikisii...

Nikupe mwengine?
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
66,591
Points
2,000

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
66,591 2,000
Waarabu waislamu ndiyo walioanzisha utumwa kwetu East Africa. Wacha kupotosha ukweli hata kama unawapenda waarabu. Mimi sina uarabu, labda wewe mwarabu mweusi wa bongo. Waarabu weusi nao wajua wako Yemen.
Utumwa ulikuwepo toka enzi na enzi na haukuwa dhambi wala haramu. Soma biblia utauona utumwa upo. Au unataka mistari?

Babu zako wote walifanya biashara ya utumwa ndiyo maana wewe ukabaki hapa, bila hivyo saa hizi ungekuwa Marekani.

Utumwa mpaka leo upo hapo Tanzania na haujaisha, unataka ushahidi sema nikupe.
 
msabillah

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Messages
2,903
Points
2,000

msabillah

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2011
2,903 2,000
Upo sawa weye!
Ambatanisho la konsonanti ya kiyeyusho (kama 'w' na 'y' kwenye irabu za mwisho ni athari ya Lugha ya Kiarabu kwenye Kiswahili na huonekana sana kwenye usemaji wa Unguja, Mombasa na maeneo mengi ambayo wakaaji wake ni mchanganyiko na bani Arabia.

Mfano: 'mwenziye' badala ya mwenzie,
 
mbongo_halisi

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2010
Messages
4,518
Points
2,000

mbongo_halisi

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2010
4,518 2,000
Kumbe hata hujuwi maana ya wastaarabu.

Wasta = influence
Arab = Arab

Kumbe umeshajijibu, foolish. What does this have to do with waarab kuwa wastaarab? Like I told you hilo ni jina tu lililowekwa, kwa sababu tulikuwa chini ya utawala wa kimabavu wa waarab kila kitu walichokuwa wanakifanya wao kilikuwa kinaonekana ni sahihi hata walivyokuwa wana castrate (kuwakata mboo) wazee wetu ili wasibanjue wasichana wao watu walishindwa kusema kitu na kukubali hali halisi. Waarab have NEVER been civilized (ustaarab) because it is NOT in their dna, narudia, wacha kujifanya mjinga wa kukariri tu vitu bila kujuwa ukweli.
 
Forum statistics

Threads 1,344,257
Members 515,354
Posts 32,813,156
Top