Huwezi na Hutoweza Kuongea / Kuandika Kiswahili fasaha

Umeandika mengi lakini bado umeshindwa kuelewaa maana ya "influence".

Nimeona kuwa tatizo kubwa si muono wako tu bali hata uelewa. Unachosoma hukielewi. Pole sana, labda hii mada kwako ipo above your thinking and understanding capacity. Kwa kuwa bado huelewi maana ya ustaarabu ni nini na "civilization" ni nini.

hahahaha... another silly response from FaizaFoxy.ulisomea wapi hii aina ya ujinga???
 
Mkuu unajisumbua bure, haka kademu ka FaizaFoxy anapenda sana uarab, yaani anapenda sana kujifananisha na waarab na pia she's always out of topic. She never makes any sense ila yeye anajihisi anaeleweka. Just tease her and leave her alone. Hapa umemuandikia ili ajifunze usishangae akaja hapa akitokwa na povu kaba ya kukujibu na kukutishia kukulipua mabomu. Subiri tu.

Kwanini nisiupende Uarabu? utakuwaje na maana bila kuwa mstaarabu? Fikiri.

Uarabu ukiupenda usiupende unao tu. Hata ID yako, hiyo "halisi" inatokana na Kiarabu, unalijuwa hilo?

Darsa langu linakuingia na ndiyo maana upo hapa na hoja zako muflis, unajaribu kujing'oa lakini huwezi.
 
Naona darsa limekuingia vizuri sana. Sasa umeanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.

kibibi pitia post zako zoooote tafuta chembe ya kiashirio cha mtu mwenye uelewa kisha rudi uzungumze. tatizo lako dogo sana... una ubongo ulioganda..

usiongelee historia ikiwa huijui. ni rahisi kutabiri kuliko kuongelea yaliyotokea huku hauyajui..
 
Kwanini nisiupende Uarabu? utakuwaje na maana bila kuwa mstaarabu? Fikiri.

Uarabu ukiupenda usiupende unao tu. Hata ID yako, hiyo "halisi" inatokana na Kiarabu, unalijuwa hilo?

Darsa langu linakuingia na ndiyo maana upo hapa na hoja zako muflis, unajaribu kujing'oa lakini huwezi.

We kweli akili yako ni ya mgando.....eti mwarab mstaarab, toka lini? Jichunge bibie,wenzako walioenda Uarabuni kuwatumikia hao waarab wako wamerudi Bongo na majonzi ya kulawitiwa kila kukicha bila malipo yeyote. Shauri yako.
 
Unajuwa maana ya "ustaarab"?

Utakuwaje mstaarab kama huwapendi Waarab?
 
I repeat, I regret kuhusishwa na waarab, bora Kiswahili kingepitiwa tena na kurudishwa maneno ya kibantu.

Jaribu bahati yako. Waarabu unao tu ukipenda usipende. Au funguka utueleze walikutenda nini mpaka uwachukie? Maana binaadam huwezi kuchukia kitu au watu burebure tu.
 
We kweli akili yako ni ya mgando.....eti mwarab mstaarab, toka lini? Jichunge bibie,wenzako walioenda Uarabuni kuwatumikia hao waarab wako wamerudi Bongo na majonzi ya kulawitiwa kila kukicha bila malipo yeyote. Shauri yako.
Duh! Nilikuwa sijaiona hii.

Nawe unajiita "great thinker" kwa kuacha hoja na kunivaa mimi?
 
Unafahamu maana ya neno "ustaarabu"

Unafahamu maana ya neno ustaarabu?

Hilo ni neno tu ni sawa na kusema FaizaFoxy haliamaanishi chochote. Waarab hawajawahi kuwa wastaarab hata siku moja, as a matter of fact wao ni barbarians by nature that's why they keep killing each other for fun. Usipende kujikaririsha vitu ya kipuuzi kichwani mwako, soma mila na desturi za watu kabla hujajifanya mtumwa wao kwa kujitakia.
 
We kweli akili yako ni ya mgando.....eti mwarab mstaarab, toka lini? Jichunge bibie,wenzako walioenda Uarabuni kuwatumikia hao waarab wako wamerudi Bongo na majonzi ya kulawitiwa kila kukicha bila malipo yeyote. Shauri yako.

Labda hayo mambo uliyoyataja hapa ndio "ustaarabu" wenyewe anaoupenda ulijibu.
 
Hilo ni neno tu ni sawa na kusema FaizaFoxy haliamaanishi chochote. Waarab hawajawahi kuwa wastaarab hata siku moja, as a matter of fact wao ni barbarians by nature that's why they keep killing each other for fun. Usipende kujikaririsha vitu ya kipuuzi kichwani mwako, soma mila na desturi za watu kabla hujajifanya mtumwa wao kwa kujitakia.
Hapo umeonesha dhahiri upeo wako. Huelewi tofauti ya jina na neno.

Pata darsa dogo...

Usta = influence
ARAB = Arabic

Ustaarab = Arabic influence.

Ingekuwa maneno hayama maana usingekuwa na kamusi za kutafsiri maneno. Kumbuka hilo.

Kwa ufupi, usiwe na chuki tu na kitu kwa kuwa aidha umejazwa ujinga au hukielewi.

Uarabu si taifa au kabila au rangi au dini. Kwa hiyo usiogope kuufahamu na usiogope kuwa nao ustaarabu.

Leo hata Kiswahili unachoongea kina "Arabic influence" (ustaarabu). Utaukwepa vipi? Kwa maneno tu bila yakini?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom