FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,211
- Thread starter
- #161
can you prove that ustaarabu ni 100% linatokana na kiarabu na maana ya kiarabu ndio sahihi kuliko maana ya kiswahili maana unabishana kikasuku
Wewe unaweza ku prove pia, si lazima mimi. Ngoja tuanze:
Jee, neno Arab ni lugha gani?
Jee, neno ustaa (wasta) ni lugha gani?
Unajuwa maana ya neno "wasta"?