Yah lakini kinachonifurahisha zaidi na Dr Slaa ni kushindwa uzalendo na huo upadri...je mnajua wakati alipokuwa Padri aliamua kumweka mwanamke kinyumba?
safi sana...ukisikia mtu rijali ndio huko
Ni kweli kabisa, tuna viongozi wengi serikalini wenye Harvard degrees lakini wamegeuka kuwa Hazard kwenye maamuzi yao mbalimbali.I don't think his PhD or MSc matters at this point, we have alot of PhD holders from Ivy legue in the Bunge today, but are they worth even sumni? Not at all, they are butch of yes sir, no sir CCM slaves. They worry about their Land crusers and big houses across Masaki and mikocheni, they can't even ask why for anything. So, when people like Dr Slaa jump in and challange JK non sense government decisions, sorry people like this one challange his credentials. What the point of having LLB at Harvard while you cant think straight? Does it make sense to graduate at Colombia while you cant even ask why someone sign contract at the hotel?
suala ni kwa nini viongozi wa dini, wafanyabiashara, matapeli, majambazi,wauaji,watangazaji,waandishi wa habari, na watu wenye fani nyingine tofauti woooote wakimbilie kwenye siasa ? kuna nini huko tuambiane na mie nikimbilie huko !
Slaa na PHD yake!
Katika pitia pitia yangu kule kwenye tovuti ya Bunge nilivutiwa kuangalia CVs za waheshimiwa wetu..nikavutiwa zaidi kuangalia PHD ya Mh Slaa. Mshtuko nilioupata nikuwa ..kumbe Daktari yule aliweza kufanya PHD akiwa ni just a Cerificate holder! Tena lakushtua zaidi alikuwa akifanya Advanced Diploma tena ya mwaka mmoja huku akiwa tayari ameshaanza PHD yake! Swali la kujiuliza hii inawezekana?au ndio zile PHD zetu za Malecturer wa Mzumbe?!. Apart from that nakubaliana na hoja zake Bungeni maana zimesimama vizuri na ni mchapa kazi .kwa wanaofahamu waniwekee wazi Slaa na PHD yake!
Hivi Katibu Mkuu wa CCM naye si ni mbunge kwani haja CV yake kule....
Slaa na PHD yake!
Katika pitia pitia yangu kule kwenye tovuti ya Bunge nilivutiwa kuangalia CVs za waheshimiwa wetu..nikavutiwa zaidi kuangalia PHD ya Mh Slaa. Mshtuko nilioupata nikuwa ..kumbe Daktari yule aliweza kufanya PHD akiwa ni just a Cerificate holder! Tena lakushtua zaidi alikuwa akifanya Advanced Diploma tena ya mwaka mmoja huku akiwa tayari ameshaanza PHD yake! Swali la kujiuliza hii inawezekana?au ndio zile PHD zetu za Malecturer wa Mzumbe?!. Apart from that nakubaliana na hoja zake Bungeni maana zimesimama vizuri na ni mchapa kazi….kwa wanaofahamu waniwekee wazi Slaa na PHD yake!
Sina uhakika kama unafahamu kwamba Dr Wilbroad Slaa alikuwa Padri wa Kanisa Katoliki, na kwa miaka 10 au zaidi alikuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Hiyo PhD aliyo nayo ni ya sheria za Kanisa (Canon Law). Ukifuatilia hatua za kupata upadri katika Kanisa Katoliki utakubaliana nami kwamba Kanisa hili lina utaratibu wa kujikusanyia hazina kubwa ya watu wenye uwezo mkubwa kiakili, na wote wanaofikia hatua ya kuwa Padri wana uwezo wa kufanya PhD na zaidi. Masomo wanayofanya katika Seminari Kuu (Philosophy na Theology) ni sawa kabisa na universities kwa shahada ya kwanza na ya pili, ingawa baadhi ya seminari hizo huwa haziwapi shahada hizo (kwa sababu za ukiritimba na kuogopa kuwa wakipata sifa kubwa watatoroka, labda). Sababu nyingine za kuwanyima shahada japo wamesoma sawa na (au zaidi ya) wenye shahada ni lile dai la kwamba kitu cha muhimu kwa Padri ni lile daraja/sakramenti ya upadrisho ambayo hutolewa na Askofu, na wala si cheti kikubwa! Na kwa kuwa mapadri huweka nadhiri (vows) ya utii, inabidi wakubaliane na hali hiyo. Lakini akishafanya kazi na kuaminiwa zaidi na Askofu, basi hapo Padri anaweza kupewa nafasi ya kwenda kupata shahada zake, na huwa wanafanya masomo kuendana na kipaji chake na mahitaji ya Kanisa kwa wakati huo kama itakavyoamuliwa na Askofu, na ndipo atakaposoma hadi kufanya hizo PhD nk. Kwa kufuata nadhiri ya utii, Padri hata mwenye PhD anaweza kupangiwa kazi yoyote na Askofu wake, na haruhusiwi kukataa. Kwa mfano, Askofu anaweza kumpangia padri huyo kazi ya kutunza accounts, na kama atasema hana taaluma hiyo, atatumwa akasome(ndio maana unaweza kumkuta Padri mwenye umri wa miaka 50 au zaidi, anasomea cheti cha accounts technician, na usishangae ukakuta huyo ana PhD ya fani fulani, labda Lingustics au Sociology) .
Hiyo inaweza kuwa possible explanation ya Dr Slaa kusoma Advanced Diploma (sijui ya nini) wakati alishafanya PhD. Wanaomfahamu zaidi (au yeye mwenyewe) wanaweza kutoa maelezo specific zaidi, lakini mimi nimetoa maelezo ya jumla yanayowahusu watu walioko au waliopitia mkondo huo wa Upadri katika Kanisa Katoliki. Natumaini kwa kiasi fulani nimekidhi kiu ama shauku yako ndugu Kingwele.