Huu ni Ukweli wa Dr Slaa??

why ask these questions now? watanzania tunapenda kufukizia mambo ubani. Yaani tulisubiri Slaa aibane koo serikali ndio tuanze kumchimba.
 
kwa bahati mbaya hoja hizi zimeanza kujitokeza sasa wakati ambapo Dr Slaa yuko katika heka heka za kuibua ubadhififu BOT, Richmond, Meremeta nk.

Brother Mnyika,

I happened to watch the live telecast (as many of you may have) of the Bunge session in which Dr. Slaa raised the Balali & Mzindakaya issues.

What Dr. Slaa did was to read and explain to the Bunge the contents of the famous e-mail, which was by then common knowledge to some (if not many) Tanzanians, both in and out of the country. He expounded the document in a manner suggesting that he believed/knew that the information was the "gospel truth".

Now you are telling us that Dr. Slaa "yupo ktk hekaheka: etc. Perhaps you may wish to explain whether the honourable MP, before tendering the document in the parliament, he did verify the authenticity and reliability of the information and its source.

Does Dr. Slaa know the source of the email? If he doesn't, but he knows, reliably, that the information is correct, does he not have other ways to relay the details to the Law enforcement agencies?

I am not saying that what he said or read from the email is true or untrue, I have no means of verifying that. Rather I have a feeling that for something like that to be tendered in the highest house of the land, one needs to have proof, beyond reasonable doubt, that the information is indeed true, lest it be another one of those urban legends.
 
Kuhusu tuhuma za uzinzi akiwa kama padri, nadhani hapa wala hakuna sababu ya ushahidi kwani ni wazi kuwa suala hili ndilo lilichangia kwa kiasi kikubwa uamuzi wake wa kuachana na upadri na kuamua kumuoa hawara yake wa siku nyingi. Huyu mama alikuwa ni changudoa tu mmoja pale Arusha ambaye special clientele yake ilikuwa ni mapadri tu.

...wapo wanaodai huyo mkewe alikuwa mtawa pia (sister). Sasa sijui "which is which"!
 
Ninashukuru kuwa hii THREAD imeanzishwa na JJ MNYIKA kwani ingeanzishwa na mwingine tungeambiwa ohhhh "MNALETA UDINI" kisha watakuja watu humu ambao wataanza kuspam inbox ya INVICIBLE kumuomba ihamishiwe kwenda kwenye forum ya DINI

You know the usual drill ya JF kama vigogo wa JF hawapendi mweliekeo wa Mjadala.....of course kama zile thread za MENGI na zile za NYERERE
 
Slaa na PHD yake!
Katika pitia pitia yangu kule kwenye tovuti ya Bunge nilivutiwa kuangalia CVs za waheshimiwa wetu..nikavutiwa zaidi kuangalia PHD ya Mh Slaa. Mshtuko nilioupata nikuwa ..kumbe Daktari yule aliweza kufanya PHD akiwa ni just a Cerificate holder! Tena lakushtua zaidi alikuwa akifanya Advanced Diploma tena ya mwaka mmoja huku akiwa tayari ameshaanza PHD yake! Swali la kujiuliza hii inawezekana?au ndio zile PHD zetu za Malecturer wa Mzumbe?!. Apart from that nakubaliana na hoja zake Bungeni maana zimesimama vizuri na ni mchapa kazi….kwa wanaofahamu waniwekee wazi Slaa na PHD yake!
 
Kingwele,
Slaa kabla hajaingia kwenye siasa alikuwa na padri wa Roman Catholic. Pamoja na mitaala ya seminari kuwa na tofauti kubwa na ya shule zetu, kimsingi ukiangalia hata vyuo alivyosoma huwezi kutilia shaka elimu yake.
 
Sina uhakika kama unafahamu kwamba Dr Wilbroad Slaa alikuwa Padri wa Kanisa Katoliki, na kwa miaka 10 au zaidi alikuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Hiyo PhD aliyo nayo ni ya sheria za Kanisa (Canon Law). Ukifuatilia hatua za kupata upadri katika Kanisa Katoliki utakubaliana nami kwamba Kanisa hili lina utaratibu wa kujikusanyia hazina kubwa ya watu wenye uwezo mkubwa kiakili, na wote wanaofikia hatua ya kuwa Padri wana uwezo wa kufanya PhD na zaidi. Masomo wanayofanya katika Seminari Kuu (Philosophy na Theology) ni sawa kabisa na universities kwa shahada ya kwanza na ya pili, ingawa baadhi ya seminari hizo huwa haziwapi shahada hizo (kwa sababu za ukiritimba na kuogopa kuwa wakipata sifa kubwa watatoroka, labda). Sababu nyingine za kuwanyima shahada japo wamesoma sawa na (au zaidi ya) wenye shahada ni lile dai la kwamba kitu cha muhimu kwa Padri ni lile daraja/sakramenti ya upadrisho ambayo hutolewa na Askofu, na wala si cheti kikubwa! Na kwa kuwa mapadri huweka nadhiri (vows) ya utii, inabidi wakubaliane na hali hiyo. Lakini akishafanya kazi na kuaminiwa zaidi na Askofu, basi hapo Padri anaweza kupewa nafasi ya kwenda kupata shahada zake, na huwa wanafanya masomo kuendana na kipaji chake na mahitaji ya Kanisa kwa wakati huo kama itakavyoamuliwa na Askofu, na ndipo atakaposoma hadi kufanya hizo PhD nk. Kwa kufuata nadhiri ya utii, Padri hata mwenye PhD anaweza kupangiwa kazi yoyote na Askofu wake, na haruhusiwi kukataa. Kwa mfano, Askofu anaweza kumpangia padri huyo kazi ya kutunza accounts, na kama atasema hana taaluma hiyo, atatumwa akasome(ndio maana unaweza kumkuta Padri mwenye umri wa miaka 50 au zaidi, anasomea cheti cha accounts technician, na usishangae ukakuta huyo ana PhD ya fani fulani, labda Lingustics au Sociology) .

Hiyo inaweza kuwa possible explanation ya Dr Slaa kusoma Advanced Diploma (sijui ya nini) wakati alishafanya PhD. Wanaomfahamu zaidi (au yeye mwenyewe) wanaweza kutoa maelezo specific zaidi, lakini mimi nimetoa maelezo ya jumla yanayowahusu watu walioko au waliopitia mkondo huo wa Upadri katika Kanisa Katoliki. Natumaini kwa kiasi fulani nimekidhi kiu ama shauku yako ndugu Kingwele.
 
Wanaomfahamu zaidi (au yeye mwenyewe) wanaweza kutoa maelezo specific zaidi, lakini mimi nimetoa maelezo ya jumla yanayowahusu watu walioko au waliopitia mkondo huo wa Upadri katika Kanisa Katoliki. Natumaini kwa kiasi fulani nimekidhi kiu ama shauku yako ndugu Kingwele.

Umekidhi hata haja yangu. Nikiangalia kwenye members List naona Dr. Slaa ni mwanachama wa JF.

Check here: http://jamboforums.com/member.php?u=3770

Asante Kithuku kwa maelezo mazuri na educative.
 
Dr. Slaa ana PHD ya JCD(Juris Canonici Doctor)

Data zaidi ni hizi hapa:-

Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor; J.C.D.) is the doctoral-level terminal degree in the studies of canon law of the Roman Catholic Church. It may also be abbreviated I.C.D. (Iuris Canonici Doctor), D.C.L., D.Cnl., D.D.C., or D.Can.L. (Doctor of Canon Law). Doctor of both laws (i.e. canon and civil) are J.U.D. (Juris Utriusque Doctor), or U.J.D. (Utriusque Juris Doctor). Only pontifical universities and ecclesiastical faculties of canon law may grant the doctorate in canon law.

A doctorate in canon law normally requires at least two years of additional study and the development and defense of an original dissertation that contributes to the development of Canon Law after having earned the degree Licentiate of Canon Law. The license in canon law is a three-year degree, the prerequisite for the study of which is normally the graduate level bachelor of sacred theology (S.T.B.), a master of divinity (M.Div.), a master of arts in Catholic theology (M.A.), or a doctor of civil law degree (J.D.) and a bachelor's degree in canon law (J.C.B.).

While not a civil law degree, the doctor of canon law is in some ways comparable to the doctor of juridical science (J.S.D.) in terms of academic level of study.

Members of the Supreme Tribunal of the Apostolic Signatura, Auditors of the Tribunal of the Roman Rota, judicial vicars, ecclesiastical judges, defenders of the bond, and promoters of justice, must possess either a doctorate or license in canon law. Either of the degrees is recommended for those who serve as vicar general or episcopal vicar in a diocese. Candidates for bishop must either possess the doctorate in canon law or the doctorate in sacred theology or be truly expert in one of those fields.

The Catholic Church has the oldest continuously used homogenous legal system in the world. Many of the medieval universities of Europe had faculties of canon law (e.g., Cambridge and Oxford). Since the Protestant Reformation, however, they became limited to those universities which retained Catholic faculties (e.g., Pontifical University of Saint Thomas Aquinas, Gregorian University, Catholic University of Louvain). Other Catholic universities with ecclesiastical faculties in canon law were subsequently given the ability to grant the degree (e.g., The Catholic University of America, University of Saint Paul). The University of Santo Tomas in Manila, Philippines, has been awarding the degree since 1734.

Source:http://en.wikipedia.org/wiki/Doctor_of_Canon_Law

Kwahiyo wakuu mi sioni ishu hapa based on the fact alikuwa padri wa Roman Catholic kuwa na hiyo qualification.
 
Mbangaizaji

Naona hapa umekata mzizi wa fitna kabisa kula tano. Case closed.
 
Yah lakini kinachonifurahisha zaidi na Dr Slaa ni kushindwa uzalendo na huo upadri...je mnajua wakati alipokuwa Padri aliamua kumweka mwanamke kinyumba?

safi sana...ukisikia mtu rijali ndio huko
 
Yah lakini kinachonifurahisha zaidi na Dr Slaa ni kushindwa uzalendo na huo upadri...je mnajua wakati alipokuwa Padri aliamua kumweka mwanamke kinyumba?

safi sana...ukisikia mtu rijali ndio huko

Ndio sababu kubwa aliacha upadri kwa kuwa na kimwana (mambo ya Brazil) lakini uzalendo ni kitu kingine kabisa pengine una tafsiri ambayo wengine hatuielewi.
 
kaka sama ladda nikufahamishe,unajua unaweza ukawa na first degree halafu ukaenda direct kwenye phd bila ya masters,pia unafahamu katika nchi kama uk hasahasa wanaichukulia advance diploma kama first degree?hivyo basi unaweza kuenda direct kwenye masters without any obstacle,na pia kama slaa alikuwa ana advance diploma kisha akawa na working experience ya si chini ya miaka mitano anaweza akaenda direct kwenye phd
 
Nawapa zote wakuu kwa kusawazisha uwanja wa mpiganaji Dr. Slaa.

JF mbele tuendelee kukata issues! Mpaka kieleweke!
 
Yah lakini kinachonifurahisha zaidi na Dr Slaa ni kushindwa uzalendo na huo upadri...je mnajua wakati alipokuwa Padri aliamua kumweka mwanamke kinyumba?

safi sana...ukisikia mtu rijali ndio huko

Na waliojaza nyumba ndogo wakati wana ndoa zao........
Wanaotenda dhambi na kuua maelfu ya wananchi kwa kuwanyima huduma muhimu wakati wanaenda makanisani,mahekaluni, misikitini na hata kuhiji.......
Wanaoiba mchana kweupe hela za maskini na kujilimbikizia huku wengi tunateseka......
Wanaoshindwa kuelewa kuwa vyeo ni dhamana........
Hawa ndio wazalendo??????
Bora aliyeona wito umemshinda akaondoka, kuliko wanaong'ang'ania wasiyoyaweza.
 
Na waliojaza nyumba ndogo wakati wana ndoa zao........
Wanaotenda dhambi na kuua maelfu ya wananchi kwa kuwanyima huduma muhimu wakati wanaenda makanisani,mahekaluni, misikitini na hata kuhiji.......
Wanaoiba mchana kweupe hela za maskini na kujilimbikizia huku wengi tunateseka......
Wanaoshindwa kuelewa kuwa vyeo ni dhamana........
Hawa ndio wazalendo??????
Bora aliyeona wito umemshinda akaondoka, kuliko wanaong'ang'ania wasiyoyaweza.

Haleluya!!!!!!!
 
I don't think his PhD or MSc matters at this point, we have alot of PhD holders from Ivy legue in the Bunge today, but are they worth even sumni? Not at all, they are butch of yes sir, no sir CCM slaves. They worry about their Land crusers and big houses across Masaki and mikocheni, they can't even ask why for anything. So, when people like Dr Slaa jump in and challange JK non sense government decisions, sorry people like this one challange his credentials. What the point of having LLB at Harvard while you cant think straight? Does it make sense to graduate at Colombia while you cant even ask why someone sign contract at the hotel?
 
Na waliojaza nyumba ndogo wakati wana ndoa zao........
Wanaotenda dhambi na kuua maelfu ya wananchi kwa kuwanyima huduma muhimu wakati wanaenda makanisani,mahekaluni, misikitini na hata kuhiji.......
Wanaoiba mchana kweupe hela za maskini na kujilimbikizia huku wengi tunateseka......
Wanaoshindwa kuelewa kuwa vyeo ni dhamana........
Hawa ndio wazalendo??????
Bora aliyeona wito umemshinda akaondoka, kuliko wanaong'ang'ania wasiyoyaweza.

Kwakuongezea,na wale wenye hayo yote lakini wanatetea wanyonge kipi bora,heri fuska mzalendo na mpigania haki kuliko fuska asiekua na kazi ya ziada yaani yeye ni kuharibu dada zetu tuuuuuuuu,niliwahi sema hapa hapa jamboforums,ufuska wa mtu tusiutumie kama kigezo cha kutafutia mtendaji mzuri,ninawasiwasi tutapoteza wengi,kama sio kuwakosa kabisa.Someni Longwalk to freedom kilichoandikwa na nelson mandela,utaona when it comes kwenye ngono gamba la mandela lilikuaje,hata totos anaolamba tunaona.ameelezea ukweli namna alivyokua anaweweseka vituo vya daldala akishawaona mademu,hata winnie(mke wa pili,maana wa kwanza ni evelyne) alimuona kwa mara ya kwanza kituo cha daladala,mtoto anasubiri kipanya,mandela akiwa ana drive(nadhani pegeout miaka hiyo).
 
Back
Top Bottom