Huu ni Ukweli wa Dr Slaa??

Huu ni Ukweli wa Dr Slaa??

Mh Dr Slaa awali ya yote nakupongeza kwa ushujaa na uthubutu wako katika kupigania haki na usawa kwa watanzania. Niharakishe tu kusema nimefurahishwa sana na wewe kuwa mwanachama wa jamvi, kwa kweli tunafaidika sana na michango yako ya kina.

Miezi kadhaa iliyopita (kama si zaidi ya mwaka) iliwekwa mada hapa inayo kuhusu, lakini kwa bahati mbaya labda ulikuwa bado hujawa mwanachana hukupata nafasi ya kutupa maelezo ya upande wa pili. Kwa kuwa sasa ni mwanachama mwenzetu huu ni wakati muafaka wa wewe kuweka rekodi sawa ili wale waliokuwa na mashaka waondokewe nayo.

Habari yenyewe nainukuu hapa chini na natanguliza shukran zangu;

MJUE DR SLAA

Mpaka sasa SLAA hana nyumba huko Karatu, badala yake hulala kwa rafiki yake ambaye inadaiwa ni shoga.

Tangu mwaka 1977 hadi 1991, SLAA alikuwa Padre wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbulu. Aliachishwa Upadre baada ya kukosa uaminifu na kuendekeza tabia ya ufuska na wake za waumini. Hali hiyo ilimpelekea kupata watoto wawili wakati akiendelea kutoa huduma za kiroho. Watoto hao ni EMILIANA aliyezaliwa 18/06/1987 na LINUS aliyezaliwa 23/09/1988. Dr. SLAA alimuoa ROSE, mmoja wa waumini wake mwaka 1991 ndipo kanisa likamfukuza Upadri. Wakati huo ROSE alikuwa mchumba wa mweka hazina wa Kanisa ambaye miaka michache baadaye alikufa kutokana na mfadhaiko.

Uchunguzi umeonesha kwamba, Dr. SLAA ni fuska aliyebobea, na anayo tabia ya kufanya mapenzi na wake wa marafiki zake hata baada ya kuoa. Kwa mfano Diwani wa Kata ya Baray wilayani Karatu LAZARO TITUS MASSAY (CHADEMA) aliwahi kupeleka malalamiko katika uongozi wa juu wa CHADEMA kuhusu tabia ya SLAA ya kufanya mapenzi na wake za watu wakiwemo hata wake za Madiwani Jimboni Karatu. Aidha, tarehe 01/11/2004, SLAA alifumaniwa na mkewe katika chumba kimojawapo cha Hotel 56 mjini Dodoma akiwa anafanya mapenzi na msichana aitwaye NJARI. SLAA aliruka dirishani bila nguo na wahudumu wa hoteli wakamsetiri kwa shuka na kumficha hadi mke wake alipoondoka kwa hasira kali baada ya kupambana na 僧wizi・wake sawasawa - tukio hilo lilinaswa kwenye mkanda wa simu ya mkononi ya mhudumu na umehifadhiwa kwa matumizi katika wakati muafaka.

Dr. SLAA anasumbuliwa na 爽gonjwa mkubwa・ Amekuwa akienda kutibiwa mara kwa mara nchini Afrika Kusini. Mwezi Oktoba hadi Desemba, 2006, SLAA alilazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam akitibwa 組onjwa moja hatari sana ・

Dr. SLAA amewahi kula mamilioni ya fedha za vilema ambazo zililetwa na wafadhili toka Ujerumani. Ushahidi upo kama atafanya ubishi.

Alihongwa nyumba Ujerumani na hawara yake wa Kijerumani ambaye sasa ni marehemu na Dr. SLAA anategemea kuhamia huko. Inasemekana Dr. SLAA na hawara yake ambaye ni marehemu walishirikiana kumuua mume halali wa mama huyo aliyejulikana kwa jina la 全imbosh・

Dr. SLAA alikuwa kachero wa Idara ya Usalama wa Taifa kama alivyo LYATONGA MREMA na alikuwa anaendelea kulipwa kiasi kikubwa cha fedha. Baadaye Idara hiyo nyeti iligundua fedha hizo anapeleka kwa hawara zake hivyo ikasitisha malipo hayo hali ambayo imemuudhi na akaanza kuipaka matope kwa kuituhumu na taarifa za kughushi anazodai amezipata. Vyanzo vya kuaminika vimebaini SLAA alipewa taarifa ya kughushi na akainunua kwa bei mbaya. Baada ya kubaini hivyo sasa anamsaka mbaya wake aliyemwingiza mjini.

Ujumbe huu ambao inaaminika MBOWE na ZITTO KABWE wanausambaza kwa kasi umemtia hofu Dr. SLAA kwani anajua yapo mengi yanayomhusu ambayo asingependa yajulikane. MBOWE na ZITTO wanaungwa mkono na chama cha CUF ambacho nacho kinadhani CHADEMA imekipiku katika umaarufu wa upinzani. Sera ni jino kwa jino.
 
Hizi ni shutuma kali sana zinazohitaji maelezo ya kina!
 
Kwani Dr. Wilbrod Slaa kwao wapi? Mbona ana mdogo yake, Aloys, na wazazi wake karibu na Karatu (kama siyo Karatu penyewe)? Kwa nini alale kwa rafiki yake?
 
Hii yote ni kazi ya chama cha mafisadi wanaotaka kumchafua shujaa wetu wa Watanzania. Juhudi zenu hazitafika kokote mafisadi wakubwa nyie!
 
Masatu,
Kwanza kabisa hiyo habari yako haina attribution. Mimi ningeiweka kwenye kundi la majungu au uzushi.
 
Man is conceived in sin and born in corruption and he passeth from the stink of the didie to the stench of the shroud.

-- Willie Stark in All the King's Men
 
Masatu,
Kwanza kabisa hiyo habari yako haina attribution. Mimi ningeiweka kwenye kundi la majungu au uzushi.

Unajuaje hilo? Jee, si muafaka kwa mhusika mwenyewe kutueleza kama hiyo habari ina ukweli au vipi? Hizi ni enzi za uwazi wacheni hizo!!
 
Huyu jamaa kwanza namsihi aache kujipachika title ya "doctor" kwani nyanja aliyosomea (Canon Law au sheria ya Kanisa Katoliki) haina faida yoyote kwake yeye mwenyewe achia mbali wapiga kura wake (Wakristo kwa Waislamu) na Watanzania wote kwa ujumla haswa baada ya kuamua kuondoka upadri.

Ni kweli Wilbrod Slaa alitumia cheo chake akiwa kama padri na katibu mkuu wa TEC (Baraa la Maaskofu Tanzania) kujilimbikizia mali moja wapo ikiwa ni kujijengea nyumba Sinza kutumia mkandarasi wa Kanisa Katoliki wakati bado akiwa kama padri na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC). Habari hii wala siyo siri kwani iliandikwa hata na gazeti la "Kiongozi" enzi hizo mwishoni mwa miaka ya 80.

Pia huyu bwana anaeleweka kuwa aliachiwa nyumba/estate Ujerumani kwenye mirathi na mama mmoja wa Kijerumani, hii pia akiwa kama padri.

Kuhusu tuhuma za uzinzi akiwa kama padri, nadhani hapa wala hakuna sababu ya ushahidi kwani ni wazi kuwa suala hili ndilo lilichangia kwa kiasi kikubwa uamuzi wake wa kuachana na upadri na kuamua kumuoa hawara yake wa siku nyingi. Huyu mama alikuwa ni changudoa tu mmoja pale Arusha ambaye special clientele yake ilikuwa ni mapadri tu. Mara baada ya kumnasa Wilbrod Slaa na hatimaye kufunga naye ndoa, huyu mama akaonekana Dar akitanua na magari ya kifahari. Sasa jiulize utajiri huu wa haraka haraka ulitokea wapi kama siyo Wilbrod Slaa kutumia visivyo vyeo vya upadri na ukatibu mkuu wa baraza la Maaskofu Tanzania kujilimbikizia mali na kuiba pesa za kanisa?

Ingekuwa busara sana kama mwenyewe Mh sana Dr Slaa akatusaidia ktk hili. Kwa kuwa ni miongoni mwa memba hapa labda tuvute subira Mh akipata nafasi atatujuza
 
hivi dr ana cha kujibu hapa? nadhani kokote dr uliko mbele kwa mbele, ufisadi ndo adui yetu kwa sasa hatuhitaji mtuatupotezee muda

na kuhusu akina piuse msekwa waliotoa talaka kwa wake zao na kulitaka kanisa kutambua ufuska wao?
 
Kwa sababu haina attribution. No research no speak.

Sasa wewe umekuwa msemaji binafsi wa Dr. Slaa hadi udai hivyo? Ni research gani unayoizungumzia eniwei? Kwa mtazamo wangu, hiyo habari ina mambo fulani ya kweli na mambo mengine ambayo siwezi kufahamu ukweli wake. Kwa hiyo kwa nini tuandikie wino wakati mhusika mwenyewe, Dr. W. Slaa yupo nasi na anaweza kutupa majibu ya moja kwa moja na kutuondoelea utata pale panapotakiwa?
 
Mnaleta umbea tu, Slaa alitoa data na proof of documents for what happened in BOT saga.Kuhusu yeye anatuhumiwa kwa nyumba na ubadhirifu kanisani kwake katoliki, please viwekwe vithibitisho hapa.Kutunga haina shida wako akina Abunuwas, hadith za Allan Quartermain, akina Shigongo n.k , ukisoma hizo hadithi/au vitabu vya hao waansidhi utaona mambo yako sawa na ukweli!!!! swala ni kuwa tunataka uthibitisho, maneno matupu ni umbea, uzandiki na ufinyu wa fikra!!!

Waberoya
 
Mwenyewe si yupo? ajibu mbona upambe tu...
 
Lakini ukiangalia kimakini na kiusomi utaona kwamba haya madai au tuhuma ni batili kwa vile yanalengwa kumshambulia mtoa hoja badala ya kuzingatia ukweli au yaliyomo kwenye hoja yake. Kwa ujumla, masahmbukizi ya moja kwa moja ya sifa au matendo ya mtoa hoja kama haya (aka "ad hominem" attacks) lengo lake ni kumdhalilisha mtoa hoja ili kupunguza makali ya hoja zake na yanafaa kuepukwa kwa vile hayaendani na misigi ya hoja halali zinazofuata sheria za kimantiki. Kwa hiyo sishangai kama Dr. W. Slaa ameamua kupuuza kujibu madai haya madai dhidi yake.
 
Back
Top Bottom