Dkt. Slaa: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ni 'mjinga fulani'

Buyaka

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
1,643
1,786
Baada ya RC Chalamila kumtisha Dkt. Slaa kwa "kutoa maoni ya kupotosha" kuhusu bandari, Dkt. Slaa nae arudisha mawe...

Dkt. Slaa kasema hajui hata jina la RC wa Dar lakini ni mjinga fulani, mtu wa ajabu ajabu, anayosema hayana kichwa wala mkia, hapaswi kuogopwa wala kututoa kwenye reli ya kupinga mkataba wa kuuzwa Bandari

Chalamila, haya mfate Slaa na ma defender ya RPC, kasema yuko nyumbani kwake ka chill hakuogopi, wewe mi mjinga fulani... au kula matapishi ya biti zako ulizochimba...
===
Dr Slaa amesema Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, hajui sheria wala haki zake, na amesema hatishiki kwa maneno aliyoyasema kwa kuwa anajua haki na sheria za nchi
 
Baada ya RC Chalamila kumtisha Dr Slaa kwa "kutoa maoni ya kupotosha" kuhusu bandari, Dr Slaa nae arudisha mawe...

Dr Slaa kasema hajui hata jina la RC wa Dar lakini ni mjinga fulani, hapaswi kuogopwa wala kututoa kwenye reli ya kupinga mkataba wa kuuzwa Bandari

Chalamila, haya mfate Slaa nyumbani kwake na ma defender ya RPC, Slaa kasema yuko ka chill kwake hakuogopi... au kula matapishi ya biti zako ulizozichimba...

Sio sauti ya Dr Slaa hiyo
 
Baada ya RC Chalamila kumtisha Dr Slaa kwa "kutoa maoni ya kupotosha" kuhusu bandari, Dr Slaa nae arudisha mawe...

Dr Slaa kasema hajui hata jina la RC wa Dar lakini ni mjinga fulani, hapaswi kuogopwa wala kututoa kwenye reli ya kupinga mkataba wa kuuzwa Bandari

Chalamila, haya mfate Slaa na ma defender ya RPC, kasema yuko nyumbani kwake ka chill hakuogopi, wewe mi mjinga fulani... au kula matapishi ya biti zako ulizozichimba...

Chalamila ni chizi fulani hivi
 
Baada ya RC Chalamila kumtisha Dr Slaa kwa "kutoa maoni ya kupotosha" kuhusu bandari, Dr Slaa nae arudisha mawe...

Dr Slaa kasema hajui hata jina la RC wa Dar lakini ni mjinga fulani, hapaswi kuogopwa wala kututoa kwenye reli ya kupinga mkataba wa kuuzwa Bandari

Chalamila, haya mfate Slaa na ma defender ya RPC, kasema yuko nyumbani kwake ka chill hakuogopi, wewe mi mjinga fulani... au kula matapishi ya biti zako ulizochimba...

Huyu mzee sasa anachanganyikiwa au anatafuta kiki kwa nguvu.

Hivi yule demu wake aliyemgonga Mwanza mpaka akamvunja mkono bado anae? mashumbusi sijuwi, sikumbuki vizuri jina lake.
 
Chalamila ni chizi fulani hiviyou wonder lesmomo

makes you wonder, is this administration really serious about anything ? mtu kama Chalamila ameletwa kwenye jiji la Dar kwa nini ?????

Samia anasema yeye haongei, haumi kama Simba wa Yuda (Magufuli), kama kweli wewe hizo sio dizaini zako kwa nini unatupachikia fire cracker kama Chalamila, wa nini ?

ili Chalamila apige biti kwa niaba yako na wewe upambwe kama Mama mzuri, mpole, ndio drafti unalocheza hilo ???
 
and you wonder, is this administration really serious about anything ? mtu kama Chalamila ameletwa kwenye jiji la Dar kwa nini ?????

Samia anasema yeye haongei, haumi kama Simba wa Yuda (Magufuli), kama kweli wewe hizo sio dizaini zako kwa nini unatupachikia fire cracker kama Chalamila, wa nini ?

ili Chalamila apige biti wewe upambwe kama Mama mzuri, mpole, ndio drafti unalocheza hilo ???
Chalamila ni Daraja la Serikali na Mtume Mwamposa
 
Mzee Slaa bwana!!
ila haipendezi kwa mzee kutoa matamshi ya dharau na matusi.
uzee ni heshima na busara sio kutoa lugha chafu.
Na pia ukiwa mzee hustahili kuwa mnafiki. Unatakiwa utoe kauli zilizo nyoka. Chalamila is not a leader, ni comedian. Lakini kwa sababu nchi hii wale watu wa ajabuajabu, ndiyo wanaokuwa viongozi, basi na yeye yupo hapo.
 
Baada ya RC Chalamila kumtisha Dr Slaa kwa "kutoa maoni ya kupotosha" kuhusu bandari, Dr Slaa nae arudisha mawe...

Dr Slaa kasema hajui hata jina la RC wa Dar lakini ni mjinga fulani, hapaswi kuogopwa wala kututoa kwenye reli ya kupinga mkataba wa kuuzwa Bandari

Chalamila, haya mfate Slaa na ma defender ya RPC, kasema yuko nyumbani kwake ka chill hakuogopi, wewe mi mjinga fulani... au kula matapishi ya biti zako ulizochimba...

Huyuu mzeee baaada ya kuacha KAZI ya mungu, Kwa Sasa anahitaji uangalizi wa Hali ya juuuu
 
Back
Top Bottom